Ila mshana huwez kuacha ushirikina
Fala sana we dogo, usi apply u domozege wako hapa. 😂😂😂Yaaani siku ukianzisha uzi wa PICHA ZA NDANI (CONNECTION) AISEEE.
. Mshana utakua umetisha sana
Hapana najua mshana hizo picha hatoshindwa kuzipata..Fala sana we dogo, usi apply u domozege wako hapa. 😂😂😂
hiyo nimeipenda sana,ipo siku ntaitumia
Anataka picha za warembo awe anaangalia nyuchi tu huyu 🤣🤣🤣Hahaha. Nimemuelewa sasa loh😂
Yaani we kweli ni poor poor poor BrainsHapana najua mshana hizo picha hatoshindwa kuzipata..
Aunaomba mshana awe admin wa ule uzi wa picha za warembo asaidiane na shimba