Vipaji maalum si lolote, si chochote

Vipaji maalum si lolote, si chochote

Mifano yako ya vipaji ni halali, and I agree with you 100% but kibongobongo hamna exposure ya vitu kama hivyo au kama vipo havina thamani kama tunavyothamini Elimu ndo maana academic excellency is gifted and in this case zinaitwa "special".

I'm sure you happen to know people who are talented in different fields like soccer, music, maths, computing etc but what will that take them to in Tanzania? NOWHERE. Based on criteria tulizojiwekea usage of "Special" au "Vipaji Maalum" may be misleading/wrong but I fully support the use of "Academically or Intellectually gifted" just like how it's used in every top school globally. Almost every country has a gifted education program. A quick google search on "academically gifted schools" will prove kuwa hata katika nchi zilizoendelea matumizi yake ni sawa na sisi(ambiguous), "gifted" goes in hand na "talented" in many cases. Ben carson achieved something big to be titled "gifted" hands, so is kina Torvalds, George Hortz, Bill Gates, Steve Wozniak, Mark Zurkeberg they are all called "gifted" software engineers sababu they have done better than pretty much everyone in the things they do, so if someone does better than everyone in academics it's very legal to call them "academically gifted". The magnitude of "gifted" is comparative, and so is "talented"/"special". Jose Mourinho can attest to the use of "special" better than me.
 
So far hakuna hata mtu mmoja niliyekutana naye ambaye kasoma hizo shule za "vipaji maalum" ambaye kweli ana "kipaji maalum". Kupasi vizuri mtihani wa taifa hakumfanyi mtu awe na kipaji maalum.
 
Which makes us all agree kuwa usage of "vipaji maalum" is misleading but not the concept because the whole world acknowledges the presence of academically gifted schools, which takes students who have done well than their colleagues in standardized exams which is the same kwetu.
 
Fair statement.
 
Ni nani mwingine humu ambaye kasoma moja ya hizo shule za "vipaji maalum"?

Kama yupo na ajitokeze nim-test kama kweli anacho hicho kipaji maalum lol.
 
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na Msalato.

Katika matokeo ya Kidato cha Nne ya 2012 yaliyotangazwa leo,Shule hizo za vipaji maalum zimeboronga. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. Vipaji maalum sasa hakuna lolote,hakuna chochote.

Nafasi zao ni kama ifuatavyo: Mzumbe(17),Kibaha(18),Ilboru(31),Tabora Boys(44),Msalato(59) na Kilakala(63).

NOTE: Shule mpya ya Marian Boys ambayo ndio kwanza imeanza kutoa wahitimu wa kidato cha nne imeshika nafasi ya pili kitaifa. Hii ni Shule pacha ya Marian Girls (zote ziko Bagamoyo).Marian Girls imekamata nafasi ya nne nyuma ya Feza Boys(3) na vinara St. Francis Girls ya Mbeya.

Kwaheri vipaji maalum!
Usiwe kama aliye gizani. Shule za vipaji maalum zilishafutwa indirect na serikali ya CCM! Nilibahatika kusoma kwenye shule hizo, hali haikuwa kama sasa ambapo div 3 anapata selection. Sasa kama aliyekuwa enrolled hana sifa ya kipaji maalumu, itakuwaje huhoji matokeo maalum? kiufupi, hazipo tena. Ila, tutakapokamata dola 2015, lazima zirudi zote!! Tafakari.
 
Great!

Kwa hiyo wewe una kipaji maalum, siyo?
 
Kwa nini unakimbilia kunyoosha kidole cha wivu badala ya kujibu swali lililoulizwa?

Vipaji maalum maana yake nini na ni vigezo gani wanatumia kuamua huyu mwanafunzi ana kipaji maalum na huyu hana?
Creteria wanayotumia ni performance kwenye mitihani ya kumaliza shule za msingi na o'level,wale wenye marks za juu wanachaguliwa kwenda hizo special schools.Wanajitaidi sana especially kwenye mitihani ya kidato cha 6,naona mkuu
umekadhania na uvumbuzi,kwani nyie mliosoma za kawaida mmepata hizo tuzo za nobel kwa kuzindua nn?
 
Criteria iko flawed! Iko flawed kwa sababu kufanya tu vizuri kwenye mitihani ya kumaliza shule hakukufanyi wewe uwe na kipaji maalum.

