Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Natoa ushauri huu kwa Wafanyabiashara Wote wanaohisi kutofautiana na Utawala huu:
1. Andaa business proposal ya ku expand Biashara yako.
2. Nenda Banks omba mkopo Mkubwa Sana, assets zako ziweke Bond, zote.
3. Pokea mpunga wako, the next day chukua familia Yako, pelekeni fedha mkawekeze Biashara nyingine Nje ya nchi.
Baada ya hapo, walipe watu mishahara Yao, funga Biashara (tangazo la kufunga Biashara unalitolea ukiwa jurisdiction uliyoenda kuwekeza).
Mkifanya hivyo watu 10 tu, hiyo Kodi itakayopotea hapo Ni disaster katika Uchumi. Hawataweza kuchukua assets kwa sababu banks zinakuwa na title over the assets.
Mwisho, chukua uraia wa huko and never look back. Hatuwezi kuwa na nchi ya vinyongo na kutaka kuwakwamisha watu wasiendelee kimaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Briliant idea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story yako haina ukweli umechanganya mada mara uhuru kinyatta mara membe sasa rais ana shida gani na membe hana uwezo wa kumshinda rais uchaguzi . Kwa nini husema mabaya waliyoyafanya hawa wafanya biashara mpaka wakawa matajiri unajua siri zao
Rais ana shida gani na Membe? Muulize katibu mkuu wa ccm.
 
Mkuu hii sheria ya kutakatisha fedha ni fimbo ya kuwatandika wale wote wanaojitia na kiherehere cha kujua haki zao.

Unaweza kukaa ndani hata miaka 7 au 10 wakati upelekezi wa kesi yako ukiendelea.Wamiliki wengi wa maduka ya kubadilisha fedha itabidi wakubali yaishe wakikomaa watarajie maumivu zaidi.

Bunge linatakiwa kuitazama sheria hii upya kwakuwa imekuwa ikitumiwa kunyanyasa wafanyabiashara katika kiwango cha kutisha.

Yeah, ni unyanyasaji mkubwa sana unafanyika.

chinchilla coat, hii post inakuhusu.
 
Sawa,maana nahisi ungefurahi kama ningekuwa mmoja wa majuha wenzako,

Binafis sipendezwi na mtu kuteseka,au kukosa raha kama Huyo Jamaa anavyoteseka,Ila sio kila kitu ni kuingiza siasa ndio maana hatuendelei.

Yani kuanzia viongozi was serikali hadi raia sote tunatanguliza siasa ,guy badilika aisee wewe ndio wale hata ukishindwa kuoga utalalamika serikali ,ukishindwa kujamba pia si hajabu nako ukailalamikia serekali
Mkuu bado unaendelea kutembelea reli ileile.....,
Unasema kila kitu siasa lkn uoneshi nani anayefanya siasa kati mtoa mada au serikali au wachangiaji ndani ya Uzi huu...,

Exactly siasa inagusa kila kitu ndani ya maisha yetu...,"umesema nikiacha kuoga naweza ilaumu serikali" which is true...

Nini maana ya kushindwa kuoga..???labda kwa kukosa huduma nzuri za maji..,who supposed to bring water to me..?Leaders who elected to advocate our problems.., umesema hata "nikikosa kujamba huenda pia nikalaumu serikali" nini maana ya kukosa kujamba..??ni kukosa afya or luck of food.. What does it mean..??No employment, self employment are full destructed with a lot of taxes,agriculture are full disaster(cashewnut crisis)....!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom