Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trust Bureau de changes yuko matatani?

Mjanja Mbowe, kahamisha baadhi ya mali zake nje ya nchi, hata wamtese vipi hawawezi kumfirisi.

Nawashauri matajiri, hamisheni baadhi ya mali zenu nje ya nchi, hali si nzuri kuanzia kwa muuza mchicha(kodi ya kichwa) mpaka kwa tajiri.

Sisi masikini hatuwezi hamisha mchicha wetu
 
Daaah! Uchumi uchumi wetu huoooooooo!
Wanajamvi,
Vincent Laswai ni mfanyabiashara maarufu sana pale Moshi. Ndiye mwenye ile Kibo Palace Arusha, mwenye Bureau de changes Moshi na Arusha ambazo zilivamiwa na jeshi kipindi kile, na hadi sasa zimefungwa. Pia ana biashara za jumla kuagiza sukari na bidhaa nyingine kama batteries nk kutoka nje.

Kuna waliokuwa wakisema hiyo Kibo Palace wako na Uhuru Kenyatta. Hoteli hiyo ni maarufu sana. Viongozi wakubwa hufikia hapo. Kuanzia kina Kenyatta, Kikwete, na hata Bernard Membe, ambaye naye inasemekana ni rafiki mkubwa wa ndugu Laswai!

Sasa mida hii ninayozungumza, maafisa usalama pamoja na askari wamezunguka biashara zake na inasemekana anatafutwa. Nadhani tayari alikuwa amesha surrender passport yake, ila kama kachomoka, pengine alikuwa na zaidi ya moja.

Kuna wanaodai kuwa kuna mipango inayoendelea dhidi ya wafanyabiashara flani, wengine wanasema ni ukaribu wake na Bernard Membe ndiyo umemponza! Amekuwa monitored na hakuwa akiweza kuongea hata kwa simu bila kufitiliwa.

Bado nasubiria kusikia nini hatma yake. Sijui kama ni issue ya utakatishaji fedha au ni kitu gani!

Pia wamebeba computers nk, kama kuna wenye info ya kinachoendelea atueleze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ikawa mambo ya kodi aisee.

Maana hata kama ni conspiracy kumhusu jiwe sidhani huyo Laswai anatumia hata email!!

Hivi Bureau De Change yake pale Moshi ndio ile miaka ya 90's alikua anasimama Rasta mmoja hivi nje watu tukadhani ni yake?

Nadhani ni njia ya Double Road mbele ya Panjwani kanjia ka kupanda kulia kama unaelekea msikiti wa Riadha?

Huyu Laswai mwenyewe si alikuaga na maduka ya jumla ya sukari,mafuta,etc?

Ila mkuu kwa biashara hii ya commodities sidhani kama jamaa ni high powered mpaka kumtisha jiwe!

Hata hoteli,asset kama asset itakua owned na bank,yeye anazungusha operations,na sales sio bakora za hatari..

Ila sijui bwana,mambo mengi,kila mtu ana michongo yake,huenda kamgusa jiwe pabaya..!

Aliinunua hio kibo palace hotel kwny mwaka 2009 hivi kutoka kwa kina Mramba kwa 8bil cash,hakuna mkopo wala nini.

Hio hela sio nyingi kwake maana kuna watu wana viduka vya jumla vya kawaida tu lkn bil 2 au 3 haziwapigi chenga.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakuelewa mkuu....

Huenda ana hela sana,ila sio za kumtisha mwenye nchi yake!

Kuna kitu kakifanya jiwe hajakipenda labda!

Ila sio kwamba ana mbumba za kumtisha jiwe!
 
Aliinunua hio kibo palace hotel kwny mwaka 2009 hivi kutoka kwa kina Mramba kwa 8bil cash,hakuna mkopo wala nini.

Hio hela sio nyingi kwake maana kuna watu wana viduka vya jumla vya kawaida tu lkn bil 2 au 3 haziwapigi chenga.

Sent from my iPhone using JamiiForums
8 billion cash......uchumi hauendeshwi hivi. Na kuwa 8 billion cash inamaana somewhere atakuwa amelipa kodi isiyopungua 2.4 billion kumiliki kiasi hicho cha fedha.
 
Kwahiyo? Kwanini zisifuatwe taratibu za kawaida za kisheria? Nani yuko tayari kuwindwa na genge la Mafia lililomo ndani ya huu utawala? Watu wanapotea,watu wanauawa,watu wanajeruhiwa na vyote vinafanyika kwa mfumo ule wa Kimafia.

Hakuna upumbavu wa eti"hawa matajiri wakubwa walitajirika kiu-kanjanja katika awamu zilizopita". Nchi ina sheria na taratibu zinazoeleweka,labda kama nia ni kumuua au kumteka kama ilivyotokea kwa wengine.
tumeangalia upande mmoja wa shilingi...mara nyingi hawa matajiri wakubwa hasa waliojitokeza awamu zilizopita walitajirika kiu-kanjanja....
 
Mjanja Mbowe, kahamisha baadhi ya mali zake nje ya nchi, hata wamtese vipi hawawezi kumfirisi.

Nawashauri matajiri, hamisheni baadhi ya mali zenu nje ya nchi, hali si nzuri kuanzia kwa muuza mchicha(kodi ya kichwa) mpaka kwa tajiri.

Sisi masikini hatuwezi hamisha mchicha wetu
Hahaha!Dah!Sad at the same time tho.
 
Back
Top Bottom