Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

Ningependa kuwakumbusha tu matumiz ya vpn ni kosa kisheria kwa mujibu wa sheria unaweza kuhukumiwa miaka saba jera na fine ya milion tatu au vyote kwa pamoja kabla hujamaliza kushangaa na kuanza kubisha nakukumbusha tu hata jamiiforum wanakes mahakaman na kosa lao ni kutumia domain ya dot com badala ya dot tz chukia tahadhar jera sio kuzuri kuna manyampara wana roho mbya na ukame wa miaka mingi asanten na kwaheri
Kuzima mtandao pia ni kosa. Binadamu tuna haki zetu za msingi na hii ya haki ya ku access internet ipo pamoja na haki ya kusoma, kuvaa , kula n.k

Wakiamua kutufunga kisa tumetumia vpn na sisi tutawafunga kwa kutufungia internet ambayo ni haki yetu ya msingi.

Halafu mkuu na wewe uache uoga...watakushikaje simu inasoma nipo Washington kwa trump.
 
hakuna wa kutumia Premium services kwa user wa kawaida ambao wameijua VPN baada ya TCRA kuzima mitandao.

wengi wao wanapendelea VPN za Bure au kutumia kwa Trial time

Hiyo nikiyoutaja hapo ni Cracked version, ina full swing kama Vile imelipiwa
Naipataje hiyo mzee?
 
Muambieni Basi mfalme wetu atoe amri internet ifunguliwe wafanyabiasha wanapata hasara huku jamani!
 
Virtual private network

Hellow Great think

Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majalibio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani hapo mwanzoni haikua ndani ya simu yangu mungu nimwema leo majira ya saa 7 mchana nimefanikiwa kuipata


Baadaya kuifungua hii APP Mambo yamekuwa mazuri
Poleni .... simu yangu haijakumbwa na hilo tatizo kabisa,,, wasap, fb ,insta pote naperuzi toka mwaka jana
 
Huwa najiuliza serikali ikiamua si wa azima kabisa minara ya Internet, kwa hiyo hata uwe na VPN itakuwa kazi bure, au mwenye kuelewa anifafanulie
 
Poleni .... simu yangu haijakumbwa na hilo tatizo kabisa,,, wasap, fb ,insta pote naperuzi toka mwaka jana
acha uwongo wako labda utakua upo nnje ya hii falme ya Magu
 
Poleni .... simu yangu haijakumbwa na hilo tatizo kabisa,,, wasap, fb ,insta pote
naperuzi toka mwaka jana
Sasa wewe kwa mfano Kama Ni mfagiaji wa kasri la mfalme au muosha majoho yake!
Hivi utakosa insta kweli?
 
Unajua kutumia vpn ni kosa kisheria?
Haha pole mkuu wengine siku ileile wanafunga baada ya muda tu tukarudi hewani.. nawaonea huruma ambao mpk sasa wapo kwenye kifungo!
 
mbona unapanic bro? twende kwa fact

kuanzia Instagram Facebook WhatsApp Twitter

TCRA yako imeikosesha notwerk uwezo wakutenda kazi yake ya internet kwahiyo bila ya VPN uwezi kufanya access kwasababu speed ya internet imewekwa week






Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijapanic.. hueleweki...

Nimekuuliza aliyekwambia JF ilikuwa haipatkan mpk VPN ni nan? Mimi hapa Situmii VPN tangia hiy tar 28.

Alaf som vzr ulichoandika hapo juu
 
Ha ha! Kuna watu wasingekuwa karibu nami mpk sahivi wangekuwa nje ya mtandao! Wacha nijisifu maana niligutuka mapema mno kulitambua hili likiwa bado hatua za awali! Wengine waliona kama ajabu kurudi hewani..😅 kama nchi tumefika pabaya siko proud na hili they are afraid of their own shadow!
Fb na insta unapata??au ni hii jamii tu??msaada majibu tafadhali
 
Wameyataka wenyewe! Hizo ni sheria za kishamba kwahiyo kuzimia watu mitandao si kosa..?

Watu wanajitoa sana ufahamu, walijua watz washamba hawajui habari za vpn, tena next time wakizima watakuta kila raia ana vpn. Vpn itakuwa app ya muhimu kabla ya kuanza kutumia simu yeyote!
 
Back
Top Bottom