Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Watanzania tuwe makini sana na watu wanaotoa madai makubwa kama haya bila facts.

Professor Mwakyusa ni kweli alikuwa daktari wa Nyerere mpaka anafariki London. Lakini sio kweli kwamba prof. Mwakyusa alipewa uwaziri na rais Mkapa.

Prof. Mwakyusa alipewa uwaziri mwaka 2006 na rais Kikwete baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rungwe Magharibi katika uchaguzi wa mwaka 2005. Tukumbuke Nyerere alifariki mwaka 1999, kwahiyo prof. mwakyusa alikuja kupata uwaziri miaka sita baada ya kufa kwa baba wa taifa.

Huko kweli ni kumnyamazisha mtu?
 
Kwanza nyie wote mlilala kwenye zizi la ng'ombe. Ndio maana! Ulevi (wa madaraka) noma.

Kwa hiyo Nyerere asingekufa Mkapa angetoka katika urais akiwa maskini? Ndio maana!
 
kumbe kweli ben ulimtoa mwal.
Mungu wangu eeeh,
kwanini lakini.

.
Jamani mmenikumbushia machungu yangu kwa huyu mkapa. Nimekumbuka jinsi alivyomuua kinyama aliyekuwa mkuu wa UWT Marehemu I. Kombe. Mkapa ni mnyama kama Mabutu ndio maana kauli zake siku zote ni za kibabe. Ni roho chafu wanaomtesa kama walivyokuwa wakimtesa mfalme Sauli.
.
 
Jambo ambalo bado sijapata jibu ni kwa nini Mkapa ameamua kurudi kwenye siasa (front line politics)? Anajitengenezea kinga dhidi ya madudu yake?

Vicent Nyerere umetapika nyongo yako, now, let them pick up the pieces!
 
Fuatilia sasa kampeni anazoziendesha Nyerere huko Arumeru, hakuna hata sera moja anayoinadi. Anaishia kutukana tu, kiwira na Nyerere aliuawawa yanawahusu kweli wana-Arumeru?
inaonekana ubongo wako ni mdogo sana kama ngumi ya mtoto wa miaka miwli wala hauenei kwenye fuvu lako la kichwa chako aliyekwambia kiwira haiwahusu wameru ni nani au unafikiri kwa fikra zako wameru si watanzania kwahiyo hawana haki ya kuwa wamiliki wa huo mgodi.
 
Mkosa hekima na adabu utamjua tu,labda yeye ndie asiyemtambua V.N,lakini wanafamilia wanamtambua,na hata Makongoro alishawahi kuliongelea ilo,na kuthibitisha ilo kuna kipindi V.N alikua akiishi na familia ya Julius!kwanza hoja aliyeyoileta eti V.N ni mtoto wa nje ni hoja ya kitoto sana ambayo imeonyesha wazi upeo wa mleta hiyo hoja ni mdogo sana!nini maana ya mtoto wa nje kwake yeye?
siku zote watoto wa nje awaaminiani so si o kosa lake mpwa msamehe..kwanza ajiulize kw anini babake alizini nje ya ndoa ndio akamzaa afadhali vicent alizaliwa wakati wazazi awajaoana so naweza kusema yawezekana nikosa la baba kukimbilia nyumba ndogo na si kumtungia mtoto jina..uwezi sema amtoto wa nje wakati ujaoa ...ukiwa umeoa na ukaza mtoto na binti mwingine hapo naweza sema serikali wanadai mtoto wanje ..lakini kama babako alikula njama na mamako kukuzaa na baadae kwa tamaa ya babako akakataa kumuoa mamayako na kukimbilia vidosho wa mjini na kuoa weewe sio mtoto nje...nenda serikalini ukaulize usije nyimwa mafao ya babako kwa k utotambua ....mwenzio anachapa lapa kujibishana na Rais aliemuuua babake wewe baki na himitizo la mtoto wa nje...Hakika nimeamini damu inanena jamani

