SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
KunaYes, Kibo Palace ni yake.
1. Kibo Palace Hotel na
2. Palace Hotel.
Zote ni za kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
KunaYes, Kibo Palace ni yake.
Na ana hotel nyingine ipo nyuma ya stand ya bus hapo arusha, nafikiri inaitwa joshmaKuhusu alipokuwa anasimama Rasta miaka hiyo ndiyo. Pale double road.
Kuhusu uwezo wake wa ki fedha, nakiri kusema ni mkubwa.
Hiyo ya commodities in whole sale, is just part of business. He owns big luxurious appartments as well! Si za kitoto![emoji3]
Inaitwa narcissism.Kuna watu fulani wanapenda kuwa humiliate watu fulani.....uteswe,uenyeshwe wakuaribie tu personality yako
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
No! Hata kibo palace haiendeshi yeye!! Kuna kipindi niliwahi kufika kwake Shanty town nikiwa na Ndugu yake mmoja mwenye sura ya kilevi(nasikia huyo ndiye mshauri wake mkuu)ni kipindi kile Bwana Mramba anannza kuelekezewa kibla(kuwekwa kati) yule mtu alinieleza jinsi 'mzee' alivyo kwenye msongo wa mawazo kwani yeye na Mramba wamekuwa karibu mno hadi baadhi ya watu kuhisi kuwa mali za Laswai ni za Mramba!! Sasa ile kesi ya Mramba ilimuweka pabaya laswai!!Godown lake la kuhifadhia na kuuzia mali imported ilifungwa na biashara ilikuwa imesimama! Baadaye kidogo kibo palace nayo ilifungwa kwa muda kidogo na baadaye ilikuja kampuni kutoka kenya na kuifungua baada ya marekebisho makubwa kiasi!! Nadhani hadi sasa hao wakenya ndiyo wanaoiendesha!! I stand to be corrected!
Kibo palace na Palace hotel ni hotel mbili tofauti mkuu! Kibo palace ni yake ila palace hotel sidhani!Yes, Kibo Palace ni yake.
Sasa hapo ukimdidimiza embu fikiria wanyonge wangapi watapoteza ajira!?Hata Dar ana kiwanda nadhani cha pipi kama sikosei.
Hanspaul!Hizo tetesi zipo. Pia hilo la uhusiano wake na Membe limesemwa kuwa yaweza kuwa sababu. Kuhusu wafanyabiashara kufanyiwa hayo mambo, pia kuna ushahidi. Hata pale Arusha singa singa mmoja nakumbuka alitoa pesa ndo akaachiwa.
Point hizo kabisa;maana sasa ukiendelea kuzubaa hapa nchini unajikuta umewekwa lock up hata miaka saba huku wimbo wa uchunguzi bado unaendelea ukitamalaki.Natoa ushauri huu kwa Wafanyabiashara Wote wanaohisi kutofautiana na Utawala huu:
1. Andaa business proposal ya ku expand Biashara yako.
2. Nenda Banks omba mkopo Mkubwa Sana, assets zako ziweke Bond, zote.
3. Pokea mpunga wako, the next day chukua familia Yako, pelekeni fedha mkawekeze Biashara nyingine Nje ya nchi.
Baada ya hapo, walipe watu mishahara Yao, funga Biashara (tangazo la kufunga Biashara unalitolea ukiwa jurisdiction uliyoenda kuwekeza).
Mkifanya hivyo watu 10 tu, hiyo Kodi itakayopotea hapo Ni disaster katika Uchumi. Hawataweza kuchukua assets kwa sababu banks zinakuwa na title over the assets.
Mwisho, chukua uraia wa huko and never look back. Hatuwezi kuwa na nchi ya vinyongo na kutaka kuwakwamisha watu wasiendelee kimaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kwa kiasi kikubwa. Hilo la wakenya ndiyo lilipelekea kudhaniwa kuwa Kenyatta yumo. Kuhusu uhusiano na Mramba pia ni kweli.No! Hata kibo palace haiendeshi yeye!! Kuna kipindi niliwahi kufika kwake Shanty town nikiwa na Ndugu yake mmoja mwenye sura ya kilevi(nasikia huyo ndiye mshauri wake mkuu)ni kipindi kile Bwana Mramba anannza kuelekezewa kibla(kuwekwa kati) yule mtu alinieleza jinsi 'mzee' alivyo kwenye msongo wa mawazo kwani yeye na Mramba wamekuwa karibu mno hadi baadhi ya watu kuhisi kuwa mali za Laswai ni za Mramba!! Sasa ile kesi ya Mramba ilimuweka pabaya laswai!!Godown lake la kuhifadhia na kuuzia mali imported ilifungwa na biashara ilikuwa imesimama! Baadaye kidogo kibo palace nayo ilifungwa kwa muda kidogo na baadaye ilikuja kampuni kutoka kenya na kuifungua baada ya marekebisho makubwa kiasi!! Nadhani hadi sasa hao wakenya ndiyo wanaoiendesha!! I stand to be corrected!
Nikuwachia manyoya tuPoint hizo kabisa;maana sasa ukiendelea kuzubaa hapa nchini unajikuta umewekwa lock up hata miaka saba huku wimbo wa uchunguzi bado unaendelea ukitamalaki.
Sent using Jamii Forums mobile app