Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,379
Unapotumia hizi products and/or services jaribu kwanza kuangalia review yake... hapa angalia number of reviewers pamoja na value yake!! Aidha ni muhimu kuangalia reviews kutoka different sources especially kutoka kwenye top tech websites/blogs na social networks kama vile Reddit au Quora.
Ukiangalia review ya Betternet kwa kweli haivutii!!!
Na kama ni 100% FREE, I wouldn't recommend at all.
Kama mtu usingependa kulipia basi ni heri bora tafuta Premium VPN yenye Free Plan kama vile Windscribe wanaotoa 10GB Free kwa mwezi au TunnelBear wanaotoa 1GB lakini ukiwarusha hewani, wanakuongezea!!
hakuna wa kutumia Premium services kwa user wa kawaida ambao wameijua VPN baada ya TCRA kuzima mitandao.
wengi wao wanapendelea VPN za Bure au kutumia kwa Trial time
Hiyo nikiyoutaja hapo ni Cracked version, ina full swing kama Vile imelipiwa