Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Fedha za Bureue de change zinachukuliwa zote na sirikali nasikia Sanya na waliokuwa na fedha nyingi wamegoma kuachia mijihela ya mingi ya kutosha.

Kifuatacho kinafurahisha kama si kesi ya kutakatisha hela ambayo hakuna dhamani sioni wakifanyiwa jambo lingine zaidi ya hilo.
Duuh! Sasa kwa hatua hizo hali ya Tsh si itakuwa taabani zaidi?
 
Kutesa kwa zamu!Ulifikiri wana huko ulikokutaja kipindi kile wanaajiliana wao tena kwa upendeleo wa wazi kabisa ulidhani wengine walikuwa na furaha!?
Hata sijakuelewa mkuu.
 
sasa tumishiwa matukio tumeamia katika maisha binafsi ya watu.Tetesi tu eti uhuru kenyata,or mara membe!!!Yaani hata udaku afadhali
Dada sijakuelewa. Suala la yeye kuwa Mtu wa karibu wa Bernard Membe mbona linafahamika? Hilo la kuwa share na Kenyatta Kibo Palace ndo rumours. Inawezekana isiwe kweli. Lakini hiyo siyo hoja. Una makengeza ya akili?
 
Duuh! Sasa kwa hatua hizo hali ya Tsh si itakuwa taabani zaidi?

Mkuu hii sheria ya kutakatisha fedha ni fimbo ya kuwatandika wale wote wanaojitia na kiherehere cha kujua haki zao.

Unaweza kukaa ndani hata miaka 7 au 10 wakati upelekezi wa kesi yako ukiendelea.Wamiliki wengi wa maduka ya kubadilisha fedha itabidi wakubali yaishe wakikomaa watarajie maumivu zaidi.

Bunge linatakiwa kuitazama sheria hii upya kwakuwa imekuwa ikitumiwa kunyanyasa wafanyabiashara katika kiwango cha kutisha.
 
Yes it is true, it is happening as we speaking. Naskia hata huko Kibo Palace wamefika. Pia wameondoka na computers.

Huenda ikawa mambo ya kodi aisee.

Maana hata kama ni conspiracy kumhusu jiwe sidhani huyo Laswai anatumia hata email!!

Hivi Bureau De Change yake pale Moshi ndio ile miaka ya 90's alikua anasimama Rasta mmoja hivi nje watu tukadhani ni yake?

Nadhani ni njia ya Double Road mbele ya Panjwani kanjia ka kupanda kulia kama unaelekea msikiti wa Riadha?

Huyu Laswai mwenyewe si alikuaga na maduka ya jumla ya sukari,mafuta,etc?

Ila mkuu kwa biashara hii ya commodities sidhani kama jamaa ni high powered mpaka kumtisha jiwe!

Hata hoteli,asset kama asset itakua owned na bank,yeye anazungusha operations,na sales sio bakora za hatari..

Ila sijui bwana,mambo mengi,kila mtu ana michongo yake,huenda kamgusa jiwe pabaya..!
 
Mkuu hii sheria ya kutakatisha fedha ni fimbo ya kuwatandika wale wote wanaojitia na kiherehere cha kujua haki zao.

Unaweza kukaa ndani hata miaka 7 au 10 wakati upelekezi wa kesi yako ukiendelea.Wamiliki wengi wa maduka ya kubadilisha fedha itabidi wakubali yaishe wakikomaa watarajie maumivu zaidi.

Bunge linatakiwa kuitazama sheria hii upya kwakuwa imekuwa ikitumiwa kunyanyasa wafanyabiashara katika kiwango cha kutisha.
Unachosema ni kweli.
 
Huenda ikawa mambo ya kodi aisee.

Maana hata kama ni conspiracy kumhusu jiwe sidhani huyo Laswai anatumia hata email!!

Hivi Bureau De Change yake pale Moshi ndio ile miaka ya 90's alikua anasimama Rasta mmoja hivi nje watu tukadhani ni yake?

