Viongozi watano wabovu Tanzania 2017

Viongozi watano wabovu Tanzania 2017

kama namba moja atakuwa mbovu hata namba zingine nazo zitakuwa mbovu ,ukiwa kipanga hata marafiki zako ni vipanga tu maana mtakuwa mnaendana vitu vingi
 
Kama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele

Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017

1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
1. Baba John + Paul wa Pili.
Mmenielewa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom