BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Connected to Germany.Connected to France, hapa mkuu full kujiachia
Kweli nimeamini, pata shida upate akili!
Connected to Germany.Connected to France, hapa mkuu full kujiachia
Unafanya nini huko MKUU?Mimi niko zangu Japan! Ila nasikia "tisialaei" wamepiga mikwara kwamba eti watatutafut
Mimi nlikuepo kipindi chote ccm walipizima internet,wengine vpn tunayo kitamboVirtual Private Network
Hellow Great Thinker
Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majaribio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani hapo mwanzoni haikua ndani ya simu yangu mungu nimwema leo majira ya saa 7 mchana nimefanikiwa kuipata.
Baadaya kuifungua hii APP Mambo yamekuwa mazuri.




Aisee huku fresh sana..niko Kumamoto kwa sasa napiga misele tu hapa.
Unajidanganya na VPN yako, wewe jiulize kwanini mitandao yote ilifungiwa ikabaki JF.
Huu ni mtandao wa serikali, hata censorship ya thread inakupa hilo jibu.
VPN ni sawa na kuingia motoni na rain jacket.
Usalama wako ni kusoma tu usiandike chochote JF kama mimi, hahaha.
Si nasikia eti "TISIARAEI" wana mpango wa kukamata watumiaji wote wa VPN eti kutumia VPN ni kinyume cha "Sharia"