Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Kifo cha Mwl Nyerere watu hawataki kukurupuka! Patakuwepo na mwanga wa mshumaa ndani ya giza nene! Subira muhimu!
 
Mkapa alisema ukweli, hajawahi kutambulishwa na JKN huyo mtu anayeitwa Vicent...
Sasa kushare tu sir name na Nyerere huyo Vincent tayari anajiona ni wa familia ya JNK!
BTW huyo Josepahat ndio nimemskia leo...nyerere sidhani kama alishawahi kumtambulisha popote as well!

Jomba unataka uniambie kaka, dada, binamu, wajomba, mashangazi, mababu, mabibi na wadogo zake Kikwete unawajua au umewasikia Kikwete akiwatambulisha?
 
-Watanzania tutaendelea kubaki kuwa wajinga Period kwa kuependa na kushabikia siasa za maji taka.

-Nilijua CDM wameamua kuachana nazo kwa sasababu hazileti tija ila zinaendeleza siasa za kizamani ambazo hazilisaidii Taifa.

1.Kama vicent alijua wazi kuwa Mkapa na Serikali yake ndiyo waliomumaliza JKN,alikuwa wapi kusema zamani?huu ni unafiki mkubwa..Haiwezekani ikuchukue miaka kumi na mbili kuja kusema jamba ambalo umekaa nalo mika 12,totally rubbish na inaonyesha ni kwa jinsi gani kuna machafu hata ya CDM anayo sema anasubiri baadaye aje Kuyasema.

2.Hoja hii ni dhaifu na CCM watatumia Mtu wa karibu wa Mwalimu kwend ahuko kukanusha na kumkana Vicent(hili nalitegemea litatokea)

-Baadaye CDM itaonekana wamezusha hili na litawaharibia..Ugonjwa wowote hautakiwi kusubiri miaka mingi ili utoe dawa yake.

-Mkapa ni Mzoefu na alitumia maneno ya kuwatusi CDM kwa kuwa anawajua watabwatuka na kusahau focus ya kampeni zao....

-Kwa knowledge moja tu ya kipuuzi..Kifo cha Mwalimu kimewapunguzia nini watu wa Arumeru?ukiwaambia alimalizwa na Mkapa et all kinajibu mattatioz waliyo nayo?

Sijui...Ila hili la Mkapa ni kama uzushi tu
 
Duh.....ndio maana walimzika na zege kubwa namna ile ili tusije kudai a new post mortem kwa kuwa hatutoweza kumfukua
Ikihitajika postmortem mpya itapatikana tuu, mbona tunaweza kulipua kwa baruti na mwili ukatolewa au mifupa?????

Mwalimu alikufa kwa Upungufu wa Kinga Mwilini, uliosababishwa na Leukemia!
Mengine ni projo tu za kampeni. RIP St. Nyerere!
 
Sasa prof Mwakyusa si yupo atoe ushahidi mahakamani kama alikatazwa kumsogelea mwalimu alipokuwa london anatibiwa hapa tena Mkapa tunataka akimbie haraka mahakamani iliakaumbuke hukohuko na tupewe majibu ya hiyo bone marrow asipiration(FINE)kama ushahidi tuone kama ni kweli mwalimu alikufa kizembe namna hiyo na leukaemia ambayo baadhi ya type zake zinatibiwa hata hapa hapa kunamchezo ulichezwa si bure tunaujua mambo alarm ziligonga kichwana tukakosa ushahidi na pakulisemea hapa kuna namna tu.
 
Nakumbuka hata wtoto wa mwalimu walimshutumu dr Mwakyusa live kuwa alichangia kifo cha baba yao baada ya hapo uwaziri...... something is very wrong!!

Ni kweli mtoto wa Mwalimu yule Anna aliwahi kusema na akamtuhumu Dr. Mwakyusa na pia iliwahi kuandikwa kwenye gazeti la RAI la wakati ule kabla halijaanza kuchakachuliwa kuwa Dr. Mwakyusa alirudi Tanzania na kumwacha mgonjwa kule London kwa sababu watoto wa marehemu Mwalimu hawakuridhika nae. Hii naikumbuka vizuri.
 
Du! Kumbe huyu jamaa (Mkapa) alikuwa ana yake mengi kuliko tuliyoyafahamu.Tutajua mengi zaidi ya haya
Mungi Ibariki Tanzani na CDM kwa kutufumbua macho

Kinachongaza ni kuwa baada ya kifo cha Nyerere, Mkapa ceases to ba Mr Clean na badala yake akaanza kuweka misingi ya ufisadi tunaouona sasa.
 
na ex president anaacha mambo ya maana kwenye kampeni na kuanza kuzungumzia mtoto wa fulani wakati hata yeye mkewe alizaa na bwana mwingine ujue tumekwisha kisera!!

Yule jamaa hivi alizalia watoto wangapi kwa mke wa Ben.?
 
-Watanzania tutaendelea kubaki kuwa wajinga Period kwa kuependa na kushabikia siasa za maji taka.

-Nilijua CDM wameamua kuachana nazo kwa sasababu hazileti tija ila zinaendeleza siasa za kizamani ambazo hazilisaidii Taifa.