USIMUUE MTU USITOE MIMBA KWA MABINTI NAWAAMBIA SOMENI BAIBO DAMU INAONGEA ILE ...KILICHOFANYIKA KWA VICENT NI DAMU YA BABAKE IMEMUUMA NA SASA INANEA KUPITIA MJUKUU WAKE AMBAE LEO WALIOMUU WANADAI SI MTOTO WA LA WA FAMILIA ...MUNGU LAZIMA ANENE KWA HILI WATNZANIA TUWE MACHO KUMBE YANAYOMTOKEA MWAKYEMBE YALIANZA KIPINDI CHA MKAPA SASA SIJUI MPAKA WANAAMALIZA WATAWAMALIZA WANGAPI JAMANI
 
Vincent Nyerere ni mtoto wa nje wa mdogo wake Nyerere, Familia ya Nyerere hawamtambui kabisa mdogo wake Nyerere alizaa na mwanamke mmoja pale Makoko.

Kuzaliwa na mwanamke wa nje, hakumfutii uhalali wa baba yake huyo. Na ndiyo maana familia haijampiga marufuku kutumia jina na Nyerere. Mkapa kwakujua haya kama wewe akafikiri itakuwa ni fimbo ya kisiasa, ona sasa inamcharaza yeye mwenyewe na chama chake.
 
Keil homeboy nakuona hapa, wayasikia haya lakini?

Hii habari ni mbaya sana sana kwa Mkapa na CCM kwa ujumla.

Sijui atajiosha vipi huyu Mzee? Kweli hukumu ni hapahapa duniani. Kumbe CCM wamemuuwa Baba wa Taifa?

Mkuu Sikonge,

Ukiamini haya maneno ya Vincent basi utaamini utumbo wowote wa wanasiasa.

Kwanza kafanya makosa makubwa kwenye timeline. Nyerere alifariki 1999 wakati prof. Mwakyusa alipewa uwaziri mwaka 2006 tena na rais Kikwete na wala sio rais Mkapa.

Mkapa kasema hamtambui Vincent kama mtoto wa JKN, ilitosha Vincent kujibu yeye JKN ni babake mdogo/mkubwa. Haya yote ni matokeo ya watu mbalimbali kujifanya walikuwa karibu na JKN wakati ukweli si ajabu ni tofauti sana.

Kwa kuingiza kifo cha Nyerere kwenye siasa za uchaguzi, tayari ameiingiza familia nzima ya Nyerere kwenye hili na hao wengine itabidi waseme.

Tusiwe wajinga kiasi hicho cha kuweza kuamini kila ugonjwa ni mkono wa mtu. Nilikuwa hapa London wakati Nyerere anafariki na siwezi kuamini nchi ina watu wajinga kiasi hicho cha hata kuanza kufikiria kwamba JKN aliuwa na njama.

Nilifikiri Mtikila ni kichaa pekee, kumbe tuna hata wabunge ambao ni wajinga kiasi hiki? Hizi hisia za mkono wa mtu kwenye kila jambo zitatupeleka pabaya. Tutajenga taifa la waabudu Kikombe cha Babu na mwisho wake ni kuangamia maana hatutafanya tahadhari yoyote kwenye mambo yanayotusumbua hapa duniani.

Huyo Vincent inaelekea hata knowledge ya cancer hana.
 
Nahisi saivi anatafutwa Makongoro ili apotoshe kauli hii.
Atasema "familia haiamini hayo,ni porojo za vicent tu na chama chake kuchonganisha
wananchi"........................

Am waiting for my statement to be proved.

Hata mimi nalitegemea ilo muda si mrefu,na wakutumika atakua ni Makongoro kama ulivyosema,maana inaonekana yeye ndio rahisi kutumika ktk cheap politics,Madaraka uwa yuko smart sana!ni mtu anahejishimu sana!
 
