Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Niliyoipata bila jasho 😂😂Daaah natamani siku nyingine tufanye kikao uje na ile Alphard yako mkuu
Niliyoipata bila jasho 😂😂Daaah natamani siku nyingine tufanye kikao uje na ile Alphard yako mkuu
Sasa Mbona amepewa dili la kubeba zege 40k kwa siku?Yakuz yavuz yakuz yavuz.....
🤣🤣🤣Maninaaa bora nibaki hom tuuu
Kwanza baba kasema nisisumbuke na ajira
Noma sana uko na undugu na P Diddy?Uzi wangu wa userious ni ule wa pata pesa bila kuvuja jasho..
Humu kuna vichwa makini kama kina Evelyn Salt ambaye alikuja kutoa uzi wa ushuhuda kutokana na mafunzo ya kupata pesa bila kuvuja jasho
Hii ndio kazi gani mkuuYakuz yavuz yakuz yavuz.....
Ewaaaaaah unajua pesa hatutafuti sasa hv pesa tuna tegaNiliyoipata bila jasho 😂😂
Umeoposha ngapi?Ewaaaaaah unajua pesa hatutafuti sasa hv pesa tuna tega
YAKUZ YAVUZ imenaza kua ya kingese sana ...🤣🤣🤣
Dogo unanivunja mbavu huku
Kwahiyo ile ishu ya Yakuz Yavuz haileti tena noti?
😂😂😂😂Kaka nateseka basi tuu...Umeoposha ngapi?
Niazime kama 500, 000 nikanunue Air conditioning niweke ghetto? 🤣🤣🤣
Dooh sasa nikadhanai daily unalaza 200k au 300k uniazime hela nikanunue Air conditioning kwa ajili ya mgeni?YAKUZ YAVUZ imenaza kua ya kingese sana ...
Weee just imagine week yote hii nimeingiza alfu tano
Hapana hapana mkuu simjui huyo mtuNoma sana uko na undugu na P Diddy?
Mazoezi hayo sio mateso😂😂😂😂Kaka nateseka basi tuu...
Wee imagine mi wa kytembea kwa mguu kutoka tazar mpaka riverside
Mkuu to and flow unasema ni zoezi...Mazoezi hayo sio mateso
Vumilia tu Kijana utapita tu na Utajipata tu 😃Mkuu to and flow unasema ni zoezi...
Sina pesa tuu mkuu ila nimechoka aiseee maisha haya
Mwambie abebe hiyo zege mkuu asiogope ni katika mapito haitakuwa milele, said Salim Bakhressa anasema yeye alikuwa anachoma na kuuza vitumbua , Gwajima anasema alikuwa anachoma mkaa kijijini Shinyanga ni mifano tu nafikiri amenielewa😀Mazoezi hayo sio mateso
Sema katika watuwanakula bata jf we ni namba moja aiseeeVumilia tu Kijana utapita tu na Utajipata tu 😃
Sijajipata Kijana Nikijipata lazima uone uzi humuSema katika watuwanakula bata jf we ni namba moja aiseee