Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
mbona mbamshambulia... kwani misosi sio mambo ya jamii?
au ngwini nini?
Utakuwa uliishia Mlimani primary, unaandika ooovyo kwa msomi wa UDSM.
mbona mbamshambulia... kwani misosi sio mambo ya jamii?
au ngwini nini?
na sio bwashehe, ni bwashee. Jamaa yupo sana. Ana uwezo wa kuweka plate tano zenye msosi mkononi bila kudondoka