Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Na ndomana nilikwenda kipaji kilicho ongea ni maksi wala si longo longo
Kwahiyo kuwa na Maksi nzuri ndio ukipaji wenyewe?
Na ndomana nilikwenda kipaji kilicho ongea ni maksi wala si longo longo
Kwahiyo kuwa na Maksi nzuri ndio ukipaji wenyewe?
kwanza nakupa hongera kwa kusoma special school..!! upo vizuri ila
Mkuu achana na hawa watu..!!
hawata kuelewa hata kidogo...!!
kama angekua kasoma kipaji asinge sema ayo maneno...!!.
Mi naona ambao hawakusoma vipaji wanapata inferiority complex tuu..aliyesoma kipaji ni kipaji tuu u cant match urself u need extra effort
mxiii then??
Mi naona ambao hawakusoma vipaji wanapata inferiority complex tuu..aliyesoma kipaji ni kipaji tuu u cant match urself u need extra effort
Ayo-hayo
Alafu hakuna shule Tz inaitwa kipaji.😀
Na kwa mwendo huu wa kukumbatia vya bure kwenye vitu vya msingi kama elimu inayohitaji gharama tutarajie maafa zaidi kwa hizi shule zetu pendwa.The saga continues...Jana tena, hakuna shule hata mopja ya vipaji maalum iliyochomoza katika kumi bora ya kitaifa kwa matokeo ya kidato cha nne.
Great!
Kwa hiyo wewe una kipaji maalum, siyo?
Picha inaendelea
Wewe ndina leta matokeo ya form six kwa miaka mitatu ilopita. Tazama best 10 schools halafu rudi hapa.Picha inaendelea