Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
Kitengo gani..Si ulisema unakula kitengo govt ukimaliza tu chuo?
Jamaa namchek anasema kuna wenzako wana degree wanapiga zege kwa siku 40k
Kitengo gani..Si ulisema unakula kitengo govt ukimaliza tu chuo?
Asee ifike mahala mi na pesa tumalize tofauti zetu . Done time unatamani kufika sehemu but May be not now ni kusudio la Mungu.
😂😂Mkuu miyeyusho kweli na hilo jina lako, siku ukiwa serious nitag nisome uzi wakoHapana najua mshana hizo picha hatoshindwa kuzipata..
Aunaomba mshana awe admin wa ule uzi wa picha za warembo asaidiane na shimba
Nyumba ni choo au ni kioo? 😁Evelyn Salt nyumba ni choo, tuambie choo chako kipo sawa...
Nyumba ni choo, sebule ni kioo...Nyumba ni choo au ni kioo? 😁
40k???Kitengo gani..
Jamaa namchek anasema kuna wenzako wana degree wanapiga zege kwa siku 40k
Dogo miyeyusho sana huyu eti ameambiwa kubeba zege ni 40k kwa siku?😂😂Mkuu miyeyusho kweli na hilo jina lako, siku ukiwa serious nitag nisome uzi wako
Bado dogo hajapita huko 😃Labda kazi ya mauzo.. Mostly zege
😂😂Yupo mwaka wa ngapi chuo au ni freshers tumuombee apate kazi nzuriDogo miyeyusho sana huyu eti ameambiwa kubeba zege ni 40k kwa siku?
Bado hakijui kitaa huyu
Anasema kamaliza ngoja aingie kitaa😂😂Yupo mwaka wa ngapi chuo au ni freshers tumuombee apate kazi nzuri
Uzi wangu wa userious ni ule wa pata pesa bila kuvuja jasho..😂😂Mkuu miyeyusho kweli na hilo jina lako, siku ukiwa serious nitag nisome uzi wako
Maninaaa bora nibaki hom tuuu40k???
Imezidi sana 25 wewe, dau ni 10k mpaka 20k
Yakuz yavuz yakuz yavuz.....Uzi wangu wa userious ni ule wa pata pesa bila kuvuja jasho..
Humu kuna vichwa makini kama kina Evelyn Salt ambaye alikuja kutoa uzi wa ushuhuda kutokana na mafunzo ya kupata pesa bila kuvuja jasho
Daaah natamani siku nyingine tufanye kikao uje na ile Alphard yako mkuuYakuz yavuz yakuz yavuz.....