mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
najua wengi hapa wamesomea degree/certificate zao pale UDSM au basi Mlimani Primary
Pale engineering au Coet au Foe kwa wale wa zamani kuna vigoda maarufu kama vimbweta
hivi sifa yake kubwa ilikua ni kueshimiwa sio tu na wahandisi bali na hata mangwini...hili ungeweza kuliona zaidi kipindi cha migomo...
vimbwetani mtu haruhusiwi kukaa tena mbaya zaidi kama atakua ngwini....salute kwa mgahawa wa bwashehe kama bado yupo mzee wa bili za misosi....
ivi ni kwa nini wahandisi walikua na spirit iyo?je bado ipo?,,,unakumbuka tukio lolote lililokutokea apo vimbwetani?