Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Mkuu hii sheria ya kutakatisha fedha ni fimbo ya kuwatandika wale wote wanaojitia na kiherehere cha kujua haki zao.

Unaweza kukaa ndani hata miaka 7 au 10 wakati upelekezi wa kesi yako ukiendelea.Wamiliki wengi wa maduka ya kubadilisha fedha itabidi wakubali yaishe wakikomaa watarajie maumivu zaidi.

Bunge linatakiwa kuitazama sheria hii upya kwakuwa imekuwa ikitumiwa kunyanyasa wafanyabiashara katika kiwango cha kutisha.
Unazungumzia bunge lipi ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,maana nahisi ungefurahi kama ningekuwa mmoja wa majuha wenzako,

Binafis sipendezwi na mtu kuteseka,au kukosa raha kama Huyo Jamaa anavyoteseka,Ila sio kila kitu ni kuingiza siasa ndio maana hatuendelei.

Yani kuanzia viongozi was serikali hadi raia sote tunatanguliza siasa ,guy badilika aisee wewe ndio wale hata ukishindwa kuoga utalalamika serikali ,ukishindwa kujamba pia si hajabu nako ukailalamikia serekali
Mkuu ukweli ni ukweli tu. Kwanini watu huwa hampendi ukweli?
 
Hahaaaa!! Yawezekana mkuu! Maana mwendelezo wa stori fupi niliyopewa na yule mshauri wake niliyoipatia sehemu nyingine ni kuwa kweli Pesa mbili ndiye mhusika! Na ndiyo maana Laswai alikuwa na mashaka na hofu baada ya kusikia mzee wa 'Majani'yupo kwapani! Sasa nyepesi nyepesi ni kuwa Laswai baada ya kufikiri vya kutosha na kwa kuwa mzigo si wake bali yeye ni mshika pembe tu!na ukizingatia kuwa yeye pia ana biashara zake nyingine nyingi tu Binafsi,aliamua kiroho ngumu kumrudishia Basil mzigo wake at the time when the bomb was tickin!! Sasa Basil kutupiwa mkaa wa moto huku amelowana petrol ndiyo ikawa kazi kubwa kwake! Hivyo akalazimika kuupiga mkaa teke hadi kwa Wakenya hao walioutuliza mkaa,wakaupooza,na hali ikawa kama ilivyo!!

Sawasawa nimekusoma mzee baba.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu Jiwe ana shida gani na kaskazini. Ila atambue hii vita yake hapambani na mtu mmoja anapambana na jeshi zima la wafanyabiashara. Sasa hawa wafanyabiashara wajipange na wamfanyie surprise Jiwe ili ajue kuwa hana akili.

Wakiweza kumtenda kama walivyomfanyia kwenye Korosho maana kila anayetaka kununua korosho hawa majamaa wanawastopisha wanunuzi ili kumpa somo jiwe ila ndo hivyo anajifanya kichwa ngumu.



Sent using Jamii Forums mobile app

Majamaa gani wanawastopisha wanunuzi mkuu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ukweli ni ukweli tu. Kwanini watu huwa hampendi ukweli?
Hoja dhaifu chief,kwa nini hitimisho la akili zetu katika kufikiri linafikia kwenye kuhusisha na siasa,mauaji ya watoto iringa eti nayo ni siasa,watu kufa kibiti nisiasa,Luna vitu kweli MTU unaweza kusema kweli tukio hili ni siasa ,mfano tukio la lisuu na mengineyo ambayo moja kwa moja hayana kiulizo
 
Siyo tu awamu hii ila kwa ujumla mfanya biashara HATAKIWA hata siku moja kujikomba komba kwa wanasiasa! Huwezi kujua kesho kitatokea nini! Mfanyabiashara unatakiwa uwe neutral na usitumie wanasiasa au nguvu za fedha kujipatia vitu kwa njia haramu. Bakresa ni mmoja ya wanafanyiabisha wanaopaswa kuigwa kwa hapa Tanzania.

Ila amekua mfanyabiashara wa kuigwa baada ya kipindi kile unga wake kua umemwagwa kule baharini,ndipo alijifunza somo.