Nimetundika youtube clips za watoto walio na vipaji maalum. Mmoja ana miaka 13 anazungumzia mambo ya ku publish theory yake katika mambo ya sayansi....mmoja ana umri wa miaka 12 na yuko college tayari.

Mwingine akiwa na umri wa miaka 2 au 3 tayari alikuwa anaweza kufanya hesabu za 8th grade.

Hivyo ndiyo vipaji maalum.

Halafu umerusha dongo kwa sie tuliosoma skuli za kawaida kwamba tumevumbua nini...well, kwa sababu sie tu wa kawaida hivyo hatuna brain power ya kuvumbua chochote wala kushinda tuzo ya nobeli.

Huo uwezo mnao nyie wa "special school". So, what do you have to show for it?
 
Criteria iko flawed! Iko flawed kwa sababu kufanya tu vizuri kwenye mitihani ya kumaliza shule hakukufanyi wewe uwe na kipaji maalum.

Nimetundika youtube clips za watoto walio na vipaji maalum. Mmoja ana miaka 13 anazungumzia mambo ya ku publish theory yake katika mambo ya sayansi....mmoja ana umri wa miaka 12 na yuko college tayari.

Mwingine akiwa na umri wa miaka 2 au 3 tayari alikuwa anaweza kufanya hesabu za 8th grade.

Hivyo ndiyo vipaji maalum.

Angalia na mazingira,nyenzo kwa Tz ni hafifu,mi naona hizi shule ziko academic oriented n not otherwise,
ni kukariri notes na kufaulu exams tu,generally mwenye uwezo mkubwa wa ku claim ndio anakuwa regarded as kichwa.
 
Enhee...hapo sasa umenena. Na inawezekana kabisa wapo ambao wana/walikuwa na vipaji maalum lakini wengi wao ni wa kawaida sana.

Unless uniambie IQ zao zilikuwa tested na kuonekana kuwa wana IQ kubwa...

Na kama tokea wakiwa wadogo sana walionyesha uwezo wa kipekee kama hiyo mifano ya youtube inavyotuonyesha....

Otherwise hamna lolote. Ni wanafunzi wa kawaida tu waliopata grades nzuri na kuwa mis-characterized as having "vipaji maalum".
 
Na mie nimesoma so called special school. I can't judge if i'm special or not. Majority ilikuwa bidii ndo imewafikisha pale. I can say i observed one i think she is very special.
 
Umewahi kupima/pimwa IQ yako? Kama umewahi, ilikuwa ngapi?

Una accolades zozote zinazohusiana na "kipaji" chako maalum zaidi ya kufaulu mitihani ya taifa?
 
Jamani mbona kama nimekuwa mkosaji. nimesoma tu pale criteria ya kupelekwa pale ilikuwa kufaulu mtihani wa taifa. Tanzania hii sijawahi sikia kitu kupimwa IQ.
Nadhani hili wazo la vipaji maalumu ni la kitanzania zaidi. Kwa kutumia viwango vyetu kwa hali yetu na uwezo wetu. mfano hospitalini wanatibu magonjwa mengi bila kuwa na uthibitisho wa kimaabara kwa sababu hatuna vifaa kwa hiyo knachofanyika ni "assumptions" na nadhani ndivyo ilivyo kwa shule za vipaji maalum pia.
 
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na Msalato.

Katika matokeo ya Kidato cha Nne ya 2012 yaliyotangazwa leo,Shule hizo za vipaji maalum zimeboronga. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. Vipaji maalum sasa hakuna lolote,hakuna chochote.

Nafasi zao ni kama ifuatavyo: Mzumbe(17),Kibaha(18),Ilboru(31),Tabora Boys(44),Msalato(59) na Kilakala(63).

NOTE: Shule mpya ya Marian Boys ambayo ndio kwanza imeanza kutoa wahitimu wa kidato cha nne imeshika nafasi ya pili kitaifa. Hii ni Shule pacha ya Marian Girls (zote ziko Bagamoyo).Marian Girls imekamata nafasi ya nne nyuma ya Feza Boys(3) na vinara St. Francis Girls ya Mbeya.

Kwaheri vipaji maalum!