Nadhani ni njia ya Double Road mbele ya Panjwani kanjia ka kupanda kulia kama unaelekea msikiti wa Riadha?

Huyu Laswai mwenyewe si alikuaga na maduka ya jumla ya sukari,mafuta,etc?

Ila mkuu kwa biashara hii ya commodities sidhani kama jamaa ni high powered mpaka kumtisha jiwe!

Hata hoteli,asset kama asset itakua owned na bank,yeye anazungusha operations,na sales sio bakora za hatari..

Ila sijui bwana,mambo mengi,kila mtu ana michongo yake,huenda kamgusa jiwe pabaya..!
Kuhusu alipokuwa anasimama Rasta miaka hiyo ndiyo. Pale double road.

Kuhusu uwezo wake wa ki fedha, nakiri kusema ni mkubwa.

Hiyo ya commodities in whole sale, is just part of business. He owns big luxurious appartments as well! Si za kitoto!😀
 
Wanajamvi,
Vincent Laswai ni mfanyabiashara maarufu sana pale Moshi. Ndiye mwenye ile Kibo Palace Arusha, mwenye Bureau de changes Moshi na Arusha ambazo zilivamiwa na jeshi kipindi kile, na hadi sasa zimefungwa. Pia ana biashara za jumla kuagiza sukari na bidhaa nyingine kama batteries nk kutoka nje.

Kuna waliokuwa wakisema hiyo Kibo Palace wako na Uhuru Kenyatta. Hoteli hiyo ni maarufu sana. Viongozi wakubwa hufikia hapo. Kuanzia kina Kenyatta, Kikwete, na hata Bernard Membe, ambaye naye inasemekana ni rafiki mkubwa wa ndugu Laswai!

Sasa mida hii ninayozungumza, maafisa usalama pamoja na askari wamezunguka biashara zake na inasemekana anatafutwa. Nadhani tayari alikuwa amesha surrender passport yake, ila kama kachomoka, pengine alikuwa na zaidi ya moja.

Kuna wanaodai kuwa kuna mipango inayoendelea dhidi ya wafanyabiashara flani, wengine wanasema ni ukaribu wake na Bernard Membe ndiyo umemponza! Amekuwa monitored na hakuwa akiweza kuongea hata kwa simu bila kufitiliwa.

Bado nasubiria kusikia nini hatma yake. Sijui kama ni issue ya utakatishaji fedha au ni kitu gani!

Pia wamebeba computers nk, kama kuna wenye info ya kinachoendelea atueleze.
Kwa mazingira lazima wafanyabiashara wakimbie.
Kodi itatoka wapi kama hakuna biashara?
Mtu unaishi kwa hofu muda wote
@fazafoxy
MSAGA SUMU
USSR123
USSR
LIKUD
 
Lissu akiwa marekani alisema kwa Tanzania sasa hv kuna mtindo unaendelea wa kuwanyang'anya wafanyabiashara Mali zao, wanashurutishwa watoe hela, wasipotoa wanapewa Kesi Ya uhujumu uchumi..

Kwa mujibu wa Tundu lissu, je na hili litakuwa Ni mojawapo???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tetesi zipo. Pia hilo la uhusiano wake na Membe limesemwa kuwa yaweza kuwa sababu. Kuhusu wafanyabiashara kufanyiwa hayo mambo, pia kuna ushahidi. Hata pale Arusha singa singa mmoja nakumbuka alitoa pesa ndo akaachiwa.
 
Hivi ile kauli ya kutaka matajiri waishi kama mashetani hawa matajiri hawakuielewa nn!? Hii awamu ni ya kukomoana sasa hawajui kua ukimkomoa tajiri unawaumiza masikini zaidi ya 50 maana imagine huyu Laswai pale kibo palace kawaajiri watz wangapi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Dar ana kiwanda nadhani cha pipi kama sikosei.
 
Back
Top Bottom