Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Ukitaka kupata near death experience kunywa pombe alafu utupie ugoro umeze na mate bahati mbaya!
Utataapika kesho asubuhi hangover yake Ni balaa
 
Pombe ilikuwa nyingi sana, nikawa siwezi kula na nikatapika sana
Hiyo Pombe siyo nyingi sana, Ila muda uliotumia kunywa ndiyo mchache saa mbili mpaka saa saba ni wastani wa bia nne mpaka tano kwa lisaa, ni mbaya sana hiyo...
 
Iweje wanywaji wengine hawalewi? Ni pombe gani ambayo inalewesha kwa haraka? Kwanini wanywaji wengine wanaenda kujisaidia mara kwa mara, na wengine hawaendi kujisaidia wanapokunywa? Kuna semi kuwa mhudumu wa bar akitaka mteja wake alewe na apoteze chaneli huwa wanachanganya na Ugoro?
Hakuna mtu asiyelewa Pombe...nasisitiza hayupo kwenye Dunia hii...
 
Ukitaka kupata near death experience kunywa pombe alafu utupie ugoro umeze na mate bahati mbaya!
Utataapika kesho asubuhi hangover yake Ni balaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nielekeze jinsi ya kutumia ugoro then ntaleta mrejesho
 
Majanga na madhara iliyoniletea mimi si haba, mengine wacha nibaki nayo. Ningeweza kuwa nakunywa hata vibia vitatu nikaenda kulala ingekuwa sawa. Ila siku hizi bia zilikuwa hazipiti kabisa kooni ni vitu vikali tu. Nikifikisha hata mwezi nitaanza kuona mwanga
Komaa mkuu lakini pia mkazo kwenye Imani ni muhim sana,kama ni mkristo basi funga na kuomba hata kwa siku 7.

Nguvu ya Imani ni ya ajabu sana kwenye kusaidia mtu kupitia changamoto, kama wewe ni muislam basi omba muongozo kwa viongozi wako wa kidini.
 
Komaa mkuu lakini pia mkazo kwenye Imani ni muhim sana,kama ni mkristo basi funga na kuomba hata kwa siku 7. Nguvu ya Imani ni ya ajabu sana kwenye kusaidia mtu kupitia changamoto, kama wewe ni muislam basi omba muongozo kwa viongozi wako wa kidini.
umeshawahi kupitia matatizo mpaka ukafunga na kuomba?
 
Hiyo Pombe siyo nyingi sana, Ila muda uliotumia kunywa ndiyo mchache saa mbili mpaka saa saba ni wastani wa bia nne mpaka tano kwa lisaa, ni mbaya sana hiyo...
Komaa mkuu lakini pia mkazo kwenye Imani ni muhim sana,kama ni mkristo basi funga na kuomba hata kwa siku 7. Nguvu ya Imani ni ya ajabu sana kwenye kusaidia mtu kupitia changamoto, kama wewe ni muislam basi omba muongozo kwa viongozi wako wa kidini.
Poa mkuu sema kuna mengi sijasema kwa sababu ya muda, nimetenbea sanakwenye maombi na kwa waganga ndo usiseme. Nadhani niendelee tu maadamu maisha yanaenda
 
Pole sana chief kama wewe ni msomaji wa vitabu naweza kupendekeza vitabu kadhaa usome kuhusu jinsi ya kupambana na alcoholism. Pia huyu mwandishi ana podcast yake unaweza kuwa unasikiliza kila siku kupitia Google podcast app,nakuwekea link hapa.

This Naked Mind Podcast

Kila la heri.
Screenshot_20201015_195848.jpg
 
Kuna pombe hio inaitwa 211 kule ughaibuni nilikunywa kopo mbili halafu nilikwenda club. Yaani nilikuwa najiona kama Superman mikono kama ndege inayotaka kuruka. Nikaingia club nikamchapa mzungu flani nikatolewa nje nikaanza kuwatukana mabausa sijui kilitokea nini ila niliishia hospital wiki 2 na miezi 6 home.[emoji23][emoji23]

View attachment 1576989

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unalewa bia mkuu..8%
 
Back
Top Bottom