Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Zitto yuko sahihi kabisa, na watanzania wengi bado tuna imani naye!

CHADEMA wanamtenga kwa ajili ya dini yake na kabila lake, pia kwa ajili ya misimamo yake isiyoyumbishwa!

BAVICHA wengi hawampendi Zitto kwa sababu wanafuata mkumbo wa viongozi wao!

Yaani we jamaa ni mdini hadi unatia kichefachefu...Khaa
 
Naona umekiri rasmi kuwa Chadema ni chama cha Wakirsto na tatizo la Zitto ni Uislam wake.

Shukrani kaka kwa kutufumbua macho.
Na tatizo la Samson Mwigamba, David Kafulila, Juliana Shonza na Mtela ni nini?
 
Zitto yuko sahihi kabisa, na watanzania wengi bado tuna imani naye!

CHADEMA wanamtenga kwa ajili ya dini yake na kabila lake, pia kwa ajili ya misimamo yake isiyoyumbishwa!

BAVICHA wengi hawampendi Zitto kwa sababu wanafuata mkumbo wa viongozi wao!

Wewe kweli msalani. Huwa naona hoja zako hapa ni za ajabuajabu tu.
 
Last edited by a moderator:
.

Kifupi ni kwamba Chadema sasa hivi imepoteza nuru walokuwa nayo na sababu ni Unafiki.

Mkuu Mkandara

Bandiko lako fupi lakini linafikirisha sana. Ukweli ni kuwa Zitto Kabwe anayo karama ya uongozi kama ulivyoabainisha vizuri kabisa. Nami nakubaliana nawe.

Muhimu sana umesema kuwa "Kifupi ni kwamba Chadema sasa hivi imepoteza nuru walokuwa nayo na sababu ni Unafiki".

Je, kwa maneno hayo hayo uliyotumia juu, waweza kujaza nafasi iliyoachwa wazi hapa kwenye hii sentensi?

'Kifupi ni kwamba CCM sasa hivi imepoteza nuru walokuwa nayo na sababu ni ______.

Asante kwa ushirikiano wako
 
Zitto yuko sahihi kabisa, na watanzania wengi bado tuna imani naye!

CHADEMA wanamtenga kwa ajili ya dini yake na kabila lake, pia kwa ajili ya misimamo yake isiyoyumbishwa!

BAVICHA wengi hawampendi Zitto kwa sababu wanafuata mkumbo wa viongozi wao!
Hv Msalani suala likiwa la kikudhoofisha Chadema unashabikia tu hata bila kufikiri. Go to hell you mother ----er.
 
Zitto yuko sahihi kabisa, na watanzania wengi bado tuna imani naye!

CHADEMA wanamtenga kwa ajili ya dini yake na kabila lake, pia kwa ajili ya misimamo yake isiyoyumbishwa!

BAVICHA wengi hawampendi Zitto kwa sababu wanafuata mkumbo wa viongozi wao!

Sipenda uchochezi wadini unahuakika wamemtenga kwa ajili ya dini vip khalima mdee tuweni na busara sometime dini mnaitoa wapi tanzania hapa....
 
Last edited by a moderator:
Wewe si Mtanzania! Hakuna Mtanzania mwenye kuhujumu ukombozi against Ufisadi, Ujangili, Biashara ya Sembe, Ukwapuaji wa Rasilimali za Taifa... Zitto ni mhujumu wa mabadiliko yenye tija kwa Watanzania... imewahi kutamkwa hapa kuwa Zitto si Mtanzania! Pengine na wewe ndo katika wale mamluki wenye kuinajisi nchi yetu... pata muda soma ile taarifa kipelelezi kuhusiana na hujuma za Zitto kwa Chadema; pale kuna evidence ya a/number, amount, wahusika wakuu na hata number zao za simu zilizotumiwa mshiko wa kuihujumu CHADEMA, kuhujumu Watanzania ili Umasikini uendelee kutamalaki...

mi ni mtanzania.. zito hajatusaliti, amesaliti waroho wa madaraka kama mbowe na wewe
 
