Vipaji maalum si lolote, si chochote

Vipaji maalum si lolote, si chochote

1)Natamani Wizara ya Elimu January kwenye siku fulani washtukize wapeleke mtihani wa darasa la saba kwa form one kwenye special school. Watatambua kuwa walioingia kiujanja ujanja kule ni wengi mno.

Ndio maana unashangaa mtu kasoma shule ya kawaida secondary halafu akafanya vizuri form iv,inawezekana alibaniwa nafasi yake na mtu aliyefanya ujanja ujanja.

2)Inasemekana kuna wabunge ambao walifanya ujanja ujanja wa kuiba kura ndio wakaupata ubunge,hiyo haifanyi tuache kutumia kura kupata wabunge bali ni kuboresha upigaji kura kusiwe na wizi wa kura. Kigezo cha NECTA kinafaa ila tu wizi na uchomekwaji udhibitiwe.

KWENYE MSAFARA WA MAMBA KENGE WANAWEZA KUWEMO ILA WAKATI MWINGINE KENGE WANAWEZA KUWA NI WENGI KULIKO MAMBA.

Vile vile kwenye msafara wa kenge mamba wanaweza kuwemo.

Inawezekana 60% ya walioko special hawana hawana uspecial au uspecial walio nao unazidiwa na uspecial wa wanafunzi wengine ambao hawako kwenye special school.
 
Huwezi ukalinganisha shule kama Tabora Boys na Marian Boys halafu ukahitimisha uchambuzi wako

Hizi shule wanazoziita special,zina wanafunzi wazuri lakini zina mazingira mabaya ambayo sio rafiki kwa ufaulu wa mwanafunzi

Maabara zao zimechoka,walimu hakuna,maisha ni magumu kiasi kwamba leo tukimleta mtoto kutoka Feza kwa mfano,bado hatofaulu kama alivyokuwa Feza

Uspecial unakuja wapi sasa,out of hizo hindrances zote,bado hawa watoto wanaweza kufaulu kwa ufaulu ambao hautofautiani sana na wale vijana wenye kuishi mazingira mazuri na walimu full

Ukienda vyuoni utakuta wanafunzi wengi ni kutoka hizi shule na shule 'special' za private maana nao hawachukui wanafunzi wabovu

Nenda COET na UDSL za UDSM pale,nenda Muhimbili,nenda KCMC na vyuo vingine utakutana na waboizia,wazumbe,kibaha,wadada wa kilax,msalato,kisimiri wamejaa kuliko shule nyingine yoyote ya serikali ya kawaida

Nusu ya darasa langu wote wapo Muhimbili,wengine wapo St. Francis, KCMC na CUHAS..Ni wanafunzi wawili tu walikosa qualification za kwenda medical school,siwezi kubeza aaisee
 
Hivi nijuavyo mimi Kipaji ni Talent kwa kimalkia...so hawa wanafunzi they are special talented sio? Pia huwa watu hawafanani kwa talents zao...iweje hawa wawe na same talent?
 
Mpaka leo sijapata jibu la swali langu!

Vipaji maalum maana yake nini na ni vigezo gani ambavyo waliamua kutumia kuamua huyu ana kipaji maalum na huyu hana?

Kwa sababu kupata alama za juu tu kwenye masomo haimaanishi kwamba una kipaji maalum.

Hao wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule kuna hata mmoja aliyevumbua chochote cha kuboresha maisha ya mwanadamu?

Halafu, hao wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule za vipaji maalum mbona tunawakimbiza sana huku uraiani.

Vipaji maalum maana yake nini?

Inaonekana uliumia sana mana haukuchaguliwa vipaji.
Ndio wamefaulu au walifaulu kuliko wewe
 
Inaonekana uliumia sana mana haukuchaguliwa vipaji.
Ndio wamefaulu au walifaulu kuliko wewe

Mie mbeba maboksi wala sikuwa na mpango wa kusoma spesho skuli na wala sina kipaji chochote kile kilicho maalumu.

Ila hata kwa ubeba maboksi wangu nakuhakikishia kuwa bado nakimbiza mbaya mno hao so called vipaji maalumu.
 
Saying kuwa hakuna vipaji maalum Tanzania is wrong, may be the wording of "Vipaji Maalum" au "Special School" is wrong but wikipedia defines these schools as schools for "academically gifted" students which based on the criteria our country uses ni sahihi.
Mi nimesoma kibaha boys, baba yangu alisoma pale na kaka yangu amesoma pale so mtazamo wangu utakuwa based with my experience at kibaha boys(A-level).
May be kuiita vipaji maalum is overrated but these boys/girls need recognition for their academic excellency, mtasema Feza boys(6million), Marian girls, St. Francis, etc also deserve the recognition but the point is kuwa most students who go to these "special" schools cannot afford going to those performing private school, which tells you much about their background, they went to local schools and most likely they are living below living standards which scientifically should affect their academic performance but they tried and they performed better than everyone else in the country to get into "special" schools.

