Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Nimeimiss sana kiukweli,ila ilikua na madhara sana.
Tena wewe uliyekuwa unainywa mara kwa mara mpaka kufikia hatua ya vidole kutetemeka ulikuwa unaelekea pabaya sana. Kama wewe ni mtumiaji wa pombe kali hakikisha unakunywa maji mengi wakati unainywa na baada. Na ili uweze kunywa hayo maji mengi hakikisha vyakula vyenye mchanganyiko mwingi wa fatts and oil + protains huvikosi kwa afya ya mwili wako na ubongo.
 
Kuna pombe zinatengenezwa Ulaya na Marekani, kama zingekuwa zinapatikana hapa na kwa bei chee hakika watumiaji wengi wangekuwa marehemu kwasababu wabongo wengi tunapenda kunywa bila kufuata maelekezo ya vinywaji vyenyewe
 
Kuna pombe zinatengenezwa Ulaya na Marekani, kama zingekuwa zinapatikana hapa na kwa bei chee hakika watumiaji wengi wangekuwa marehemu kwasababu wabongo wengi tunapenda kunywa bila kufuata maelekezo ya vinywaji vyenyewe
Ukibahatika kuwauliza wanywa gongo kama wanapenda kula makande au mlenda baada ya kunywa,jibu ni hapana hata gongo wanainywa tu sababu ya uchumi wa kati.
 
Ukibahatika kuwauliza wanywa gongo kama wanapenda kula makande au mlenda baada ya kunywa,jibu ni hapana hata gongo wanainywa tu sababu ya uchumi wa kati.
Mara moja moja sio mbaya lakini si vyema kuendelea kukitumia kitu kinachoathiri mfumo mzima wa afya yako kisa kipato kidogo.
Na hakuna watu wanaokula vizuri kama wanywa gongo na mataptap; According to distilled liquors' food nutrients which are fatts/oil and protains) ukipita maeneo mengi wanayouza hivyo vinywaji utakuta wanauza kwa bei chee mautumbo, makongoro, nyama zisizoeleweka eleweka ambazo kwa wewe au mimi utapata wakati mgumu kuzifakamia. Na ndiomana wanadumu na kudumu😊😊
 
Mara moja moja sio mbaya lakini si vyema kuendelea kukitumia kitu kinachoathiri mfumo mzima wa afya yako kisa kipato kidogo.
Na hakuna watu wanaokula vizuri kama wanywa gongo na mataptap; According to distilled liquors' food nutrients which are fatts/oil and protains) ukipita maeneo mengi wanayouza hivyo vinywaji utakuta wanauza kwa bei chee mautumbo, makongoro, nyama zisizoeleweka eleweka ambazo kwa wewe au mimi utapata wakati mgumu kuzifakamia. Na ndiomana wanadumu na kudumu[emoji4][emoji4]
Mkuu ulivyosifia msosi umenipa wasiwasi kama utapata wakati mgumu kuugonga.
Ila yote kwa yote wanahesabika wamekula nyama na vitamini sijui protini ni zilezile.
 
Mkuu ulivyosifia msosi umenipa wasiwasi kama utapata wakati mgumu kuugonga.
Ila yote kwa yote wanahesabika wamekula nyama na vitamini sijui protini ni zilezile.
Hahaha raha ya pombe iendane na msosi mkuu😊
Na kila mtu atakula kwa level yake na vinywaji vyake lakini mwisho wa siku wote wanalewa na wanaenjoy kile walichokinywa.🤗
All in all let's all drink responsibly
 
Nilifanya usaili nikashinda...nikapewa barua ya kuitwa kazini. Niliporipoti wakasema turudi kwanza watatuita...kumbe Pombe ndo alikua kasitisha mchakato wa ajira...ikawa ndo baibai
Mkuu ulienda ndwiii au nan taasisi gan hyo?
 
Yaani mi binafsi sina wazo kabisa la kuiacha pamoja na yote inayonifanyiaga lakini haijanikomoa.
Ninakumbuka kiroba cha boss tangawizi hangover yake balaa,inafunga hamu ya kula,kunya mpaka kuoga na ukijilazimisha kunywa supu basi mchuzi mnaugawana na meza kwa jinsi mikono inavyotetemeka.
[emoji23][emoji1787][emoji23] hii kitu ni noma sana
 
Sasa ww hyo mbona ndogo mkuu hujazngua wala.. Mimi j2 moja saa moja nko bar siku hyo dili langu la online freelancing kipind nko chuo lilitema nkaotea kama dollar 780 nimeisubiria karbia 2month aisee mpaka inafika saa 10:30am niko bati siunaelewa valeur kubwa ukipiga mwenyew.

Nkaona ngoja nikachek sehem flan nyama choma si nimefika sehem nkakuta watu wamekaa naona sahan zinaandaliwa nkasema yes kumbe ni harambee ya kanisa nkaingia nkakaa na mimi msafara nkaunga pastor ananipimia tu, baada ya menu nkawasalimia wote alaf nkalaza.

Nkaamia bar ingne agiza mdudu na ugali aisee baada ya kula si nkaletewa tissue nikaushe mikono nkaona pilipil iko mezan mi nimeshika tissue kumbe najua ni nyama.. Nkachomvea tissue kweny pilipil alaf nikaitupia mdomon aisee kulikuwa na meza pemben wale masister walicheka kinoma mpaka wakaja kukaa meza moja na mimi nachokumbuka asubuh nimeamka nko kifua waz alaf naangalia nko wap naona geto flan lina pochi ya kike na nguo,tv kumbe nliondoka na dem mmoja.

Nimetoka room seblen namkuta anaandaa chai aisee mpaka nikawa sielew, nkapiga chai nkatoka simu inaita kumbe nliacha nkaibuka bar nkachukua koti nkaeka gambe tena jion yake nlijikuta nipo town alaf sijui nimeenda fwata nin aise acha kabsa.

Wewe kibokoo
 
Miaka kama 10 iliyopita Nilitembea juu ya mkaa wa motoo nikiamini nina special powers siwezi ungua...aisee sitosahau nilikaa ndani week 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ulikunywa pombe gani hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ambayo siwezi isahau ni siku nimekunywa pombe kisha nikaenda zangu home Ile nimeingia kulala mkojo ukanibana ikabidi nitoke chumbani nikakojoe baada ya kuenda chooni nikaenda jikoni kukojoa alafu nikaludi zangu kulala kesho yake asubuh ebanaeeeeee Sito sahau
[emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Back
Top Bottom