Hujajibu swali....
Tofauti kuu ya hao tunaowaita vipaji ktk education outcomes ni zipi tukiwatofautisha na wengine?
Unaelewa vizuri dhana ya kipaji? je mfumo uliokupeleka huko Vipaji maalum ndo mfumo sahihi Wa kung'amua vipaji?
Mtihani ni kipimo sahihi ya kutambua kipaji cha MTU? Kama ndiyo unazungumziaje waigiliziaji, wevi Wa mitihani waliopasua na kwenda huko?
pili unajua mtihani uliofanya juzi nikikupa Leo unaweza ukafeli? hivi kipaji kinapatikana kwa mfumo huu Wa knowledge/competence approaches tena kwa kupima ukariri au umahiri Wa waliosoma mambo ya wavumbuzi wengine??
Kuna Dr. mmoja Wa UDSM aliwahi uliza kwenye mjadala je serikali ijibu vipaji wanakwenda wapi? maana wanaowapokea vyuoni ukiwapima uwezo wao hauna tofauti na wengine.....
1.Haimaanishi kama haujapitia kipaji basi we hauna uwezo,na vile vile vipaji maana yake sio kushindana kuwapita ambao si vipaji, Kikubwa ninachokiona unaleta ubishani tu,kumbuka hivi ni vipaji vya ki-academic na si kuimba wala kucheza,SO OUTCOMES KUIJUA FANYA RESEARCH PITA MAKAZINI,BUNGENI,NENDA MUHAS PALE,DIT,COET.....NDIO UTAJUA,IKIWEZEKANA LETA JAMVINI HAPA....... 2.we unataka mfumo gani uwapeleke huko kama si mtihani,tembea dunia yeyote mtihani ndio kipimo cha mwenye kujua kaka.
3.kama mtihani si kipimo sahihi ulizia ukitaka kusoma undergraduate chuo chochote duniani unapimwa na nini,na kama mtu aliigilizia si let say form four si atafeli form six,
kwani we unawivu gani,mtu kuitwa kipaji?
4.Acha kuleta hoja zako za kitoto dunia mzima watu huwa wanasoma mambo waliyogundua wengine,elimu yetu tuliirithi kutoka uingereza ndio ambayo inatumika almost duniani kote,mbona wengine wanashindwa kukariri hayo ya wengine na wanapata hadi ziro,
ndio unataka tuwaite hao ni vipaji.
5.huyo Dr.alikuwa na lake jambo,mtu anaweza kupungukiwa uwezo kwa mambo mengi sana,mfano mimi nilipofika chuo nilianza kujishughulisha na masuala ya kisiasa,nakuna wenzangu kibao tulipofika mwaka wa tatu walianza kutibu mitaani,wengine walianza business hadi kuchukua mizigo Malaysia,wakirudi wanapiga END OF ROTATION,lakini bado walichomoka,chuo kuna mambo mengi broh,halafu wengi wahasomi kiushindani............we unakuta degree inaitwa UNCLASSIFIED........unategemea nini?
MWISHO:1.LETA MAONI NI MFUMO GANI WEWE UNAUTAKA ILI TUPATE DHANA HALISI YA KIPAJI?
2.NI KIPIMO GANI KIZURI TUKITUMIE KUPATA HAO AMBAO UNADHANI WAO NI VIPAJI,TOFAUTI NA MTIHANI?
3.JE WEWE ULITAKA VIPAJI WAKIMALIZA CHUO WAWE WANAENDA WAPI?
NOTE:KUMBUKA MIMI NAZUNGUMZIA VIPAJI VYA ACADEMIC NA SI UVUMBUZI,MZIKI WALA BIASHARA.