Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Kwa usaliti aliofanya Zitto kwa vijana wa Tanganyika lazima tumkamate CCM Iking'olewa na kumpiga pipe
 
Mimi ni kijana na sijawahi kuwa na hasira na Ndg Zitto Kabwe na huyu kwangu ndio role modal wangu
 
to

'Aliezoea kula nyama za watu hawezi kuacha hata siku moja'-Mwl JK Nyerere. Hata Chacha Wangwe hayupo leo kwa kuwa mlikuwa na Hasira nae na bahati mbaya alichelewa kuwapiga biti la kusambaratisha mpaka Panya wenu maana mngeogopa kufanya mliyofanya.

hivi kwanini wanaccm ndio wanaomuunga mkono NDUGU ZITTO ?
 
Zitto has principle n he is a dynamic new blood of politicians in Africa. Only fools and scapegoats will never understand him. He is courageous, fearless , visionary, and a gift to all Tanzanians , its a pity that both Mbowe Slaa n Mtei didn't do justice to him after he has played the biggest role in building CDM. Their fear of somebody better coming out amongst them and taking over the helm if the party, made them to make him a sacrificial lamb and they are now seeing the results of their mistake THE DOWN FALL OF CHADEMA.
 
Laki si pesa@ zitto kapendwa na vyama vyote…!! Sema kapendwa zaid na CCM kama wanavyompenda MREMA na kumnadi kuwa ndio mpinzani wa kweli na ujinga wenu!
Kwanini chadema mnamuogopa zitto kiasi hiki?
 
sikiliza mchumba wa katibu , tunampenda zito kwa sababu ni kijana mzalendo, kiboko ya mafisadip

huko lumumba mmezoea kuolewa na kinana eeee
na atawasukumia kweli msiposhituka
chadema ni kazi tu,sasa ni chadema msingi,,lzm ccm ifutike
 
Mi nilisema na ninasema tatizo la zitto Ni uzalendo wake anaipenda Sana nchi yake km angekuwa mnafki na kunyamazia mambo maovu mpk Leo angekuwa shujaa
 
Back
Top Bottom