Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Team wekundu...! Lets GoKumbe nawe mnyama bora tutembee pamoja
Team wekundu...! Lets GoKumbe nawe mnyama bora tutembee pamoja
I had missed you a lot!Labeka ma dear
Nipo sana mkuu naangalia nani atakuwa mshindi ukishakuwa na mashemeji wengi unajua dogo lako lipo fit[emoji14] mie nasubiri kitenge cha dadaUpo shemela ! Nataka nimchukue mdogo wako..clkey
coming soonEeehj ndio umefika mwisho au tusubirie episode 2
Ondoa shaka...tayari.[emoji4]Mi natumia App naomba unimention bro ..plz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ktk wazinguaji nawe umo...nilidhani jamaa atadrive kinoma!Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya
fakalava na mie tumeshachekechwaUsinitie majaribuni jamani asubhi yote hii jamani ntamsaliti Johnson wangu
Same to me,nikahisi labda URUS wame hack akaunt yangu,ila nikajipa moyo huenda THE BOARD au IsacNimerudi wakuu!
Jamiiforum yangu kama il6ikuwa na tatizo hivi..
Kila nikilog in naambiwa netwerk error...
Episodi ya 7 nitaipitia baadaye!
Aiseeee hiyo episode ya 7 ni funga kazi maana si kwa mitamanisho hiyo..............
Usijali mkuu!Nipo sana mkuu naangalia nani atakuwa mshindi ukishakuwa na mashemeji wengi unajua dogo lako lipo fit[emoji14] mie nasubiri kitenge cha dada
Welcome back mkuu!Same to me,nikahisi labda URUS wame hack akaunt yangu,ila nikajipa moyo huenda THE BOARD au Isac
Jirani naona mambo sio mabaya ...Watakuponza hao shauri yako, nahisi ushaanza kusahau nilipokutoa
yeah that's love ma bebi, mwaaaa.....Lv u moreee aisee
Kabla hata tume haijatangaza hesabu kabisa hicho kitenge umekipata tena cha congo,Nipo sana mkuu naangalia nani atakuwa mshindi ukishakuwa na mashemeji wengi unajua dogo lako lipo fit[emoji14] mie nasubiri kitenge cha dada
Jirani mambo mazuri kiasi ila kuna pipo humu zinanitia jamba jamba hatariJirani naona mambo sio mabaya ...