Jamani msimlaumu huyu mleta uzi , hawa watu wanachuana vikali sanaUnamwachaje Francis Mtungi?
Hujakosea kabisaKama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
Kwa vigezo vipi?Kama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
Jaza wewe mkuu [emoji23]Hivi mnamung'unya maneno ili iweje , nani ambaye mpaka leo hamjui kiongozi mbovu namba 1 nchini Tanzania ? Hiyo namba 1 ijazwe haraka sana !
Ongeza na hawaKama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
KIVIPI MKUU UNGEFUNGUKA KIDOGO.Huu uzi unaweza kuondoka na wengi.....
No.1 head prefect !hyo 1 akae ndugai alafu MWIGULU NCHEMBA afike 2,, nae mwaka huu kawa ovyoo ,japo namkubali
Kisonge mbele kuelekea wapi? Ruhusuni mikutano ya ya kisiasa muone kazi yake kama chama hakiendi au? Mnaogopa nini kwaniNamba one ni Mbowe
chama kimegota hakisongi mbele tena
Tunapambana na colapsheni na kuipeleka nchi katika laiti dailekshen. Wale wote ambao ni long tunawaondoa1. Woch iti, noti tu thati eksitenti
(1) Juma Pamba Maharage a.k.a alcohol.Kama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
Nimecheka sana.....😀😀Namba 1 hii namba hii unaweze kujikuta shimoni na pilau la sikukuu likakupita
Ama sivyo utaishia kulamba bakora, na kupelekwa ICU kulazwa!Aisee Job ndugai hapo ungemtoa tyuuuuu!!!!