Jamani najua nitakuwa biased kwa kuwa nimebenefit na elimu ya "special school lakini naomba niseme yafuatayo:
1. Kwanza ni muhimu kufahamu concept ya special school imefutwa toka enzi za Mungai na hivyo matokeo ya sasa hayareflect notion ya special school za enzi zetu.
2. Neno shule za vipaji maalum ilikuwa ni wrong conception na ndio maana hata Nyani Ngabu anapata tabu. Neno sahihi la kiingereza ni kuwa hizi ni shule za Special Achievers. Zipo nyingi zinzofuata concept hii. Baadhi ya shule hizo ni Eton ya Uingereza, Kamuzu Academy ya Malawi na Kings College Budo ya Uganda.
3. Shule za Mzumbe na Ilboru ziliweza (bila kuwa na walimu bora wala vitabu vya ziada wala mazingira yaliyoboreshwa) kuwa kwenye top ten schools kwa zaidi ya miaka 10 kwa sababu ya kuwa na wanafunzi high achievers).
4. Product za hizi special schools (ambazo zilianzishwa miaka ya 1995) bado ziko mid level katika decision making hierachy za nchi yetu. Baada ya miaka 5 kuanzia sasa tutaanza kuwaona wakichukua nafasi za juu katika vyombo vya maamuzi serikalini, katika taasisi za serikali na kwenye mashirika ya umma na mashirika binafsi.
5. Wanafunzi wa special school walikuwa na bahati ya kufaulu kwa pamoja. Nakumbuka kuna wakati wanafunzi wa Ilboru na Mzumbe walifaulu wote 150 kwa Ilboru na 132 kwa Mzumbe na kwenda vyuo vikuu vya Muhimbili na UDSM. (Hili likuwa consistent kwa zaidi ya miaka 10). Hili kundi kubwa litakapoanza kufanya maamuzi litakuwa very powerful kwa nchi yetu na ndio mtaona impact.
6. Nyani Ngabu hebu fanya research kidogo kuhusu alumni wa special schools hizi na mahali walipo na wapi watakuwa five yrs to come. (Akikumbushia na impact ya Tabora Boys wakati na baada ya kudai uhuru.
7. Sijafanya research ya kutosha na mimi ni mwanantaaluma kwa hiyo nimejitahidi nisiende kwenye specifics.
 
Kuna vipaji maalum Tanzania?

Wait a Minute hivi hapa unaongelea kwamba Tanzania hakuna system in place ya kuweza kupima vipaji (a gifted person, yaani talent detecting) au unasema kwamba in Tanzania no one is gifted / having a talent ?

Does mere being Tanzanian disqualifies you in being talented or there are no systems in place for detecting and nourishing such a talent ?

If there are undetected talents in Tanzania, is it wrong to say that some of those due to the fact that they are a shoulder above their counterparts (academically) although some are just hard working therefore probability wise if there are 5 talented individuals in Tanzania every 10 years wouldn't you say there is a bigger chance of finding even 3 of them in such schools which takes creme de la creme of the same individuals given the same test ?, and maybe just maybe the other 7 although gifted did not give a damn about studying or academics so their gift was just wasted due to lack of nurturing.
 
Nimehoji identification methods zinazotumika kuidentify hivyo vipaji maalum shuleni. Methods have to do with system. Don't they? What part of that don't you understand?
 
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na Msalato.

Katika matokeo ya Kidato cha Nne ya 2012 yaliyotangazwa leo,Shule hizo za vipaji maalum zimeboronga. Hakuna hata moja iliyo kwenye kumi bora. Zimeshindwa kujidhihirishia utofauti wao. Vipaji maalum sasa hakuna lolote,hakuna chochote.

Nafasi zao ni kama ifuatavyo: Mzumbe(17),Kibaha(18),Ilboru(31),Tabora Boys(44),Msalato(59) na Kilakala(63).

NOTE: Shule mpya ya Marian Boys ambayo ndio kwanza imeanza kutoa wahitimu wa kidato cha nne imeshika nafasi ya pili kitaifa. Hii ni Shule pacha ya Marian Girls (zote ziko Bagamoyo).Marian Girls imekamata nafasi ya nne nyuma ya Feza Boys(3) na vinara St. Francis Girls ya Mbeya.

Kwaheri vipaji maalum!

Naona hapa ni chuki ilikuwa inatafutwa sababu tu! Anyway ngoja tuone mjadala utaneda.

Vp ww ulisoma shule gani? na vp pefomance zako??
 
Back
Top Bottom