Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,541
- 7,372
Ndo nini hii>?Mzumbe =.14
14. Approximetly 10
. 10= 14 top ten
Ndo nini hii>?Mzumbe =.14
14. Approximetly 10
. 10= 14 top ten
Vipaji Maalum vimezidi kudorora Kidato cha Sita,2015. Mzumbe (14), Ilboru (16), Kilakala (18), Kibaha (22), Msalato (35) na Tabora Boys (53)
Vipaji Maalum vimezidi kudorora Kidato cha Sita,2015. Mzumbe (14), Ilboru (16), Kilakala (18), Kibaha (22), Msalato (35) na Tabora Boys (53)
Nimefuatilia nyuzi zako kuroka kwenye jukwaa la siasa kule unaonekana hujiamini na hapo ulipo fika ni kwa bahati tu...unasumbuliwa na inferiority complex...na it seems ulitaka sana kusoma special school ukashindwa....poor you!!!
Maana yake ni wale waliokushinda katika ufauluMpaka leo sijapata jibu la swali langu!
Vipaji maalum maana yake nini na ni vigezo gani ambavyo waliamua kutumia kuamua huyu ana kipaji maalum na huyu hana?
Kwa sababu kupata alama za juu tu kwenye masomo haimaanishi kwamba una kipaji maalum.
Hao wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule kuna hata mmoja aliyevumbua chochote cha kuboresha maisha ya mwanadamu?
Halafu, hao wanafunzi waliosoma kwenye hizo shule za vipaji maalum mbona tunawakimbiza sana huku uraiani.
Vipaji maalum maana yake nini?
tanzania ina shule sita zinazojulikana kama vipaji maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni mzumbe,tabora boys,ilboru,na kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni kilakala na msalato.
Katika matokeo ya kidato cha nne ya 2012 yaliyotangazwa leo,shule hizo za vipaji maalum zimeboronga. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. Vipaji maalum sasa hakuna lolote,hakuna chochote.
Nafasi zao ni kama ifuatavyo: Mzumbe(17),kibaha(18),ilboru(31),tabora boys(44),msalato(59) na kilakala(63).
Note: Shule mpya ya marian boys ambayo ndio kwanza imeanza kutoa wahitimu wa kidato cha nne imeshika nafasi ya pili kitaifa. Hii ni shule pacha ya marian girls (zote ziko bagamoyo).marian girls imekamata nafasi ya nne nyuma ya feza boys(3) na vinara st. Francis girls ya mbeya.
Kwaheri vipaji maalum!
ukileta mambo ya nobel prize na kipaji maalum unakosea sana, chambua kwa logic....ila ni ukweli kuwa sasa hivi ni tofauti na zamani...siku hizi ile impacts ya vipaji maalum haipo labda ni mfumo wa elimu umeharibika.....ila zamani nalikuwa naona sana na watu walikuwa wakitoka olvel to advance wanapaa zaidi to chuo....walikuwa vipaji kweli...mpaka majina wengine mpala leo nawafhamau kwa majina...
Mosses mwizarubi..
Sebastian ernest...etc by that time nilikuwa o level...nilikuwa mfuatiliaji sana wa results.....zilinipa hamasa.....moaka sasa wenigne wa lecture madaktari etc.....ila ni tofauti sasa hazina impact...mzumbe, kibaha, tabora, ilboru majina makubwa yaliyofifia.....zilikuwa heshima kwa serikali...but now gvt issues alomost zote ni ovyooo
ila dont relate it na nobel prizes...
Haaa inabidi tulio soma huko tuseme ukweli, mzumbe, ilboru, tabora, kibaha, kilakala na msalato ndio shule zilizopo juu kwa upande wa serikali ni spesho school sababu ya akili binafsi ya wanafunzi waliopo hapo. Kiufundishaji sawa na kata tu tuliosoma advance pale tumeyaona yaan wewe ndio mwalimu kukava utajua mwenyewe. Lakini likija swala la ufaulu huwezi kulinganisha na shule ya kata kupata wastani wa sabini form 2 wewe ni wa kawaida tu ilboru, Azania utaeshimika shule za kata sijui kama kuna mwenye ubavu wa kufikisha 70 matokeo tuna yajua. SPESHO ZINAKUFA VIPI SASA? Shule kama feza huwa zina tabia ya kusomesha bure vijana wenye maksi kali ambao ndo ilipaswa waende spesho kama ulikua hujui basi ndo ujue hivyo.
Hata JK amesoma vipaji kibaha kaleta jipya gani? huko ni vipaji maalumu au waliobahatisha kukariri majibu yaliyotoka kwenye mitihani?
Nawe ulisoma spesho skul? Huko ndo ulikofundishwa kuandika?
SMDH!
Sasa hapo ndo umeandika nini wewe? Hebu rudia kusoma uone kama hata utaelewa ulichoandika.
Kwa hiyo kama mimi nikipata 52 kwenye hesabu halafu wewe upate 54, wewe ndo utakuwa na kipaji?
Hivi umetoka kunywa kangala ndo ukaja kuandika humu au....?
Jibu swali nini maana ya vipaji maalum? Onyesha mifano inayoweza kusadifu dhana ya vipaji maalum...
Je vipaji maalum wanaishia wapi? Kuna specific place ambayo watu hao huelekea ikiwa kwenye ajira au elimu ya juu?
Ni UPI mchango Wa vipaji maalumu kwa nchi unaoweza kujipambanua tofauti na elimu ya kawaida??
nyani ngab wivu huo bana neda kaangalie matokeo ya form six ondoa kwanza private theni utuambie shule gani ya serikali imezipita shule hizo? Pili lazima ujue kwamba shule za private huwa zina tabia ya kusomesha bure vipaji vilivyo takiwa kwenda spesho ili kubeba matokeo na mbinu za chini za kuwasaidi ktk mitihani hiyo hapo hela ina tumika rushwa haiiishi ng'oooooo tz yaan haitatokea. Kiufundishaji jamaa wanapigwa shule balaa yaani kumaliza sirabasi ya form 5 na 6 kwa mwaka mmoja then form six ina rudiwa upya tena wakat kule ilboru utajiju mwenyewe uangaike unapojua. Agalia hii then useme kwann wanamtanga wa 8? wa kwanza yupo wapi? huyo wa kulia ni mwalimu wa feza ili mpasa aende mzumbe olevel hakwenda na advance kapelekwa tena hakwenda hiyo ndo hali halisi tusiende kishabiki Kidato cha sita watamba - Kitaifa