Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

chrislaulent

Member
Apr 21, 2017
9
14
Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima.

Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri.

Niende kwenye point. Siku ya leo, nilipigiwa simu na ndugu yangu kwenye ukoo huku Mwanza kuwa ana mchongo kwa kibiashara wa hela na hvyo hawezi niacha mimi nyuma.

Hivyo kwakuwa ninaheshimiana naye ilibidi niitikie wito, na nilivyofka eneo la tukio na kama nyumba ya mtu ambayo imekodiwa kwa ajili ya mafunzo hayo, ambayo na mimi nnaenda kuyapokea.

Nlkutana na vijana wengi wengine wakidai wao ni madoctor Bugando na wengne wako chuo Bugando na baadhi ya watu mbalimbali kadri ya walivyojitambulisha.

Shida ilianza kweny mafunzo yenyewe ya Q-net kwasababu siasa zilikuwa nyingi kuhusu mwaka ilipo anzishwa, mara udhamini na Man City na kuwatengezea special order ya saa wachezaj wa Man City pia udhamini wa CACFL yote hayo ni kutaka kuniaminisha kuwa kinacho endelea ni kizuri.

Walianza sema natakiwa niwe na mtaji wa MILION 6 ili na mimi niungwe kwenye network nianze kupiga pesa hapo ndipo akili ikaanza kucheza na kukumbuka baadhi ya thread za JF kuhusu kalinda.

Nimewakubalia na nimejaza fomu ila sijalipia hela yoyote kwanza ili nije nijihakikishie kwenye page ya JF.

Nashukuru kwa niliyo yapata hapa ingawa yalipostiwa nyuma kidogo ila yamenifungua sana.

Ila huruma ni kwa ndugu yangu kwasababu yeye ameshapigwa na ni mtoto wa kike amemaliza chuo mwaka jana ila ame-manage kupata MILION 3 ili kujiunga na hiyo kitu.

Nilichopanga nitaongea naye tu ila sijui kama atanielewa kwasababu ameaminishwa sana mpaka kufikia hatua ya kupelekwa kwa baadhi ya watu wanaosimamia hyo Q-net huku MWANZA-NYAHINGI kwenye nyumba zao na wanaishi na familia zao kabisa na kumuonesha yeye na baadhi ya vijana wengne yale wao hao watu waliyo yapata kupitia Q-net.

Ninatamani niandike zaidi ila naomba niishie hapa na NINAWAOMBENI SANA SANA WANA JF MSICHOKE KUELEKEZA WATU kwasababu vijana wapya wanaingia mjini na utapeli upo.
 
Jambo jema.

Ila kwanza anza kwa kutuma hizi link kwake, lengo ikiwa ni kumuandaa "kisaikolojia":
-https://www.jamiiforums.com/threads/mambo-30-usiyoyajua-kuhusu-utapeli-wa-q-net-network-marketing.1340251/

-https://www.jamiiforums.com/threads/q-net-company-biashara-mtandao-ni-utapeli-unaoenea-kwa-kasi-tanzania-serikali-mko-wapi.1241502/

-https://www.jamiiforums.com/threads/q-net-naomba-pesa-yangu-milioni-5-nimenunua-saa-mpaka-sasa-najuta-kuwafahamu.1351182/page-19
 
Matapeli wengine ni kama hawa
1711777198199.png
 
Mh! Kwank Q-Net bado ina opareti Tanzania? Na bado kuna watu wanajiunga?

Inaonekana watu wengine hawana exposha ya taarifa za matapeli! Hebu huyo ndugu yako mfungulie akaunti Jamii Forum atapata usaidizi!
 
😂😂😂😂😂 kikundi cha wehu haha “Good morning”! Yani mtu bado unatoa million 3! Walio wajinga wanaendelea kuliwa hakuna pesa bila kufanya kazi ni bora vikoba kuliko hao wehu wa good morning
 
Attachments

  • IMG_2110.jpeg
    IMG_2110.jpeg
    499.2 KB · Views: 2
Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima.

Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri.

Niende kwenye point. Siku ya leo, nilipigiwa simu na ndugu yangu kwenye ukoo huku Mwanza kuwa ana mchongo kwa kibiashara wa hela na hvyo hawezi niacha mimi nyuma.

Hivyo kwakuwa ninaheshimiana naye ilibidi niitikie wito, na nilivyofka eneo la tukio na kama nyumba ya mtu ambayo imekodiwa kwa ajili ya mafunzo hayo, ambayo na mimi nnaenda kuyapokea.

Nlkutana na vijana wengi wengine wakidai wao ni madoctor Bugando na wengne wako chuo Bugando na baadhi ya watu mbalimbali kadri ya walivyojitambulisha.