Mkuu Keil, asante sana kwa hii, nawashauri wanaChadema wenye mapenzi ya kweli, waikate hii post, waipaste, waiprint na kuitumia kama msahafu wa kampeni!.

Kwa vile Vincent ni mtoto wa baba mdogo, CCM watamtumia mtoto halisi wa Nyerere preferably Madaraka au Makongoro ku caunter attack hii kauli ya Vincent huku CCM wakiwachagiza wazee wa familia ya Nyerere kina Chifu Wanzagi kutoa karipio kali la kutaka Nyerere aachwe apumzike kwa amani hivyo kuutumia kisingizio hicho kum disown Vincent na kum ex-communicate asizingumze lolote kumhusu Nyerere na hayo aliyozungumza ni ya kwake binafsi na sio ya kina Nyerere.

Nashauri concetration ya Chadema iachane na siasa za maji taka, ijikite kwenye issues!. Siasa hizi za maji taka na vijembe, zina hold water maeneo yenye uswahili kama ukanda wa pwani, Kanda ya Kaskazini ni issues tuu sio mipasho wala uswahili!.

Ule msimamo wangu uchaguzi Arumeru ilishaisha, bado uko pale pale!. Na kwamba kinachoendelea sasa ni kutimiza tuu matakwa ya katiba na kufiatwa tuu kwa taratibu, sheria na kanuni za uchaguzi ili kuhalalisha matokeo!.

Na wewe hapa jukwaani umevimba kichwa kweli siku hizi yaani Mkapa amtukane mtu kinamna kumwita mwanaharamu halafu yeye anyamaze kimya manake nini,Heshima yote tuliyokuwa nayo kwa Raisi Mkapa inaporomoka kuliko kawaida alikwenda Igunga Kumnadi Kafumu aliyeandika kitabu cha kuuzia mabepari na wanyang,anyi madini yetu ,ahadi walizotoa Igunga hata moja haijatekelezwa

Huyu Mkapa anapata wapi moral authority ya kwenda jimbo lingine kwenda kumnadi mgombea na kutukana wapinzani na kumtukana Vicent Kwamba hajazaliwa na baba mwenye ubini wake,TUSI kubwa hilo haiwezekani ni sawa kupewa vipande vyake: haki ya kuzaliwa ni ya msingi sana na haki ya kutambuliwa kwa ubini ni muhimu sana ,sasa kama Raisi Mkapa haya hakuyatafakari kwa silika yake ya ubabe kudhani watanzania wote sisi ni wajinga ni shauri yake huyu sialikuwa anazomewa kama nini kosa KIKWETE angeendelea kuzomewa kwa wizi wake

Mkapa akumbuke kwamba sasa ameanzisha mjadala mwingine wa kisiasa nchini tetesi za chinichini kwamba yeye ndio muuaji wa Mwalimu Nyerere zilizokuwa tunazipata sasa zimewekwa wazi

Unadhani Vicent pekee ndio mwenye kilio cha kumkosa baba yake unadhani hao akina Makongoro na Madaraka na Rose hawaumii kwa kukosa mzazi aliyetumikia taifa kwa uaminifu halafu mtu jambazi kama Raisi Mkapa anatoa uhai wake ili tuu achaguliwe kipindi cha pili

Haya sasa mbona kuna wengi hapa jamvini kumbe wanajua move nzima hata wanajua aina ya sumu na watu waliosherehekea tutayajua mengi mwaka huu
Nadhani pia alihusika na kifo cha rafiki yake Advocate Kapinga aliyeuwawa na Majambazi mida ya kutatanisha ili akanyage mkewe,sasa hivi anajikunja kwelikweli kumfanyizia mkewe Kapinga kila siku lazima aende kujiburudisha huko Mbezi Beach eneo la Jangwani njia ya kuelekea white sand
tetea lakini ukumbuke nchi hii ni yetu sote sio ya hao viwavi CCM
 
kumbe mkapa ndie alimuuaaa NYERERE JAMANI LOH NA ILAANIWE FAMILIA YAKE MAISHA NA ALIEMUUA BALALI JE??
MBONA NAHISI HUYU JAMAA NIZAIDI YA MUUWAJI ATAJIBU NINI HUKO JUU NA UNAFIKI WAKE WA KWENDA KANISANAI PALE UPANGA KILA ABH KUWAPANGA MAPOLISI OVYO NA KUWEKA FOLENI KWA AJILI YA MUUWAJI

