Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Na mtaona jinsi serikali ya CCM itakavyojiingiza katika kauli hii ya Vincent. Itamfungulia mashitaka ya jinai dhidi yake eti kwa kutoa kashfa.
kama ni kashfa (libel) ni haki ya Mkapa kumfungulia kesi VN. Nyie ngojeni tu mapolisi wa magamba watakavyofanya kama kawaida yao!
 
Itabidi tukumbushane ili tuwekane sawa.
Nani huyo jamani anayesimamia uchimbaji wa Tanzanite Arusha?
Hawa watu ni wabaya sana kuliko mnavyofikiri, ni vizuri wawekwe wazi wa Tz wawafahamu, Mungu atawaumbua hapahapa duniani kwa matendo yao!
 
Naungana na ndg Keil, Vicent kwa kombora hilo kwa BWM, yatosha. ....najua ilivyomchukiza kwa kuambiwa si mtoto wa baba wa taifa,....BWN ajue hata Nkanaga ni wa hayati JKN(RIP) Na tumeshajua ukweli....
 
Uchokozi aliuanza mkapa Mwenyewe ngoja akome sasa
Naungana na ndg Keil, Vicent kwa kombora hilo kwa BWM, yatosha. ....najua ilivyomchukiza kwa kuambiwa si mtoto wa baba wa taifa,....BWN ajue hata Nkanaga ni wa hayati JKN(RIP) Na tumeshajua ukweli....
 
Sipati picha kwa jinsi Mkapa atakavyofula kwa Hasira!!anatamani angekuwa Rais angemuweka ndani VNyerere!Ushauri kwa Mkapa asingizie kwenda mahakamani na aachane na kampeni za CCM chadema ni Jiwe atoliweza!Pumzika mzee waachie Nape na timu yake!!Utu uzima sasa kuvuliwa nguo ni aibu!!
 
Yani imenifanya niriwaindi akili hadi 99, this is news to me kusema kweli, naona heri wenye details zaidi wamwage tusipojadili tunamlinda nani? Anastahili huyu jamaa kashfa zake zote haziku stick kivile but this is a hard one to swallow
 
Naungana na ndg Keil, Vicent kwa kombora hilo kwa BWM, yatosha. ....najua ilivyomchukiza kwa kuambiwa si mtoto wa baba wa taifa,....BWN ajue hata Nkanaga ni wa hayati JKN(RIP) Na tumeshajua ukweli....
 
Sasa ndio kajiharibia kabisa huyo. Anafikiri akisema hayo ndio kutakuwa na sympathy?
 
Nani huyo jamani anayesimamia uchimbaji wa Tanzanite Arusha?
Hawa watu ni wabaya sana kuliko mnavyofikiri, ni vizuri wawekwe wazi wa Tz wawafahamu, Mungu atawaumbua hapahapa duniani kwa matendo yao!
alikuwa balozi wetu SA..ni mwanahisa wa makampuni yote ya makaburu hapa nchini mpogoro huyu sijui mndamba almaaruuf AMI MPUNGWE
 
Mshaurini mh.Mkapa aache kutumiwa na wadogo zake katka mambo ya siasa,na kama akiendelea na tabia hii ya kuwatukana madogo kujibeba kunamhusu.
 
Back
Top Bottom