Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

Ningependa kuwakumbusha tu matumiz ya vpn ni kosa kisheria kwa mujibu wa sheria unaweza kuhukumiwa miaka saba jera na fine ya milion tatu au vyote kwa pamoja kabla hujamaliza kushangaa na kuanza kubisha nakukumbusha tu hata jamiiforum wanakes mahakaman na kosa lao ni kutumia domain ya dot com badala ya dot tz chukia tahadhar jera sio kuzuri kuna manyampara wana roho mbya na ukame wa miaka mingi asanten na kwaheri
Mwenzetu we upo wapi?
 
Ulikuwa wapi Chifu?!

Hili la VPN mbona tumeliongea muda mrefu sana, hata kabla ya kampeni zenyewe hazijaanza!!!
 
Hii ni nzuri pia ili kuepuka hii Serikali dhalimu ambayo inafuatilia hadi watu wanachoandika mitandaoni kuikosoa
Kwa nini uogope maandishi yako ya mtandaoni kama huna nia ovu!?

Kosoa kwa staha, shauri kwa kuboresha na mengine kama hayo. Kamwe hutakuja kuwa na stress juu ya unachoandika mtandaoni.
 
Ningependa kuwakumbusha tu matumiz ya vpn ni kosa kisheria kwa mujibu wa sheria unaweza kuhukumiwa miaka saba jera na fine ya milion tatu au vyote kwa pamoja kabla hujamaliza kushangaa na kuanza kubisha nakukumbusha tu hata jamiiforum wanakes mahakaman na kosa lao ni kutumia domain ya dot com badala ya dot tz chukia tahadhar jera sio kuzuri kuna manyampara wana roho mbya na ukame wa miaka mingi asanten na kwaheri
Koma mara moja kuwatisha wanaume na ndevu zao.
 
Betternet VPN ni shidaaaaa
Unapotumia hizi products and/or services jaribu kwanza kuangalia review yake. Hapa angalia number of reviewers pamoja na value yake!! Aidha ni muhimu kuangalia reviews kutoka different sources especially kutoka kwenye top tech websites/blogs na social networks kama vile Reddit au Quora.

Ukiangalia review ya Betternet kwa kweli haivutii

Na kama ni 100% FREE, I wouldn't recommend at all.

Kama mtu usingependa kulipia basi ni heri bora tafuta Premium VPN yenye Free Plan kama vile Windscribe wanaotoa 10GB Free kwa mwezi au TunnelBear wanaotoa 1GB lakini ukiwarusha hewani, wanakuongezea!
 
Haha pole mkuu wengine siku ileile wanafunga baada ya muda tu tukarudi hewani.. nawaonea huruma ambao mpk sasa wapo kwenye kifungo!
Hivi kweli'eh?

Lakini haka ni ka aina flani ka 'mkomoeni' na ubinafsi wa kutaka sifa!

Uchaguzi si umeisha?

Matokeo si yametangazwa?

Sasa kwanini bado tu wamepiga tanchi mitandao yetu pendwa tulimozoea kushindia nyuma ya key board?
 
Ahaaha tunanchi karibia 10 zakukimbilia bila malipo yani ni-free, habari za mudaa huu hapo JAPAN

View attachment 1616621
Nipo netherland
BD4CDEE5-03A8-4467-A5C0-309CF1A33C04.jpeg
 
Back
Top Bottom