Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Huyu ni Jambazi ,katili sana. Biashara ni kama kujificha kwenye kichaka cha karanga ambacho unaonekana,
Naishia hapo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni tuhuma kubwa. Mbona hatujasikia ameingia kwenye matata au kutuhumiwa hata siku moja? (nisahihishe kama nimekosea). Nachojua jamaa ni mfanya biashara wa siku nyingi sana. Miaka ya 90 alikuwa tayari ameshatoboa na yuko kwenye level ya juu!
 
Mkuu bado unaendelea kutembelea reli ileile.....,
Unasema kila kitu siasa lkn uoneshi nani anayefanya siasa kati mtoa mada au serikali au wachangiaji ndani ya Uzi huu...,

Exactly siasa inagusa kila kitu ndani ya maisha yetu...,"umesema nikiacha kuoga naweza ilaumu serikali" which is true...

Nini maana ya kushindwa kuoga..???labda kwa kukosa huduma nzuri za maji..,who supposed to bring water to me..?Leaders who elected to advocate our problems.., umesema hata "nikikosa kujamba huenda pia nikalaumu serikali" nini maana ya kukosa kujamba..??ni kukosa afya or luck of food.. What does it mean..??No employment, self employment are full destructed with a lot of taxes,agriculture are full disaster(cashewnut crisis)....!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wooooi,aisee we Jamaa we we,

Shekhe endelea kungoja hivyohivyo na kuimba siasa kwa kila jambo,

Yes,hauna tofauti na anayeomba mungu amasaidie huku akiwa amekaa ndani kanyoohsa miguu akitegeme huo msaada umjie akiwa amekaa hapohapo.

Asante kwa kuonyesha jinsi ulivyo,ulizaliwa ukiwa na mikono midogo kama pingili za muwa utakufa ukiwa na mikono mirefu isiyo na hata na kujua uchungu wa jasho lako.

Badilika,tubadilike tuijenge Tanzania yetu
 
  • Thanks
Reactions: UCD
1551203114755.jpeg
 
Ila kwa mfanyabiashara kuushindwa kuusoma upepo na kushikamana na mpinzani wa jiwe kwa zama hizi nikutaka kurudi kwny umaskini aisee.
Humjui laswai kbsa ww huyu ni wa siku nyingi na mtu Mwenye heshima zake sana basi tu kafara sabb ni karibu na membe, jk ndio shida
 
Humjui laswai kbsa ww huyu ni wa siku nyingi na mtu Mwenye heshima zake sana basi tu kafara sabb ni karibu na membe, jk ndio shida
Pengine wewe umemjua Laswai hapa mjini akiwa kwny msiba wa Bilionea Msuya kama msemaji wa familia,humjui nje ya hapo nadhani.

Umekuja mjini lini?
 
Mpaka waishi kama mashetani, nchi inanyooshwa
Wanajamvi,
Vincent Laswai ni mfanyabiashara maarufu sana pale Moshi. Ndiye mwenye ile Kibo Palace Arusha, mwenye Bureau de changes Moshi na Arusha ambazo zilivamiwa na jeshi kipindi kile, na hadi sasa zimefungwa. Pia ana biashara za jumla kuagiza sukari na bidhaa nyingine kama batteries nk kutoka nje.

Kuna waliokuwa wakisema hiyo Kibo Palace wako na Uhuru Kenyatta. Hoteli hiyo ni maarufu sana. Viongozi wakubwa hufikia hapo. Kuanzia kina Kenyatta, Kikwete, na hata Bernard Membe, ambaye naye inasemekana ni rafiki mkubwa wa ndugu Laswai!

Sasa mida hii ninayozungumza, maafisa usalama pamoja na askari wamezunguka biashara zake na inasemekana anatafutwa. Nadhani tayari alikuwa amesha surrender passport yake, ila kama kachomoka, pengine alikuwa na zaidi ya moja.

Kuna wanaodai kuwa kuna mipango inayoendelea dhidi ya wafanyabiashara flani, wengine wanasema ni ukaribu wake na Bernard Membe ndiyo umemponza! Amekuwa monitored na hakuwa akiweza kuongea hata kwa simu bila kufuatiliwa.

Bado nasubiria kusikia nini hatma yake. Sijui kama ni issue ya utakatishaji fedha au ni kitu gani!

Pia wamebeba computers nk, kama kuna wenye info ya kinachoendelea watueleze. Hapo chini akiwa na JKView attachment 1032828

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nionyeshe kwny comment yangu nimetaja neno kabila wapi?

Hujaona wanasema Laswai ni rafikiye Membe.

Na Membe si ndiye anatajwa kama mpinzani wa Magu?

Then huo ukabila unaosema umetoka wapi?
Anataka kumtetea mtu hapo nadhani kwa sababu ukimwona mtoto anaanza kulia kuwa sijalamba sukariiiii ujue tiyari ndio yeye aliyemaliza kopo lote
 
Hapo lazima abebeshwe zigo la uhujumu uchumi, basi, huchomoki, na habari yako ndio inaishia hapo.
 
Back
Top Bottom