Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Wanajamvi,
Vincent Laswai ni mfanyabiashara maarufu sana pale Moshi. Ndiye mwenye ile Kibo Palace Arusha, mwenye Bureau de changes Moshi na Arusha ambazo zilivamiwa na jeshi kipindi kile, na hadi sasa zimefungwa. Pia ana biashara za jumla kuagiza sukari na bidhaa nyingine kama batteries nk kutoka nje.

Kuna waliokuwa wakisema hiyo Kibo Palace wako na Uhuru Kenyatta. Hoteli hiyo ni maarufu sana. Viongozi wakubwa hufikia hapo. Kuanzia kina Kenyatta, Kikwete, na hata Bernard Membe, ambaye naye inasemekana ni rafiki mkubwa wa ndugu Laswai!

Sasa mida hii ninayozungumza, maafisa usalama pamoja na askari wamezunguka biashara zake na inasemekana anatafutwa. Nadhani tayari alikuwa amesha surrender passport yake, ila kama kachomoka, pengine alikuwa na zaidi ya moja.

Kuna wanaodai kuwa kuna mipango inayoendelea dhidi ya wafanyabiashara flani, wengine wanasema ni ukaribu wake na Bernard Membe ndiyo umemponza! Amekuwa monitored na hakuwa akiweza kuongea hata kwa simu bila kufuatiliwa.

Bado nasubiria kusikia nini hatma yake. Sijui kama ni issue ya utakatishaji fedha au ni kitu gani!

Pia wamebeba computers nk, kama kuna wenye info ya kinachoendelea watueleze. Hapo chini akiwa na JKView attachment 1032828
Harusi ya binti yake ilikuwa balaa,ilifanyika Gymkhana Moshi,waliohudhuria hiyo harusi ni watu wemye majina na waliokuwa na nafasi kubwa hapa nchini,kama kweli huyu bwana kaguswa basi serikali ya safari hii haina ubia na mtu.
 
Acheni ujinga huyu bwana hana urafiki na watu wa SACCOS ya Kaskazini,marafiki na wabia wake ni wale wa CCM,kwa hiyo masaibu yake hayahusiani na mambo ya siasa,tuache siasa kwenye mambo yasiyohusu siasa.Watu tunabweka bweka tu,hivi mnajua wanyoyafanya hawa watu?
 
Waafrika tuko mafala sana...
Tunajua nini kinaendelea na hatma yake nini kwa uchumi wetu na hatuna guts za kufanya chochote...
Acha tufe maskini tu si hatuwezi kupambana nao bana kinguvu wala kiakili sio
 
Tatizo jinsi ya kuzireport habari tunapotosha sana
 
Acheni ujinga huyu bwana hana urafiki na watu wa SACCOS ya Kaskazini,marafiki na wabia wake ni wale wa CCM,kwa hiyo masaibu yake hayahusiani na mambo ya siasa,tuache siasa kwenye mambo yasiyohusu siasa.Watu tunabweka bweka tu,hivi mnajua wanyoyafanya hawa watu?
Umejuaje?
 
Harusi ya binti yake ilikuwa balaa,ilifanyika Gymkhana Moshi,waliohudhuria hiyo harusi ni watu wemye majina na waliokuwa na nafasi kubwa hapa nchini,kama kweli huyu bwana kaguswa basi serikali ya safari hii haina ubia na mtu.
Membe alikuwemo. Na wadau wengi tu.
 
1551208954821.png

Pako fresh Kibo Palace.
 
Hv mnajua kweli maisha ya watu na biashara zao? Usimjaji mtu kwa muonekano wa nje hv mnawajua vuzuri TRA na WAFANYABIASHRA WAKUBWA (behind the scene) tuish kama great thinker kweli na si kuotea otea tu KISIASA 90's mpaka Leo kuna makando mangapi na ndio wanatafuta nan wa kuwasaidia na hakuna hat tajiri mmoja asiekwepa kodi hata ulaya iko hvyo.TUFIKIRI KWANZA tusubir upande wa pili ndio tubalance habar na kuchambua
 
Pengine wewe umemjua Laswai hapa mjini akiwa kwny msiba wa Bilionea Msuya kama msemaji wa familia,humjui nje ya hapo nadhani.

Umekuja mjini lini?
Naishi dar ila Namfaham laswai kama wakala ya sukari ya zakaria (haruna) na pia kama tajiri pekee anayekuwa na hard cash muda wwte hata 10m USD , kwahyo sio mtu mdogo muulize Jakaya anamfaham vyema
 
Wooooi,aisee we Jamaa we we,

Shekhe endelea kungoja hivyohivyo na kuimba siasa kwa kila jambo,

Yes,hauna tofauti na anayeomba mungu amasaidie huku akiwa amekaa ndani kanyoohsa miguu akitegeme huo msaada umjie akiwa amekaa hapohapo.

Asante kwa kuonyesha jinsi ulivyo,ulizaliwa ukiwa na mikono midogo kama pingili za muwa utakufa ukiwa na mikono mirefu isiyo na hata na kujua uchungu wa jasho lako.

Badilika,tubadilike tuijenge Tanzania yetu
Pole sana naona umejaribu kupiga perfume kwenye kinyesi ili kisitoe harufu mbaya lkn imeshindikana...,

Pole sana bwana Akili tatu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom