Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,926
- 19,767
Hongera sana kwa HiloNna kama mwaka hivi na nusu
Nilikuwa nikinywa nakuwa mgomvi sana, Nikaona hapa ngoja nichukue maamuzi magumu
Hongera sana kwa HiloNna kama mwaka hivi na nusu
Nilikuwa nikinywa nakuwa mgomvi sana, Nikaona hapa ngoja nichukue maamuzi magumu
Eti Mbeya mjini kuna baridi alafu Tukuyu kuna joto?😂😂😂ha haa tukuyu maeneo gan mkuu
Eti Mbeya mjini kuna baridi alafu Tukuyu kuna joto?😂😂😂
Bado amelewaEti Mbeya mjini kuna baridi alafu Tukuyu kuna joto?[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kuutwika kwenye sherehe ya kazini nilimtongoza mama mmoja mwenye cheo chake, nae akawa anacheka tu. Mimi ndio nazidi kumpa maneno mbele ya watu. Party iliisha kila mtu akaenda zake. Jumaatatu yule mama akaniita na kuniambia Ni mwambie yale maneno niliyo muambia siku ya party halafu alikua serious.
Drink responsibly, drink wiser pombe sio chai jamani...
Kutokuongezwa mishahara tangu mwaka 2015Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.
Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.
Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.
Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
Kitu km kinakuletea shida bora kukiacha.Tuachie sisi malegend.Huu uzi nacheka sana anyway mi pia nina vituko vingi sana vya pombe but niliamua kuipumzisha baada ya kuona inanishinda
Japo mara chache huwa naamsha sema ndio huwa nalewa sana kutokana na kutokunywa muda mrefu
Kwa kweliKitu km kinakuletea shida bora kukiacha.Tuachie sisi malegend.
Huko sasa ni kushindwa kujicontrol wewe kama wewe, usisingizie kampaniSafari moja huanzisha nyingine. You will drink responsibly when you're alone, ukiwa na kampani heee hahaha
Hebu tuone kwanza hicho kitambi, jana nilijaribu kunywa Serengeti lite nikamaliza moja ile ya pili hata nusu sikuikata. Jamani beer ni MBAYAAANikinywa Konyagi sijui kwanini huwa najiona mbabe though haijawahi nisababisha nikapigana zaidi ya maneno ya kishujaa tu. Mabia nanenepa but nowadays wine suits me the best...
It gives you confidence that's all. Kuna watu si kama kingereza hawajui ila uwoga unaosababishwa na kutokitumia mara kwa mara ndio hutawala kwamba akikosea atachekwa. Na kuna wengine kingereza hawajui zaidi ya broken english lakini anapenda kuongea.Hivi kwa nini walevi wakinywa pombe wanaongea sana kiingereza kuna uhusiano gani kati ya pombe na kiingereza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna pombe hio inaitwa 211 kule ughaibuni nilikunywa kopo mbili halafu nilikwenda club. Yaani nilikuwa najiona kama Superman mikono kama ndege inayotaka kuruka. Nikaingia club nikamchapa mzungu flani nikatolewa nje nikaanza kuwatukana mabausa sijui kilitokea nini ila niliishia hospital wiki 2 na miezi 6 home.[emoji23][emoji23]
View attachment 1576989
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Haha nikuoneshee wapi? Kishapungua sasa maana sikukipa nafasi kikue zaidi. Mi ni mtu wa mazoezi, I cut it to a flat belly naenjoy wine tuHebu tuone kwanza hicho kitambi, jana nilijaribu kunywa Serengeti lite nikamaliza moja ile ya pili hata nusu sikuikata. Jamani beer ni MBAYAAA
Kwahiyo ukiendaga CoCoriCo na Billionare unaenda kula nyama tu?😉Hebu tuone kwanza hicho kitambi, jana nilijaribu kunywa Serengeti lite nikamaliza moja ile ya pili hata nusu sikuikata. Jamani beer ni MBAYAAA
Wine me zinaendaga chini zote sielewi kwanini.Haha nikuoneshee wapi? Kishapungua sasa maana sikukipa nafasi kikue zaidi. Mi ni mtu wa mazoezi, I cut it to a flat belly naenjoy wine tu
. Mkuu labda alimaanisha kyelaEti Mbeya mjini kuna baridi alafu Tukuyu kuna joto?😂😂😂
Duh! Hadi The Fuzz unapajua 😅😅Kwahiyo ukiendaga CoCoriCo na Billionare unaenda kula nyama tu?😉
The Fuzz je?