sikiliza mchumba wa katibu , tunampenda zito kwa sababu ni kijana mzalendo, kiboko ya mafisadip
Teh teh...Huo uzalendo wa kuiba pesa za NSSF ndo uzalendo gani?

sasa mchumba wa katibu utampendaje zito wakati anahatarisha matumbo yenu?
Wewe unasema chadema imekosa mvuto, niambie ni mahali gani unaona kumepwaya na kwa sababu gani, pia umedai kuwa hakuna imani kwa wanainchi je wanamini chama gani kwa sasa. Mi naona wewe umstumwa na Zitto huna lolote.
Mi nilisema na ninasema tatizo la zitto Ni uzalendo wake anaipenda Sana nchi yake km angekuwa mnafki na kunyamazia mambo maovu mpk Leo angekuwa shujaa
Teh teh...Huo uzalendo wa kuiba pesa za NSSF ndo uzalendo gani?
hahahahaha,naona wampenda kweli Rais wa waTanzania.au ndo umeanza kujipendekeza kwa kuwa meshajua maccm hayana tena nafas ya kurudi magogoni mwakani.
Poleni,buku 7 zitakatika muda si muda,ni swala la muda tu
Kumjadili zzito ni sawa na kujadili maiti iliyo mochwari irudi kwenye hali ya uzima!
Ninahasira naye huyu msh*nzi hadi najiogopa!!!!????
Huo uzalendo alimfanyia dadako?
Teh teh...Huo uzalendo wa kuiba pesa za NSSF ndo uzalendo gani?
Zitto has principle n he is a dynamic new blood of politicians in Africa. Only fools and scapegoats will never understand him. He is courageous, fearless , visionary, and a gift to all Tanzanians , its a pity that both Mbowe Slaa n Mtei didn't do justice to him after he has played the biggest role in building CDM. Their fear of somebody better coming out amongst them and taking over the helm if the party, made them to make him a sacrificial lamb and they are now seeing the results of their mistake THE DOWN FALL OF CHADEMA.
Je katika huo umri wa miaka 40 alionao zitto, vp huyo dr.slaa unayemshabikia alikua na mke au mchumba?
Je, zito anayefanya mapenzi na hao unaowataja na dk slaa na mbowe wanaodh.ini nje ya ndoa zao unafikiri nani anapenda chini???
Watu mnapenda kujitoa ufaham sana.
Ila kumbuka kuwa nyota ya mtu haiwezi kuzimwa na binadamu waovu waliojaa laana za kila aina.
Zitto ni role model wa vijana wengi hapa tz labda kutoa mikoa miwili ya kaskazini yenye vimelea vya ukabila.
yale majina ya uswiss bado anayo ?

Bila zitto Dr slaa alikuwa ameficha mahesabu ya chama. Zit to ni kiongozi makini sana na anawazidi akili viongozi wa chadema.
Yani Zitto aliwasaidia kuwanyoosha Mbowe na Slaa.
Je katika huo umri wa miaka 40 alionao zitto, vp huyo dr.slaa unayemshabikia alikua na mke au mchumba?
Je, zito anayefanya mapenzi na hao unaowataja na dk slaa na mbowe wanaodh.ini nje ya ndoa zao unafikiri nani anapenda chini???
Watu mnapenda kujitoa ufaham sana.
Ila kumbuka kuwa nyota ya mtu haiwezi kuzimwa na binadamu waovu waliojaa laana za kila aina.
Zitto ni role model wa vijana wengi hapa tz labda kutoa mikoa miwili ya kaskazini yenye vimelea vya ukabila.
mchumba wa katibu usiwe na wasiwasi zito hagombei uongoz , kuleni ruzuku ya chama bila wasiwasi.. hakuna wa kuwazuia tena