Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Kwahiyo Noah yangu lini sasa?MNYETISHAJI WANGU KANITONYA KUWA WANAUME WAMEKUBALI KULIPA TRILION 400 CASH
Time will tell, nchi ya maziwa na asali tunaelekea KaananiKwahiyo Noah yangu lini sasa?
Hebu muulize mnyetishaji wako basi
Nahisi zile Noah zetu zimeota mbawa. Kwa ukimya huu, nimeondoa matumaini ya kupata hata boda boda. Mimi nimesha amua naenda zangu Zimbambwe.Nipo hapa nasubiri Noah yangu kwa hamu yote ila cha kuhudhunisha hata mrejesho wa stori wakati wanakunywa chai sijasikia