Sio anajiona bora bali hata sisi tuliokuwa wanachama wa cdm tunamuona ni bora kuliko viongozi wote wa cdm na wanachama wanaoendelea kuwaabudu Mbowe na babu Slaa
Zito mpuuzi tu., anaanzisha story zenu anakauka mwenyewe Mara waziri mkuu ajiuzulu Mara mabilion ya uswisi.. Zito anapenda cheap popularity.. Nyie jamaa zake zito mkamshauri Aache yafuatayo...ubinafsi,kujiona, kununulika, kiongozi yeyote bora hawez kujiona bora kuliko wenzake... Zito wewe Ni mnafki Sana., nakutabilia utakufa kisiasa 2015..Zito unakumbuka chuo ulipokuwa mwaka wa mwisho mkataka kimwingiza mpz wako awe rais wa chuo..aliposhindwa mkaanda maandamano makubwa kumpinga rais wa chuo ili demu wako apate urais...!
 
Mnafiki na mroho wa madaraka ni Mbowe na Slaa wanaong'ang'ania nafac mpaka wafe wakiwa madarakan
Unaemlaumu "Mbowe" eti mnafi na mpenda madaraka basi hata zito nae hvo hvo tukumbuke kilichomtoa pale ni uenyekiti na leo kaenda kuutafuta kwa "ACT" na cha kustaajabu zaid ni pale ccm wanapomuunga mkono na wao wanadai walimuamini kama nguzo…!!! Huu ni unafiki tosha wa maccm na wakina zitti ma kimsingi zitto ni msaliti tu.
 
to

'Aliezoea kula nyama za watu hawezi kuacha hata siku moja'-Mwl JK Nyerere. Hata Chacha Wangwe hayupo leo kwa kuwa mlikuwa na Hasira nae na bahati mbaya alichelewa kuwapiga biti la kusambaratisha mpaka Panya wenu maana mngeogopa kufanya mliyofanya.
Ni kweli,ukiona adui wa familia anamsifia mwanao,basi jiulize mara mia kunani?Pia wanaomtetea wanaweza kuelezea chanzo cha utajiri wa ghafla na wa kutisha wa huyu bwana?
 
Hii topic kuhusu Zitto Kabwe niliweka katika ukurasa wangu wa Instagram nikisema ni mmoja ya vijana wenye ushawishi mkubwa kisiasa nchini na alipelekea vijana wengi kujiunga na Siasa tofauti na hapo mwanzo vijana wengi walikuwa woga.

Nimejifunza mengi kutokana na maoni mbali mbali asilimia kubwa ya maoni vijana wana hasira na Zitto Kabwe. Kama nawe ni mmoja wa wasiomuelewa Zitto, Tuwekane sawa hapa!!! Tatizo la Zitto ni nini? Na nini kifanyike? Pamoja na kumuona Zitto Kabwe ni kijana shupavu, sauti yake inaleta matumaini kwa wananchi! Ameleta mabadiliko sana kwenye fikra za vijana kupenda/kujiunga na siasa.

Mpaka sasa maoni yanayojirudia rudia asilimia kubwa wanasema:-

1. Ni kweli ni mfano wa kuigwa kwa kuwa ana nia njema kusimamia maslahi ya Taifa kwanza Katika umri mdogo amefanikiwa kuwashawishi wananchi kwamba inawezekana kuchukua hatua haijilishi umri wako

2. Ameweza kuonesha ana nguvu kubwa kisiasa ndani ya chama na kuleta mabadiliko ndani ya chama cha chake
3. Vijana wengi wamegawanyika kutokana na “mabadiliko” ndani ya chama kiasi kwamba wengi wanaamini ametumiwa kukihujumu chama.
4. Zitto Kabwe wa 2007 siye wa sasa, kuna mahali ameharibu
5. Pesa na rushwa ni sababisho la vijana wengi wanaoanza vizuri wanamaliza vibaya, wananunuliwa!

Haya ndo maoni niliyopata kuhusu Zitto Kabwe. Wewe kama mpenda mabadiliko. Unaona Zitto yuko sahihi katika siasa zake au anasingiziwa na wanasiasa wenzake? naombeni msaada wenu nakusanya maoni kwa ajili ya kazi maalumu baadae.

