Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Hana kitu hUyo miziki ni kama hii hapa hata Michelle Obama akizikisikiliza lazima atoke chozi la huba
Awwwwwwww ushindani raha jamani?
Kila mmoja akiweka yake hivi burudaaaani tele

Hana kitu hUyo miziki ni kama hii hapa hata Michelle Obama akizikisikiliza lazima atoke chozi la huba

I love yo wet lips sweetheart!Nilkuwa nabofya bwana bahat mbaya nkaenda kwenye kapicha ss PC net ikawa inazingua
Nawe una macho aiseee badala usome hapa unaangalia hadi kwa jirani
We mponze abaki homeless sijui utaendelea kumpenda?Hebu mfungashie zile suruale zake 2 atoke !!
A man will be in soon!
Hny wananidanganya danganya hawa ujueWe mponze abaki homeless sijui utaendelea kumpenda?
Sema taratibu basi na wwI love yo wet lips sweetheart!
Natangaza kuweka ulinzi.Nilkuwa nabofya bwana bahat mbaya nkaenda kwenye kapicha ss PC net ikawa inazingua
Nawe una macho aiseee badala usome hapa unaangalia hadi kwa jirani
Hizi lips zimenifanya nifikirie mbali.Hny wananidanganya danganya hawa ujue
Naomba namie niingie kwenye tag list.Consider it's done shemela, ondoa shaka.
teh teh teh😀😀😀 laughing very loud.You are 100% fired!
Usiangalie hata nyuma !
In fakalava's voice, mfungashie mgaya aondokeKaroho bado kanampenda penda jaman ujue
Bila shaka,tayari.Naomba namie niingie kwenye tag list.
Watakuponza hao shauri yako, nahisi ushaanza kusahau nilipokutoaHny wananidanganya danganya hawa ujue
Yeah.. Najua hiyo bebi, nikute umepigia kile kivazi kina nizuka yake mida ya usiku.Naisubiri kwa hamu kwa vile namm naipendaga basiii hapana taab
Hizi ni dalili za kujiengua.Watakuponza hao shauri yako, nahisi ushaanza kusahau nilipokutoa
Doh, naona mnampango wa kunivua madaraka yangu basi mwambie shem aniazime ka hela niongezee siku,Tukitangaza mapema uhondo utaisha,kampeni si huwa zinafanyika Kwa miezi 2/3?
Mwisho wa simulizi hii ya vipepeo weusi mshindi atatangazwa.
,, please 
jiandae karibu nakuja.. am almost done!! imebidi nibadili ratiba 😀😉Awwwwwwww ushindani raha jamani?
Kila mmoja akiweka yake hivi burudaaaani tele![]()




Wooooow thank you darling.jiandae karibu nakuja.. am almost done!! imebidi nibadili ratiba 😀😉
