Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
😂😂 Au sioHahaha
😂😂 Au sioHahaha
Haya mandhari nilishawahi kuyaona hotel moja huko Zanzibar maeneo ya Paje 😍
😂😂😂😂 Nipo mtaani kumbe ajira ngumu hv..Yaani we kweli ni poor poor poor Brains
Bado ndio anakua kua hata chuo hajamaliza huyuAtashindwa kuoa shauri yake😂
Si ulisema unakula kitengo govt ukimaliza tu chuo?😂😂😂😂 Nipo mtaani kumbe ajira ngumu hv..
Mi nilijua nikimaliza tu uwakika
okBajeti yake hapo ni around 1M
Haishauriwi utumie kioo hasa nyakati za usiku.. Kwakuwa zaidi ya hallucinations ya kivuli chako lakini kuna roho huwa zinakuwepoKuna kioo nikijiangalia usiku naona mtu mwingine nyuma yangu atakuwa nan? Mshana Jr + mshana daughter + Mshana the greet