For O-level results it has been a trend for private and "single sex" schools kuongoza, nilisoma private catholic school O-level, and by then we were the only co-ed school kuingia topten usually(Msolwa). Private schools zinafundisha, materials zipo, you get everything, government schools you'll be lucky to finish the syllabus, leave alone students-to-teacher ratio, but still these boys/girls kushika nafasi ya 17,18 etc mnasema sio vipaji, I think for you guys to appreciate uwezo wao kiakili u must live with them, see them. Mbona hamuongei when they lead kidato cha 6, and no wonder why they keep on doing good vyuoni.

The only thing we can blame ni mfumo, may be they need to do more in these schools, expose these boys and girls to external world, many of them have a quality ya kuingia chuo vyuo vikubwa duniani under full scholarship if they knew about doing SATs, TOEFLs etc. they system has tuned them to aim for UD, to fight for mkopo and nothing more, to believe success is in academics only, they haven't been given much to explore their other potentials.

Conclusively, a drop of blood doesn't make the ocean red, these kids are smart and they deserve to be called academically gifted, si kila mtu can perform in conditions they are subject to and being in the top 20 is remarkable.

Wanaumiaje waacheni mana hawajaenda vyuoni waone wengi wanaoongoza wametokea hizo shule na ndo ma academicians i.e ma lecturers wengi.fuatilieni historia za waliofaulu extraordinary walitokea wapi.

Hawataki gape so wanataka equality
 
Criteria iko flawed! Iko flawed kwa sababu kufanya tu vizuri kwenye mitihani ya kumaliza shule hakukufanyi wewe uwe na kipaji maalum.

Nimetundika youtube clips za watoto walio na vipaji maalum. Mmoja ana miaka 13 anazungumzia mambo ya ku publish theory yake katika mambo ya sayansi....mmoja ana umri wa miaka 12 na yuko college tayari.

Mwingine akiwa na umri wa miaka 2 au 3 tayari alikuwa anaweza kufanya hesabu za 8th grade.

Hivyo ndiyo vipaji maalum.

Halafu umerusha dongo kwa sie tuliosoma skuli za kawaida kwamba tumevumbua nini...well, kwa sababu sie tu wa kawaida hivyo hatuna brain power ya kuvumbua chochote wala kushinda tuzo ya nobeli.

Huo uwezo mnao nyie wa "special school". So, what do you have to show for it?

Mbona ameshakuonyesha kuwa alifaulu kuliko ww primary au olevo,binafsi nimepitia spesho so kama una chuki sawa bana . Vipi na vyuo vya kata na chuo kikuuu
 
Angalia na mazingira,nyenzo kwa Tz ni hafifu,mi naona hizi shule ziko academic oriented n not otherwise,
ni kukariri notes na kufaulu exams tu,generally mwenye uwezo mkubwa wa ku claim ndio anakuwa regarded as kichwa.

Kwa hiyo www haukariri
 
Sasa kwa mfano wewe una kipaji gani kilicho maalum?

Hapa tatizo ni dogo sana ila sijajua kwa nini watu hawataki kulielewa, suala sio uwepo wa hizo shule ila ni dhana iliyowekwa. Kwanza kabisa ni kweli sijaona mtu akijibu swali lako la kipaji maalum ni nini? Kama akitokea atakubali kwamba hauhitaji kufaulu sana kua na kipaji, tena hapa wameongezea neno maalum kuonyesha msisitizo.

Mtu mwenye kipaji ni ile kua na uwezo usiowa kawaida kwenye jambo flani, hafanyi juhudi sana ila ufanisi wake ndio unashangaza watu. Kwa maana hiyo ufaulu wa mtihani hauwezi kutumiwa kama kipimo cha kipaji maalum. Vinginevyo waseme kipaji cha ufaulu napo itaongeza swali kwamba hao hawasomi ila wanafaulu tu kwa sababu wanakipaji.
 
Sasa kwa mfano wewe una kipaji gani kilicho maalum?

Ki academic kama haukupitia vipaji alifaulu kuliko ww.

Kwani mtu akifaulu kukuzidi si tayari ni kipaji bana au unawachukia na pia hautaki uonekane kama ulizidiwa.

Hata ukikimbia na usain bolt atakushinda so ni kipaji kuliko ww.ishu kwani ipo wapo watu walikaa na kutengeneza system ww unataka kuiua .
 
Kipaji chako maalum ni kipi ikiwa umesoma na kukariri walivyovumbua wenzio?

Umeweza venture the unknown utuoneshe?

Ambaye ww haukukariri hebu onyesha mana yy ameshakuonyesha kwa kufaulu zaidi au ku perform zaidi kimtihani kaka.

Sema ni nature ya binadamu hataki kuzidiwa na ikitokea akizidiwa atadisi ili gape lisiwepo .ila ikitokea akiwa ndo yupo kwenye hicho kiatu atajitahidi kionekane kwa namna yyte .

Asikudanganye mtu yyte chini ya dunia anatafuta kukubalika na ikishindikana ndo mara mie sitaki sifa .wote huo wa nn.au sisomei sifa na bado haujawahi kumuona akienda kwa mwalimu ili apunguze marks toka 98 mpka 56 say mana yy hatafuti sifa
 
Back
Top Bottom