SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Ingekua na Nyerere ameoa uchagani hapo tungeongeaToka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba,
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso,
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo,
9. Lawrence Mafuru.
**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani imechomoza kwenye huu mtanange.
Futuristic and risk takers?Angalia nature ya hiyo jamii, kifanya fanya conclusion yako
Wachaga wanatongoza wenyewe! Ndiyo mafanikio ya kuolewa wachagaToka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?
Ndio ndugu, jaribu kuishi na mtu wa hiyo jamaa wa kipato chochote alafu uwe unamuangalia mtazano wake katika mambo mbalimbali, alafu fanya ku compare na watu wa jamii nyingine utaina kuna tofautiFuturistic and risk takers?
Niliwahi kupata demu wa Tanga zaidi ya mauno ni kuomba pesa Tu. Nothing more she could offer.Ndio ndugu, jaribu kuishi na mtu wa hiyo jamaa wa kipato chochote alafu uwe unamuangalia mtazano wake katika mambo mbalimbali, alafu fanya ku compare na watu wa jamii nyingine utaina kuna tofauti
Kuna jamii ambazo thr only thing mwanamke ana offer is sex, ila likija suala la life in general they dont offer anythingNiliwahi kupata demu wa Tanga zaidi ya mauno ni kuomba pesa Tu. Nothing more
shida hawa ndugu zetu wachaga ukiolea huko ni kama umeshajikabidhi kwa islael mtoa roho mda wowote parapanda inalia!, tamaa na jeuri mixer kiburi ndo zao.Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani.
1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD.
2. Dr Salmin Amour,
3. Fredrik Sumaye,
4. January Makamba,
5. Jumaa Awesso, MP
6. Nehemiah Mchechu,
7. Dr Faustine Ndugulile,
8. Daniel Silo, MP
9. Lawrence Mafuru,
10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD.
**Je ni Siri gani imejificha kwa haya maua ya Kaskazini? Nadra Sana kusikia Kigoma, Katavi, Ruvuma, Mbeya/Songwe, Pwani. Hii inatufundisha nini?
NB: Tusishangae misafara kuelekea Kaskazini Disemba hii. Hawa watu Wana kipaji cha kuchungulia fursa za vijana wachapakazi. Wanavumilia kusuburia neema
Hapo mwisho ndio umeharibu ujumbe wote umekosa maana!!..Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule
Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future
Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection
Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa
Huo ndio mpango mzima
Ila msisahau
Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Ukweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule
Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future
Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection
Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa
Huo ndio mpango mzima
Ila msisahau
Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Ukioa wapi ndo parapanda linakuwa mbali nawe in anytime?shida hawa ndugu zetu wachaga ukiolea huko ni kama umeshajikabidhi kwa islael mtoa roho mda wowote parapanda inalia!, tamaa na jeuri mixer kiburi ndo zao.
Mambo ya fursa kunammoja amesema kabisa mtoto mmoja atatfuta mwanaume mwenye pesa wakuzaa nae na anamume tayari ππππUkweli huu hapa,usiulize kwengine kokote kule
Hawa huwa wanaambiwa kabisa wawe karibu na watu ambao wanaonekana wana future
Kwahiyo tangu mkiwa shuleni au chuo huwa wanaspot watu makini na wenye mwelekeo wa maendeleo au wenye connection
Kwahiyo mwana kama unaona mtoto wa kichaga anakuzengea zengea basi jua kaona fursa
Huo ndio mpango mzima
Ila msisahau
Amani ni tunu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Wewe Mchaga Ulitaka uolewe wewe na Kiongozi? Soma mada, elewa mada. Wewe ni Kiongozi?Hivi hao 11 waliooa Uchagani ni wengi? Tukiorodhesha list kwa mfano wanajeshi top 11 waliooa uchagan wapo wangapi? Nenda sekta ingine. Hapa haujafaya uchambuzi wa kutosha kusapoti hoja yako. Sema tu imekua ni kawaida kipindi hiki kufungua nyuzi za kuwasifia wachaga.
Angalizo, mimi pia ni mchaga wa Kirua Vunjo ila nimeoa watani. zangu wasambaa.