johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
hilo jina huliogopi?Lol tangulia ww nijaribu kwa Mkoroshokigoli
hilo jina huliogopi?Lol tangulia ww nijaribu kwa Mkoroshokigoli
Hahaha pole mkuuNiko kwenye mwendokasi,nimeshindwa kushuka inabidi nishuke kituo kinachofata.
Nafumba machohilo jina huliogopi?
mwendokasi wenyewe unavokimbia nahisi utafika hadi mwisho ndo jamaa arudi katka hali yakeKwa jinsi stori inavyoishia,nimeshindwa kushuka kwenye mwendokasi. Inabidi nishuke kituo kinachofata.
Hahaha pole mkuu
hahahaha fala sana wwNafumba macho
mwendokasi wenyewe unavokimbia nahisi utafika hadi mwisho ndo jamaa arudi katka hali yake
Mwenyewe nilistuck ati lol maana huo utamu wake aiseeKwa jinsi stori inavyoishia,nimeshindwa kushuka kwenye mwendokasi. Inabidi nishuke kituo kinachofata.
Mwenyewe nilistuck ati lol maana huo utamu wake aisee
naona umeshutuka! Endelea na ngumi zako.nilikuwa nawafurahisha vijana wajione vidume pia, mwwenywe wajua vile siwezi geuza shingo kulia wala kushoto hata apite sepetu hapo, na wajua jinsi ninavojulia kukukaanga na kukugeuza kama chapati kisha nakukunywa kwa mchuzi wa pweza,, utamu huo nawezaje kuukosa hujui kuwa ww ni zaidi ya cheupe wa ray?, come on baby
Msaada ahaaa niliona nihangaike na taabu zang tuUngeomba msaada[emoji12][emoji12]
Karne hii yy anataka piga mwanamke uliona wapinaona umeshutuka! Endelea na ngumi zako.
Muongo huyo, achana naye.Waoooh ndo maana kwako sipindui aisee
Nami nilitaka kushangaa nan kakuroga mapema yote hii jamani hadi unaacha utamu wako
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Muongo huyo, achana naye.
Msaada ahaaa niliona nihangaike na taabu zang tu
Ila The Bold hafai aisee
Aiseeee hiyo episode ya 7 ni funga kazi maana si kwa mitamanisho hiyo..............