Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Ohoooooo pole jamaniiiiiiiKwenye Msimbazi wf yangu usiguse basi jaman
Ohoooooo pole jamaniiiiiiiKwenye Msimbazi wf yangu usiguse basi jaman
Asante Wii darling![]()

Ha ha ha....Maisha kiboko Maana Jana mpaka naulizwa LEO MBONA HUTOKI?UNAUMWA?Safi sana na kesho usiende maana nahis itakuwa tamu zaidi
Mida ya chakula cha usiku, cha wakubwa.Ile midaa ya wanga
Hakiwezi kukufia mama ulinzi wa nchi uko mikononi mwangu, naapa nitakulinda na kukujali kwa hali zote, sahau upuuzi wote wanazoziongea hao malofa "hapa mahaba tu"Wala sijasahau tatzo naona chama kitanifia mikonon mwangu1

Jangwani daima.Ina umbali gani?Mbona umeweza kusubiri huu mwaka wa nne hamna kombe la Ligi kuu msimbazi na sijawahi kukuona ukilalamika?![]()
hey bebi Clkey, Huyu jamaa bado hujamfukuza? fire him.Hakiwezi kukufia mama ulinzi wa nchi uko mikononi mwangu, naapa nitakulinda na kukujali kwa hali zote, sahau upuuzi wote wanazoziongea hao malofa "hapa mahaba tu"![]()
![]()
Kwan hata namwelewa ss naona kazidi kuchanganyikiwa co bure
Daaah wewe usinikumbushe kilakala flats...tuliinjoy sana Mnet SUA walitufutahisha mnookama ulijua mkuu...![]()
..M-net kupitia sua....ilikuwa wali nazi.....
![]()
..mji mpya na kilakala flat pamenihusu sana.....
Mdogo wangu hapo ndio tunapoachaniaUshindi jadi yetu. Tumeshachinjia mbali majimaji![]()
![]()

Huyo hachana naye njoo huku!Kwan hata namwelewa ss naona kazidi kuchanganyikiwa co bure
good .Ushindi jadi yetu. Tumeshachinjia mbali majimaji![]()
![]()
Ajajajaaaaaaaa utakuwa unaugulia maumivu huko upande wa pili daily.Mdogo wangu hapo ndio tunapoachania![]()

Umeonaaaaa nimeanza kusahau haya makitu sasaAjajajaaaaaaaa utakuwa unaugulia maumivu huko upande wa pili daily.
Bora shemejio awe anaweka story tu jamani kukupoza![]()
Hvi bado uko na huyo dogo? You wasting your time..Hny wananidanganya danganya hawa ujue
Sasa kama nataka dunia ijue kuwa am deadly in love with you...?Sema taratibu basi na ww
Mgaya keshasepa! Tony Transcend mla bata huyoooo....anaingiaIn fakalava's voice, mfungashie mgaya aondoke
Laugh this way !! Hahahahahaaaaateh teh teh😀😀😀 laughing very loud.