Shida ilianza kweny mafunzo yenyewe ya Q-net kwasababu siasa zilikuwa nyingi kuhusu mwaka ilipo anzishwa, mara udhamini na Man City na kuwatengezea special order ya saa wachezaj wa Man City pia udhamini wa CACFL yote hayo ni kutaka kuniaminisha kuwa kinacho endelea ni kizuri.

Walianza sema natakiwa niwe na mtaji wa MILION 6 ili na mimi niungwe kwenye network nianze kupiga pesa hapo ndipo akili ikaanza kucheza na kukumbuka baadhi ya thread za JF kuhusu kalinda.

Nimewakubalia na nimejaza fomu ila sijalipia hela yoyote kwanza ili nije nijihakikishie kwenye page ya JF.

Nashukuru kwa niliyo yapata hapa ingawa yalipostiwa nyuma kidogo ila yamenifungua sana.

Ila huruma ni kwa ndugu yangu kwasababu yeye ameshapigwa na ni mtoto wa kike amemaliza chuo mwaka jana ila ame-manage kupata MILION 3 ili kujiunga na hiyo kitu.

Nilichopanga nitaongea naye tu ila sijui kama atanielewa kwasababu ameaminishwa sana mpaka kufikia hatua ya kupelekwa kwa baadhi ya watu wanaosimamia hyo Q-net huku MWANZA-NYAHINGI kwenye nyumba zao na wanaishi na familia zao kabisa na kumuonesha yeye na baadhi ya vijana wengne yale wao hao watu waliyo yapata kupitia Q-net.

Ninatamani niandike zaidi ila naomba niishie hapa na NINAWAOMBENI SANA SANA WANA JF MSICHOKE KUELEKEZA WATU kwasababu vijana wapya wanaingia mjini na utapeli upo.
Hahaha umenikumbusha mwaka 2018 au 2019 niliperekwa Makumbusho na rafiki yangu kwa kuni convince sana, tukafika floor ya pili au tatu hivi..tukakutana na vijana wenye makoti na wahudhuriaji kibao..kikafanyika semina hapo hapo ya net work marketing na blah bla kibao sijui kununua madawa sijui lishe kwa laki tano na ponit hv ndio unajiunga.

Mwishowe rafiki yangu kaniita ofisni nikakutana na dada mmoja mwembamba mrefu hivi kwa hiyo tulikuwa watatu,mimi huyo dada na rafiki yangu wakaanza kunishauri nijiunge siku hiyo hiyo kwa Sababu rafiki yangu tayari alishajiunga kwa hiyo alitaka nijiunge na yeye aanze kupata faida nakuwa kama follow wake vile.

Nikamwambia rafiki yangu anilipie hicho kiasi nikipata mshara nitamrejeshea Sababu alining'ang'ania sana nijiunge na alianza kuniconvince muda sana.....akakubali akatoa hela hapo laki tano na point..nikapewa form nikajaza na kunganishwa watsap group.

Tukatoka ofisni nikakuta kuna semina ya pili wanachuo kibao na vijana tukashuka chini huku nafikiria inakuje hela inadowlodiwa ki urahisi hivyo huku rafiki yaku anafrahi jinsi tutakavyokuwa na hela na kutajirika mapema .

Nilirudi ghetto siku zikaenda mshara ikatoka jamaa kafika anataka hela yake, nikamwambia mm sinan mpango wa kuendelea na marketing net work chukuwa jina langu na form hii hapa utakuwa mimi kwenye hiyo net work marketing..

Ugomvi ulitoka na urafiki ulikatika anzia siku hiyo mpaka leo na jamaa aliliwa hela kuanzia alilojiunga yeye mwenyewe na alizonilipia jumla kama 1.2million na siku rudia tena kufuatilia tena hiyo net work marketing.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nikama huwa naona tangazo lao kwenye mashindano ya mpila, yaani AFCON na Club bingwa! Au siyo wao?
 
Kuna jama yangu mmoja mpuuzi sana! Baada ya kunizoea hapo Mwanza akawa anakuja ofisini kwangu Nyegezi kunishawishi!

Siku nilienda hapo ofisini kwao maeneo ya Isamilo baada ya kufika tu wakaanza GOODMORNING! Nikachukuliwa na dada mmoja kwenye chumba maalum akaanza kunipa maelekezo,hakika ni maneno ya kutia moyo sana kama ukitanguliza taa lazima uumie!

Baada ya mazungumzo na yule dada nikatoka chumbani nikaingia ukumbini ndo nilikutana na maajabu! Kuna Bwana mmoja alitookea Shinyanga akijitambulisha kuwa alikuwa Mwalimu na kwa sasa kaamua kuachana na kazi ya Ualimu na kujiunga Q-NET na anatengeneza pesa nzuri ila ukimwangalia kajaa stress na sura yake haina nuru!