Huwezi kua mfanyabiashara nchi hii bila kua na uhusiano na wanasiasa unless useme ni vibaya mfanyabiashara kua na mahusiano na wanasiasa wasiotawala kwa kipindi hicho.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwenye magendo pia kunawezekana maana warombo kwa magendo ni balaa hahah,nazingua bana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu siyo kundi la watu fulani tu ila kwa ujumla wafanyabiashara wengi wa nchi zetu za kiafrika wana makandokando mengi. Ila kuna wale waliozidisha mpaka watoto wadogo wanawashtukia. Huyu jamaa anayezungumziwa kwenye hii thread ni mfanya biashara wa siku nyingi sana. Mji wa Moshi ni maarufu. Ila vile vile ni mtu hapendi kujionyesha onyesha hasa kwenye vyombo vya habari na majukwaa ya kisiasa.
 
Ila amekua mfanyabiashara wa kuigwa baada ya kipindi kile unga wake kua umemwagwa kule baharini,ndipo alijifunza somo.

Huwezi kua mfanyabiashara nchi hii bila kua na uhusiano na wanasiasa unless useme ni vibaya mfanyabiashara kua na mahusiano na wanasiasa wasiotawala kwa kipindi hicho.



Sent from my iPhone using JamiiForums
Uhusiano ninaozungumzia ni ule uliojaa makando kando. Uhusiano kama aliokuwa na Rostam Aziz, Manji au Mengi. Of course uhusiano wa kawaida ni mzuri lakini usivuke mipaka.
 
Hoja dhaifu chief,kwa nini hitimisho la akili zetu katika kufikiri linafikia kwenye kuhusisha na siasa,mauaji ya watoto iringa eti nayo ni siasa,watu kufa kibiti nisiasa,Luna vitu kweli MTU unaweza kusema kweli tukio hili ni siasa ,mfano tukio la lisuu na mengineyo ambayo moja kwa moja hayana kiulizo
Nadhani haujawahi kufanya biashara wewe. Au pia haufahamu mazingira ya biashara bongo. Kwanza ukiwa mwana ccm ndo mambo safi.
 
Story yako haina ukweli umechanganya mada mara uhuru kinyatta mara membe sasa rais ana shida gani na membe hana uwezo wa kumshinda rais uchaguzi . Kwa nini husema mabaya waliyoyafanya hawa wafanya biashara mpaka wakawa matajiri unajua siri zao
 
Wanajamvi,
Vincent Laswai ni mfanyabiashara maarufu sana pale Moshi. Ndiye mwenye ile Kibo Palace Arusha, mwenye Bureau de changes Moshi na Arusha ambazo zilivamiwa na jeshi kipindi kile, na hadi sasa zimefungwa. Pia ana biashara za jumla kuagiza sukari na bidhaa nyingine kama batteries nk kutoka nje.

Kuna waliokuwa wakisema hiyo Kibo Palace wako na Uhuru Kenyatta. Hoteli hiyo ni maarufu sana. Viongozi wakubwa hufikia hapo. Kuanzia kina Kenyatta, Kikwete, na hata Bernard Membe, ambaye naye inasemekana ni rafiki mkubwa wa ndugu Laswai!

Sasa mida hii ninayozungumza, maafisa usalama pamoja na askari wamezunguka biashara zake na inasemekana anatafutwa. Nadhani tayari alikuwa amesha surrender passport yake, ila kama kachomoka, pengine alikuwa na zaidi ya moja.

Kuna wanaodai kuwa kuna mipango inayoendelea dhidi ya wafanyabiashara flani, wengine wanasema ni ukaribu wake na Bernard Membe ndiyo umemponza! Amekuwa monitored na hakuwa akiweza kuongea hata kwa simu bila kufitiliwa.

Bado nasubiria kusikia nini hatma yake. Sijui kama ni issue ya utakatishaji fedha au ni kitu gani!

Pia wamebeba computers nk, kama kuna wenye info ya kinachoendelea atueleze.
Dikteta nchi imemshinda sasa anataka kuanzisha vita ya kikabila akianza kushughulikia wafanyabishara wa kihindi. kihaya na kichaga
 
Back
Top Bottom