Viongozi watano wabovu Tanzania 2017

Viongozi watano wabovu Tanzania 2017

Jamani msimlaumu huyu mleta uzi , hawa watu wanachuana vikali sana
Ha ha haaaa,, mkuu hawa jamaa kwenye 5 bora wanaweza kutoana ngeu! Bora mleta mada angesema 50 bora maana wako wengi mno mpaka unashangaa nimweke nani na nimwache nani? Hapo bado yule jamaa wa BOT juzi hapa kaungana na Magu kutudanganya uwanjani zimekamatwa dola bilioni 1 kumbe ni dola milioni 1!! Hapo hujamweka Mwijage "mzee wa vyerahani vinnne = factory"
 
Kama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele

Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017

1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
Hizi nazo ni akili za vichunguni ama matopeni. Viongozi wabovu bila indicator ulizotumia kuwapima.
 
Back
Top Bottom