Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,844
- 40,481
Huwezi kumwacha Mutungi ukamweka Siro. Yaani No. 3 ni yake kabisa!! Bora Siro aingie sub kuliko Mutungi kukosa namba.Unamwachaje Francis Mtungi?
Huwezi kumwacha Mutungi ukamweka Siro. Yaani No. 3 ni yake kabisa!! Bora Siro aingie sub kuliko Mutungi kukosa namba.Unamwachaje Francis Mtungi?
Huyu aliyezaa na Waziri wake?namba 1 ni babu aliyeuuzia mchepuko nyumba ya serikali
Hiyo ndo nafasi yake, Spika Wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania. Yaani bora bunge liongozwe na Harmorapa kuliko huyu mpiga bakora.Aisee Job ndugai hapo ungemtoa tyuuuuu!!!!
Ni makosa makubwa mchezaji kama Mutungi kukaa benchi, anaweza kukasirika akaomba kuuzwa au akaondoka bure majira ya baridi.Mtungi mtafutieni namba jamani
Na watu wanaficha wakati wanajua ni Mnyarwanda!!1- namweka yule mnyarwanda anaewaingiza watanzania kwenye kila aina ya mateso..
.kaua biashara zao
.kavunja nyumba zao
.kaiba wake zao
.kapora promosheni zao
.kawapiga risasi
.kawateka
.anaishi kama malaika na fuko la hazina
anaitwa freemashoni..
kkkkk
Mimi SIMJUI, nina siku ya 3 hapa DSMNamba moja anajulikana
Ha ha ha, tusaidie kujaza mkuuNamba moja anajulikana
MKUU NAWAKUMBUSHA NI POGHBAitakuwa yule mchezaji wa man u
Kwa Kabudi nilijua tangu mapema hasa baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi. Huyu alipewa uwaziri baada ya watu kumshauri asiyeshaurika kuwa Kabudi ana uwezo Wa kupambana na Lissu bungeni. Ukisoma posts za wana Lumumba wiki mbili baada ya uteuzi wake utakubaliana nami jinsi alivyokuwa anapambwa kama kiboko ya Lissu, Mara mwanafunzi hamzidi mwalimu na sifa nyingine za aina hiyo . Sasa ghafla mpinzani kapotea ndo uwezo Wa chini unapoonekana.Mwigulu Nchema
Don't try me
Kabudi ameflop sana baada ya makinikia!
Freeman MboweKama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
Namba 1 ni Magusta mwenyewe, huwezi kujijengea Uwanja wa ndege wa Kimataifa kijijini kwenu kama ni kiongozi mwenye akili timamuKama mnavyofahamu mwaka unaelekea kuisha. In vyema pia viongozi wetu wakajitadhimini wamefanya nini 2017 katika kuhakikisha Tanzania inasonga mbele
Kwa maoni yangu hawa ndio viongozi wabovu kwa 2017
1.
2. Spika Job Ndugai
3. IGP Simon Sirro
4. Mkurugenzi wa NEC Bwn.Kailima
5. Meneja wa TBA( Expansion joint)
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wanaremba bila sababuHivi mnamung'unya maneno ili iweje , nani ambaye mpaka leo hamjui kiongozi mbovu namba 1 nchini Tanzania ? Hiyo namba 1 ijazwe haraka sana !
Asee kumbeeeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]1-Magufuli
2-Mwigulu Nchemba
3-Mambosasa na Sirro
4-Makonda
5-Dr Shein (huyu kwasababu miaka nenda rudi hajui Kwamba yeye sio raisi, mbaya zaidi karidhika na hali hii)
Hakika[emoji3] [emoji3] sheria ya makosa ya uchochezi itatumika tu, tusubiriHuu uzi unaweza kuondoka na wengi.....