Natumai wale ambao biashara au maisha yetu in general yalikua yanaendeshwa na msaada wa internet sa ivi hali ine zorota kiaina
Ila bila kukawia tumepata i kitu inaitwa vpn ila ni kwa wale wachache tu ambao waliwai kuiweka kwenye simu zao na wale wengine ambao wametumiwa kwa Bluetooth au xender or any transfer app..
Mimi binafsi nimepoteza almost 1000$ mpaka kuja ipata vpn maana jamii nilio kua karibu nayo walikua awana ata idea ni nini!
Kuna mmoja nilimuuliza je unayo vpn!??
Akajibu hana wala ajui ni nini binafsi mimi najua i ina ongeza speed ya Internet kua na kasi kubwa kiasi
Sasa ila nikaulizwa je kirefu cha vpn ni nini!?
Mimi nikajibu; wait nitakuulizia kwa baadhi ya wataalam wa mambo jf watusaidie...
Msaada please.....
Nataka wateja wangu wote wawe nayo ili niweze weka mkono kinywani tena
Je! Na wewe imekuadhiri kivipi hi situation iliyo sasa?
Silalamiki but Internet imekua msaada mkubwa kwanzia wakulima mpaka wafugaji kwa wavuvi...walio wengi tz
Sichochie mgomo binafsi usichukulie kisiasa am sorry
fungi06