SHAME SHAME SHAME


ameondoka hapa meryland jana..ni mzima na buheri wa afya
 
Watanzania tuwe makini sana na watu wanaotoa madai makubwa kama haya bila facts.

Professor Mwakyusa ni kweli alikuwa daktari wa Nyerere mpaka anafariki London. Lakini sio kweli kwamba prof. Mwakyusa alipewa uwaziri na rais Mkapa.

Prof. Mwakyusa alipewa uwaziri mwaka 2006 na rais Kikwete baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Rungwe Magharibi katika uchaguzi wa mwaka 2005. Tukumbuke Nyerere alifariki mwaka 1999, kwahiyo prof. mwakyusa alikuja kupata uwaziri miaka sita baada ya kufa kwa baba wa taifa.

Huko kweli ni kumnyamazisha mtu?

Kwani wewe huju kua Rais Wako Jakaya majina ya mawaziri anapewa? ili jina atakuwa amepewa ili kulipa fadhira

Jiulize wale wote wanopewa Ukuu wa wiraya, Mkoa na ubunge wa Viti maalum Rais anajua utendaje wao kipindi cha nyuma?
Huwa jamaa analetewa majina yakiwa yamependekeza na wenyewe..............

Kwahiyo jamaa atakuwa alilipwa fadhira after 6 years
 
Kwa kweli mambo ni mazito, ndugu yangu sikonge ni mtu makini katika michango yake, I like his comments
 
Hivi mkapa kasema maneno gani hasa dhidi ya Vicent Nyerere mpaka akasirike kiasi hicho?
 
Nyerere wapi Amran Kombe?
Kweli wewe ni Mafya Mzee.
 
Kwani wewe huju kua Rais Wako Jakaya majina ya mawaziri anapewa? ili jina atakuwa amepewa ili kulipa fadhira

Jiulize wale wote wanopewa Ukuu wa wiraya, Mkoa na ubunge wa Viti maalum Rais anajua utendaje wao kipindi cha nyuma?
Huwa jamaa analetewa majina yakiwa yamependekeza na wenyewe..............

Kwahiyo jamaa atakuwa alilipwa fadhira after 6 years

Kwahiyo Mkapa mwaka 2000 aliunda baraza jipya la mawaziri akamwacha Mwakyusa. Miaka mitano yote akaendelea kumwacha.

Amemaliza kipindi chake ndio anampa fadhila 2006? Unahitaji kuwa mgonjwa kufikiria hivyo.
 
Hii kauli inatoka kwenye familia ya Nyerere?. Namshauri Mkapa achane na siasa ili kutunza heshima yake na heshima ya CCM.
 
Kweli nyani Haoni kundule! Kwani Mkapa analea watoto wangapi wa nje? Au wote kawanyanyapaa kama anavyomnyanyapaa V.N? Anadhani hatujui anavyolea watoto wa Mwanaume Mwenzie MRAMBA? Kweli Mzee kakosa poiti? Au anauakika kuwa watoto anaolea wote ni wake?

Kweli Heri ya Kujenga Daraja Kuliko Ukuta, Nkipata nauli ntakuja Mjomba Nkapa
 
-Watanzania tutaendelea kubaki kuwa wajinga Period kwa kuependa na kushabikia siasa za maji taka.