1.Kama vicent alijua wazi kuwa Mkapa na Serikali yake ndiyo waliomumaliza JKN,alikuwa wapi kusema zamani?huu ni unafiki mkubwa..Haiwezekani ikuchukue miaka kumi na mbili kuja kusema jamba ambalo umekaa nalo mika 12,totally rubbish na inaonyesha ni kwa jinsi gani kuna machafu hata ya CDM anayo sema anasubiri baadaye aje Kuyasema.

2.Hoja hii ni dhaifu na CCM watatumia Mtu wa karibu wa Mwalimu kwend ahuko kukanusha na kumkana Vicent(hili nalitegemea litatokea)

-Baadaye CDM itaonekana wamezusha hili na litawaharibia..Ugonjwa wowote hautakiwi kusubiri miaka mingi ili utoe dawa yake.

-Mkapa ni Mzoefu na alitumia maneno ya kuwatusi CDM kwa kuwa anawajua watabwatuka na kusahau focus ya kampeni zao....

-Kwa knowledge moja tu ya kipuuzi..Kifo cha Mwalimu kimewapunguzia nini watu wa Arumeru?ukiwaambia alimalizwa na Mkapa et all kinajibu mattatioz waliyo nayo?

Sijui...Ila hili la Mkapa ni kama uzushi tu

Do you know the notion about right time .right place and right guy?
 
......walitofautiana ubinafsishaji, ndo maana jamaa aliuza nchi baada ya kifo cha mwl, alifanya kinyume na mwl alivyokuwa anamwamini. Wabongo kwani wana mwamana basi?

Ina maana aliamua kumsaliti baada ya kumuweka madarakani akiwa hajulikani?
 
Mkapa kushiriki hizi kampeni chafu akijua kabisa yeye mwenyewe tayari yuko tarnished .
he is anything but tarnished. Benjamin Mkapa has been CCM's most trusted calling card on every major campaign since his retirement. Corruption allegations by the opposition have failed miserably to dent his stature as national statesman on the stamp and he delivers for CCM time and again. To charge "Mkapa alimuua Nyerere" will not fly either. For if you knew Mkapa killed Nyerere you would have screamed so before he was buried so an autopsy could be done, unless you are a disgruntled accomplice.
 
Mwl. Nyerere ni kiongozi bora aliyekuwa mbele kutetea maslahi ya wanyonge. Hii habari kwamba kuna huyu mtu kahusika kumuua kisa tu aliingilia ajenda yake ya kuuza nchi inasikitisha sana. Mnaweza kulindana kwa hili lakini Kwa kadri ya neno la Mungu aliye hai laana itamwandama pamoja na kizazi chake mtu yoyote atakayemwaga damu isiyo na hatia.
 
-Watanzania tutaendelea kubaki kuwa wajinga Period kwa kuependa na kushabikia siasa za maji taka. -Nilijua CDM wameamua kuachana nazo kwa sasababu hazileti tija ila zinaendeleza siasa za kizamani ambazo hazilisaidii Taifa. 1.Kama vicent alijua wazi kuwa Mkapa na Serikali yake ndiyo waliomumaliza JKN,alikuwa wapi kusema zamani?huu ni unafiki mkubwa..Haiwezekani ikuchukue miaka kumi na mbili kuja kusema jamba ambalo umekaa nalo mika 12,totally rubbish na inaonyesha ni kwa jinsi gani kuna machafu hata ya CDM anayo sema anasubiri baadaye aje Kuyasema. 2.Hoja hii ni dhaifu na CCM watatumia Mtu wa karibu wa Mwalimu kwend ahuko kukanusha na kumkana Vicent(hili nalitegemea litatokea) -Baadaye CDM itaonekana wamezusha hili na litawaharibia..Ugonjwa wowote hautakiwi kusubiri miaka mingi ili utoe dawa yake. -Mkapa ni Mzoefu na alitumia maneno ya kuwatusi CDM kwa kuwa anawajua watabwatuka na kusahau focus ya kampeni zao.... -Kwa knowledge moja tu ya kipuuzi..Kifo cha Mwalimu kimewapunguzia nini watu wa Arumeru?ukiwaambia alimalizwa na Mkapa et all kinajibu mattatioz waliyo nayo? Sijui...Ila hili la Mkapa ni kama uzushi tu
U got a point there Dude...........
 
Mkapa alisema ukweli, hajawahi kutambulishwa na JKN huyo mtu anayeitwa Vicent...
Sasa kushare tu sir name na Nyerere huyo Vincent tayari anajiona ni wa familia ya JNK!
BTW huyo Josepahat ndio nimemskia leo...nyerere sidhani kama alishawahi kumtambulisha popote as well!

Rejao
nyie mnaopenda kutambulisha ukoo wote kwa Raisi lengo lenu ni kutaka misaada,kwa Mwl nyerere hilo halikuwepo maana kama angetaka kuwatambulisha wote wanafamilia sijui kama Mh Mkapa angewakumbuka wote maana ukoo ni mkubwa sana.

kuto kutambulishwa kwa VC kwa Mh Mkapa hakufuti ubaba mkubwa ama ubaba mdogo uliopo kati ya Mwlimu nyerere na VC
 
Back
Top Bottom