Vipaji maalum si lolote, si chochote

Vipaji maalum si lolote, si chochote

mfumo wa elimu haivitambui vipaji vya uvumbuzi kwenye ngazi ya chini hivyo wanatumia kigezo cha ufaulu kama kipaji hebu niambie ni mtoto gani tanzania kavumbua kitu at std7

Sasa kwa mfano mtu akiiba mtihani na akafaulu vizuri, presto, naye ana kipaji maalum?

Au mtu tu mwenye akili za kawaida akijisomea kwa bidii na kufaulu vizuri huo mtihani wa taifa basi ndo atakuwa na kipaji maalum?

Ndo maana hao waliosoma kwenye hizo shule hatuoni wakifanya yoyote ya maana baada ya kumaliza kusoma na moja ya sababu ni kwamba wala hawakuwa na vipaji vyovyote vile vilivyo maalum lakini waliaminishwa tu kuwa wanavyo kwa sababu ya kufaulu mtihani.

Inasemekana eti hata Mwigulu Nchemba alisoma shule ya wenye vipaji maalum. Sasa huyo naye ana kipaji gani maalum?
 
Lazima itakuwa ni Mulugo type.

hahahaaa!! mkuu hizi shule zote zilijengwa enzi za ukoloni, na tunaweza kusema kuwa zilikuwa za mission.

kuhusu mulugo, unataka kusema mwalimu jk alikosea hapo mkuu?
 
swali la kizushi kwa nini kila mtu(most of us) anayefaulu vizuri anataka kusoma udsm,muhas, mzumbe, na sua, na maks za kuingia iz chuo ni tofauti,na wanaosoma nje ya hapa wanaonekana vilaza
 
swali la kizushi kwa nini kila mtu(most of us) anayefaulu vizuri anataka kusoma udsm,muhas, mzumbe, na sua, na maks za kuingia iz chuo ni tofauti,na wanaosoma nje ya hapa wanaonekana vilaza

Kwa hiyo mtu ambaye kasoma Vanderbilt anaonekana ni kilaza kwa vile tu hajasoma hivyo vyuo?

Maana wapo pia waliofaulu vizuri lakini hawakuwa na nia ya kusoma kwenye hivyo vyuo.....
 
Kwa hiyo ina maana nikiwa nina bidii sana ya kujisomea na bidii hiyo kupelekea kufanya vizuri katika mitihani ya taifa basi nitakuwa na kipaji maalum?

Na kwani kipaji cha uvumbuzi siyo ishara ya akili kuliko wengine?

Embu wakujibu maana hata mimi sielewi wametumia kigezo gani kusema hawa ni kipaji na hawa hawana!! Nafwatilia mada!!
 
uspecial upo kwa mtu mwenyewe whether ukiwa katka 'special schools' au shule za kawaida.

have been to ilboru, kuna watu for sure wapo gifted, but it doesnt mean kila alikuwepo katika hizo special school is gifted.
 
Kwa wasiojua....vipaji maalum maana yake wanafunzi waliofanikiwa kufikia UFAULU unaopatikana kwa WENYE VIPAJI TU!!hata NCHI ZA WENZETU wanayo haya!
 
Shule za vipaji kwangu mimi ni zile zilizokuwa za ufundi...kama ifunda, moshi tech na dar tech enzi hizo...hawa hata masomo yao yalikuwa tofauti kabisa...hawa hata form for walikuwa wanaweza kuishi mtaani kutokana na ujuzi waliopewa...ndio waliokuwa nafundi redio mtaani..ndo wapaka rangi ndo mafundi bomba....maana mashuleni ndo walichokuwa wanasomea...ila hawa wa mzumbe, ilboru masomo yao ni sawa tu na ya wanafunzi wengine...na mitihani pia ni sawa....ingekuwa wale wa shule za ufundi wanaendelezwa vizuri ndo walikuwa na hadhi ya kuitwa vipaji maalumu
 
Sijui kweli. Sasa jibu swali. Huo ufaulu ndo ukoje?

Hiyo ni standard scale ktk Elimu,mwenye marks nyingi ndio mwenye kipaji maalum japo kwangu naongezea.....marks nyingi ktk mazingira ambayo sio favorable ni kipaji maalum...mfano:MSULI SISIMIZI,MATOKEO TEMBO,kipaji maalum SIR!!
 
Kwa hiyo hata mimi nikiwa msongo nakesha usiku kusoma nikija kupata maksi nyingi ndo nakuwa na kipaji maalum, siyo?
 
Shule za vipaji kwangu mimi ni zile zilizokuwa za ufundi...kama ifunda, moshi tech na dar tech enzi hizo...hawa hata masomo yao yalikuwa tofauti kabisa...hawa hata form for walikuwa wanaweza kuishi mtaani kutokana na ujuzi waliopewa...ndio waliokuwa nafundi redio mtaani..ndo wapaka rangi ndo mafundi bomba....maana mashuleni ndo walichokuwa wanasomea...ila hawa wa mzumbe, ilboru masomo yao ni sawa tu na ya wanafunzi wengine...na mitihani pia ni sawa....ingekuwa wale wa shule za ufundi wanaendelezwa vizuri ndo walikuwa na hadhi ya kuitwa vipaji maalumu

Vipi kuhusu VETA?
 
Kwa hiyo hata mimi nikiwa msongo nakesha usiku kusoma nikija kupata maksi nyingi ndo nakuwa na kipaji maalum, siyo?

Kusoma sana sio kufaulu sana....kwani ulikuwa husomi sana wewe??mbona sio kipaji maalum
 
Vipi kuhusu VETA?

VETA ilikuja baadaye sana...kabla ya veta ndo zilikuwepo hizi shule...zilikuwa zinatoa wanafunzi wazuri sana ila selikali ilikuwa inashindwa kuwaendeleza....kama ingekuwa inaendelea nao mpaka mwisho hakika wangekuwa wanafunzi wenye ubunifu wa hali ya juu...ila tatizo ni hilo selikali nyingi za kiafrika hazijali sana mambo ya creation and inovation
 
Back
Top Bottom