Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,282
Huyu mee ana ela mkuu. Uliza wanaomjuwa. Kwani Maghufuli ana ela gani? Wewe unadhani ni pesa kuanzia kiasi gani zinaweza kumtisha?Nakuelewa mkuu....
Huenda ana hela sana,ila sio za kumtisha mwenye nchi yake!
Kuna kitu kakifanya jiwe hajakipenda labda!
Ila sio kwamba ana mbumba za kumtisha jiwe!