kama kawaida
Senior Member
- Jul 20, 2015
- 139
- 87
1. Baby can u fly to KIA
Namba one ni Mbowe
chama kimegota hakisongi mbele tena
Tatizo ni kwamba nilimuweka kwenye Ignore list .Kwani mkuu keyboard yako inagoma kuchapa jina lake?haaaa haaa
Jamaa alichangamkia fursa halakahalaka kuipata keki ya taifa. Sijui alijua itakuwa temporary pale?1. Baby can u fly to KIA
Pumbavukumbe ubongo wako uko njia ya haja kubwa
Yaani wanatuona ma mbwiiiiisi !Naweza kuokota kitu mda wowote bandarini au airport. Namba 1 oyeeeeeeee
Amefanyaje mkuu,hivi bado yupo yule mzee wa mikwara?Kuna mwingine anakuja kwa kasi ya mwanga mkuu wa mkoa wa TABORA
una maana ya 1 kuwa ni moja au nn. watu bwana!Ka Namba 1 hamna mwenyewe niwekeni Mimi: .....!
Kama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
1. Msajili wa vyama.Kama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
hahahahahahahaMbona moja umeiacha wazi?
Tuchanganye na zetu ehee!
Jikite kwenye mada , ukweli mnaujua lakini mnakwepa .Namba one ni Mbowe
chama kimegota hakisongi mbele tena
1.MagufuliKama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)