Nilipokuwa naondoka eneo hilo nikiwa na mashaka makubwa juu ya Q-NET niliikuta gari aina na BMW akiwa anaondoka nayo dada mmoja lakini nikavuta kumbukumbu zangu kuwa gari hii nilimuona nayo yule jama kila mara akiwa anakuja ofisini kwangu Nyegezi!

Nikajifunza jambo moja kuwa hawa jamaa wana gari yao ambayo huitumia kwa kila mmoja wao akipata mteja ili kumuonesha mtu amefanikiwa hivyo kuwafanya kujiunga kichwa kichwa kwa kushawishiwa na gari ya mwana Q-NET!

Kila mmoja awe makini hakuna hela nyepesi hapa duniani!
 
Jambo jema.

Ila kwanza anza kwa kutuma hizi link kwake, lengo ikiwa ni kumuandaa "kisaikolojia":
-https://www.jamiiforums.com/threads/mambo-30-usiyoyajua-kuhusu-utapeli-wa-q-net-network-marketing.1340251/

-https://www.jamiiforums.com/threads/q-net-company-biashara-mtandao-ni-utapeli-unaoenea-kwa-kasi-tanzania-serikali-mko-wapi.1241502/

-https://www.jamiiforums.com/threads/q-net-naomba-pesa-yangu-milioni-5-nimenunua-saa-mpaka-sasa-najuta-kuwafahamu.1351182/page-19
Mkuu @chrislaurent muokoe nduguyo kwa kumtumia hizi link..
Aishie hapohapo kwenye milion 3
 
Hahaha umenikumbusha mwaka 2018 au 2019 niliperekwa Makumbusho na rafiki yangu kwa kuni convince sana, tukafika floor ya pili au tatu hivi..tukakutana na vijana wenye makoti na wahudhuriaji kibao..kikafanyika semina hapo hapo ya net work marketing na blah bla kibao sijui kununua madawa sijui lishe kwa laki tano na ponit hv ndio unajiunga.

Mwishowe rafiki yangu kaniita ofisni nikakutana na dada mmoja mwembamba mrefu hivi kwa hiyo tulikuwa watatu,mimi huyo dada na rafiki yangu wakaanza kunishauri nijiunge siku hiyo hiyo kwa Sababu rafiki yangu tayari alishajiunga kwa hiyo alitaka nijiunge na yeye aanze kupata faida nakuwa kama follow wake vile.

Nikamwambia rafiki yangu anilipie hicho kiasi nikipata mshara nitamrejeshea Sababu alining'ang'ania sana nijiunge na alianza kuniconvince muda sana.....akakubali akatoa hela hapo laki tano na point..nikapewa form nikajaza na kunganishwa watsap group.

Tukatoka ofisni nikakuta kuna semina ya pili wanachuo kibao na vijana tukashuka chini huku nafikiria inakuje hela inadowlodiwa ki urahisi hivyo huku rafiki yaku anafrahi jinsi tutakavyokuwa na hela na kutajirika mapema .

Nilirudi ghetto siku zikaenda mshara ikatoka jamaa kafika anataka hela yake, nikamwambia mm sinan mpango wa kuendelea na marketing net work chukuwa jina langu na form hii hapa utakuwa mimi kwenye hiyo net work marketing..

Ugomvi ulitoka na urafiki ulikatika anzia siku hiyo mpaka leo na jamaa aliliwa hela kuanzia alilojiunga yeye mwenyewe na alizonilipia jumla kama 1.2million na siku rudia tena kufuatilia tena hiyo net work marketing.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mafia sana ww
 
Jambo jema.

Ila kwanza anza kwa kutuma hizi link kwake, lengo ikiwa ni kumuandaa "kisaikolojia":
-https://www.jamiiforums.com/threads/mambo-30-usiyoyajua-kuhusu-utapeli-wa-q-net-network-marketing.1340251/

-https://www.jamiiforums.com/threads/q-net-company-biashara-mtandao-ni-utapeli-unaoenea-kwa-kasi-tanzania-serikali-mko-wapi.1241502/

-https://www.jamiiforums.com/threads/q-net-naomba-pesa-yangu-milioni-5-nimenunua-saa-mpaka-sasa-najuta-kuwafahamu.1351182/page-19
Pamoja mkuu na asantee pia kwa mchango wako
 
Bahati yako shukuru sana kujua kusoma.
😂 nilishtuka mapema kwasababu kuna kitu kama hii ilitwa idea debeter back then 2021 niko chuo walikuwa wana opearate kama hao q-net wanavyofanya
Walinipiga 10k chuo ila kuna wengine walipigwa mpak 1M kwahiyo nikashtukia deal ila nilijua hichi kitu nitapata ufafanuzi zaid jf
 
Back
Top Bottom