Nawaita wana FoE (CoET) njooni tukiokoe chuo chetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaita wana FoE (CoET) njooni tukiokoe chuo chetu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mamanalia, Dec 13, 2009.

 1. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimeona request ya Prof. Mwamila kupitia post ya mdau mmoja hapa kwenye JF. Ninamshukuru sana kuileta hapa JF.
  Hii kweli inasikitisha sana, anyway, sie ndo wana FoE tuliopigania umoja na undugu wakati wote tukiwa FoE na tukawaambia na wadogo zetu na leo hii natumai bado wana FoE spirit ingawa sasa inaitwa CoET. Mie nitatoa hiyo 30,000 kila mwaka kutoka kwenye kamshahara kangu haka kadogo nakopata. Ninawaita wana FoE wote popote waliopo either TZ au abroad tukiokoe chuo chetu, hakuna mpuuzi anayejiita mwanasiasa kama JK atayeiokoa FoE, jamani tulisolve many problems those times let's get back and solve this, if we begin and make a good move, those corrupt stupids may also change and join us. FoE ni ya wasomi wahandisi sio wasomi wanasiasa waliosahau walitoka wapi na kushabikia CCM tu na kusahau maendeleo kama kina kawambwa na wahandisi wengine walioko bungeni.

  I urge you all, come n support our fellow Prof. Mwamila. This time we don need to go to FoE slab but we need to take that money to Mwamila na uzuri yeye si fisadi hatazila hizo pesa. Please I urge u again. Regain our FoE spirit n make a change.
   
 2. m

  masote Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mdau mhandisi, mi nashauri tuanzishe blog ya kihandisi na tuiite "the Slab Blog forum" na hapo tuwe tunaweka mambo yetu na kuonyesha our spirit, The FoE spirit.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,475
  Likes Received: 5,715
  Trophy Points: 280
  mpaka sasa naamini msafi ajazaliwa....so usimsemehe moyo unless uko nae kuhamasisha michango tuwaletee
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Do you think usipokuwa mshushu unaweza kuwa Dean wa FoE?thubutu.......Hii ni bongoland!
   
Loading...