Ahsante


tatizo kibwa ambalo wafuasi wengi wa vyama vya siasa tulikwisha dumazwa na kile kinachosemwa zidumu fikra za mwenyekitii.hivyo yeyote atakayempinga mwenyekiti hata akiwa na hoja nzuri atambiwa ama msaliti; pandikizi au kanunuliwa hizi ni siasa za kiafrika
 
Hiyo no propaganda tu",Zitto no moja ya vijana muhimu katika taifa chili.
 
Zitto ni msaliti.....kasaliti kwa lipi? Mwenye ushahidi dhahiri juu usaliti wa Zitto aweke hapa
wewe mjinga mtua anaandika warak wa siri kwa ajili ya kupindua uongozi uliopo hiyo ni democrasia acheni ujinga bana nyie vijana
 
Vijana au vijijana
Vijitu vyenye degree lakini visivoweza kuandika hata barua ya kuomba kazi.
Vijitu vyenye degree lakini visivoweza hata kubadili bulb ya umeme ikiungua
Vijitu vyenye degree lakini vinavofanya ngono zembe
Vijitu vye degree lakini visivoweza kuandika wala kusema hata sentensi moja ya kiingereza
 
Zito hana lolote, wewe mpigie chapuo tu hana kitu haiwezekani leo unasema hiyo nio baba yangu ninamheshimu, kesho unasema huyo mzee hana akili kisha umekwapua ukadhani una akili, sasa mwache aende huko uone kama atasikikia, mataahiri ni wale wanaodhani zitto ni jembe
 
Mimi ni katika kundi la watu wanaomkubali sana Zitto na nadiriki kusema kwamba ni mmoja wa mashujaa wangu ambaye kama binadamu ana mapungufu yake. Pia ninawakubali viongozi wengine kama Dr.Slaa na Mbowe ambao pia kama binadamu wana mapungufu yao lakini pamoja na yote haya nitaushutumu uongozi wa Chadema kwa kupoteza mwelekeo. Kifupi ni kwamba Chadema sasa hivi imepoteza nuru walokuwa nayo na sababu ni Unafiki.

Chama hiki kilikuwa tuzo la watanzania wengi na wengi wetu tulitegemea sana chombo hiki kuleta mageuzi nchini lakini walipogeuka na kuanza siasa za ndani toka uchaguzi wa Bavicha ulopita, ugonjwa ule uliingia hadi ndani ya chama na chama kikapoteza mwelekeo maana adui alikuwa mwenza. Kila mtu akawa hamuamini mwenzake,majungu na vitimbi vikazaliwa kushushana wenyewe na mbinu hii waliitegengeneza CCM kiasi kwamba kutoaminiana kukaleta udhaifu ktk uongozi na hata kufikia maamuzi yaloweka ufa mkubwa.

Hivyo, ni lazima tukubali Zitto ana kipaji chake ana mvuto wake na hakika ni mmoja wa vijana ambao mimi nawatazama kwa makini sana kutokana na fikra mpya walizowajenga vijana wetu kutokubali kuburuzwa na kuweka maslahi ya nchi mbele ya Ubinafsi. Hii habari ya mtu mmoja au wawili kuua chama ni kufungashiwa kesi kwa mtu mwenye kutaka mabadiliko ya kisiasa na hakika vyama vyote vya Upinzani vimekumbwa na balaa hii ya kutoaminiana kutokana na kwamba wapo baina yetu na tunakula nao sahani moja lakini walikwisha lishwa sumu mbaya ya Unafiki.

Mkuu una uhakika? naona uko nyuma sana ya habari! wataka kusema zile 3billion alizopata ktk tume ya mikataba ya madini hujui? umesikia tena akiongelea mikataba ya madini? Maslahi ya Taifa hayo? waulize Kigoma nyumba ya Bima iliyopangwa na NMB ilinunuliwa Tsh 550 m na nani kama si huyu shujaa wako? KALAGHABAHO!!!!
 
Back
Top Bottom