-Nilijua CDM wameamua kuachana nazo kwa sasababu hazileti tija ila zinaendeleza siasa za kizamani ambazo hazilisaidii Taifa.


1.Kama vicent alijua wazi kuwa Mkapa na Serikali yake ndiyo waliomumaliza JKN,alikuwa wapi kusema zamani?huu ni unafiki mkubwa..Haiwezekani ikuchukue miaka kumi na mbili kuja kusema jamba ambalo umekaa nalo mika 12,totally rubbish na inaonyesha ni kwa jinsi gani kuna machafu hata ya CDM anayo sema anasubiri baadaye aje Kuyasema.


2.Hoja hii ni dhaifu na CCM watatumia Mtu wa karibu wa Mwalimu kwend ahuko kukanusha na kumkana Vicent(hili nalitegemea litatokea)


-Baadaye CDM itaonekana wamezusha hili na litawaharibia..Ugonjwa wowote hautakiwi kusubiri miaka mingi ili utoe dawa yake.


-Mkapa ni Mzoefu na alitumia maneno ya kuwatusi CDM kwa kuwa anawajua watabwatuka na kusahau focus ya kampeni zao....


-Kwa knowledge moja tu ya kipuuzi..Kifo cha Mwalimu kimewapunguzia nini watu wa Arumeru?ukiwaambia alimalizwa na Mkapa et all kinajibu mattatioz waliyo nayo?


Sijui...Ila hili la Mkapa ni kama uzushi tu
ungeishia hapohapo kwenye sijui, maana hujui!!!:cool2:
 
Mkuu Sikonge,

Ukiamini haya maneno ya Vincent basi utaamini utumbo wowote wa wanasiasa.

Kwanza kafanya makosa makubwa kwenye timeline. Nyerere alifariki 1999 wakati prof. Mwakyusa alipewa uwaziri mwaka 2006 tena na rais Kikwete na wala sio rais Mkapa.

Mkapa kasema hamtambui Vincent kama mtoto wa JKN, ilitosha Vincent kujibu yeye JKN ni babake mdogo/mkubwa. Haya yote ni matokeo ya watu mbalimbali kujifanya walikuwa karibu na JKN wakati ukweli si ajabu ni tofauti sana.

Kwa kuingiza kifo cha Nyerere kwenye siasa za uchaguzi, tayari ameiingiza familia nzima ya Nyerere kwenye hili na hao wengine itabidi waseme.

Tusiwe wajinga kiasi hicho cha kuweza kuamini kila ugonjwa ni mkono wa mtu. Nilikuwa hapa London wakati Nyerere anafariki na siwezi kuamini nchi ina watu wajinga kiasi hicho cha hata kuanza kufikiria kwamba JKN aliuwa na njama.

Nilifikiri Mtikila ni kichaa pekee, kumbe tuna hata wabunge ambao ni wajinga kiasi hiki? Hizi hisia za mkono wa mtu kwenye kila jambo zitatupeleka pabaya. Tutajenga taifa la waabudu Kikombe cha Babu na mwisho wake ni kuangamia maana hatutafanya tahadhari yoyote kwenye mambo yanayotusumbua hapa duniani.

Huyo Vincent inaelekea hata knowledge ya cancer hana.

Mkapa kama nguri la siasa alikua na sababu gani ya kumchafua V.N wakati ukweli anaujua??hv kweli kwa akili ndogo tu familia ya Nyerere ingekaa kimya muda wote wa kampeni za V.N musoma mjini mpaka kuja kua mbugme na kushindwa kumkana V.N kua sio mwanafamilia wao?ina maana watu wa Musoma mjini hawamfahamu V.N kama ni mwanafamily wa Nyerere kwa miaka yote hiyo waliyokaa nae?siasa ni mchezo wa kuchafuana duniani kote!kwa nini mkuu unataka tuamini ujinga aliotulisha B.Mkapa na tusiya amini ya V.N?
 
Back
Top Bottom