Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Duuuuuuuuuhh

Mimi ndiye niliyoandika hiyo stori sema watu wanachukuaga humu nyuzi alafu wanazipeleka huko watsapp hawatoi credit kuwa mwandishi ni The Bold..

Nikujibu swali lako, Yes ni stori ya kweli na niliandika kwenye uzi wangu wa July 30, 2016 unaweza kuusoma hapa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] aiseee kumbe naweza kuwa na kichwa kinafanya kazi balaa ama naweza kuwa mrithi wa sheikh Yahaya maana si kwa kuhisi huko
Ahsante sana
Kwani ukinitag kule itakuwa vibaya ama ngoja nimuombe wifi Nifah anisaidie
Lkn ndo ubaya wa watu aisee hata kusema tu fulani ndo.mwandishi wanaona taabu tuwe tunawashtaki hawa
 
Ndio walimwengu bhana walivyo! Yani kutoa walau credit tu kuwa muandishi ni fulani, inakuwa shida..

Nimeshakutag kwenye huo uzi and nimekuwekea link hapo juu kwenye coment angalia..
 
Mbaya namba moja ni ww mkuu we si wakunirushia ndege wangu hvo, you planed this bro,
Enewei kuna karata niliiificha kwa ajili yake acha niitumie sasa tuone kama mtampa tena hayo maluwe luwe [emoji37] [emoji37]

Hahahahah!! Braza mjumbe hauwawi braza.. Mimi nimekushtua tu uje kulinda Mali yako hahahahah
 
Kichwa hafai kufanya kazi The Board wala Usalama. Anatoa siri mapema sana

Kazi nzuri [HASHTAG]#The[/HASHTAG] Board
 
Hiyo episode ya 7 najua itakuwa hot...! Manake naona appreciations za kufa mtu..
 
Im already feel ur presence shemejitooo aha umeniita kajina kazuri aiseee
Thema thielewi elewi !! Whats going on!
Ni john.... ama mkoro...?? [emoji16][emoji16]

Jibu linaweza likajibiwa kwa pm lakini...for privacy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom