The Engeez
Member
- Jan 4, 2011
- 67
- 25
Kaka kbmk huyu jamaa ni wale waliokuwa wanatamani kusoma Special School akaanza kukariri akidhani ufaulu wa mitihani unatokana na kukariri aliposhindwa ndo anaanza chuki na visa,akimaliza hiyo topic utasikia anasema UDSM si lolote,Akitoka hiyo utasikia BEng na BSc ipi kali?Hawa watu ni kuwaelimisha tu akizingua achana nae.nyani ngab wivu huo bana neda kaangalie matokeo ya form six ondoa kwanza private theni utuambie shule gani ya serikali imezipita shule hizo? Pili lazima ujue kwamba shule za private huwa zina tabia ya kusomesha bure vipaji vilivyo takiwa kwenda spesho ili kubeba matokeo na mbinu za chini za kuwasaidi ktk mitihani hiyo hapo hela ina tumika rushwa haiiishi ng'oooooo tz yaan haitatokea. Kiufundishaji jamaa wanapigwa shule balaa yaani kumaliza sirabasi ya form 5 na 6 kwa mwaka mmoja then form six ina rudiwa upya tena wakat kule ilboru utajiju mwenyewe uangaike unapojua. Agalia hii then useme kwann wanamtanga wa 8? wa kwanza yupo wapi? huyo wa kulia ni mwalimu wa feza ili mpasa aende mzumbe olevel hakwenda na advance kapelekwa tena hakwenda hiyo ndo hali halisi tusiende kishabiki Kidato cha sita watamba - Kitaifa