haogopwi bali anadharauliwa sana na wale anaopambana nao maana siyo level yao kwa mustakabali bora wa chadema.
Eti watetezi wake walikuwa ni akina makamba jr,nape,mwigulu,ritz one???,
Zitto ni tapeli haaminiki tena ktk vijana makini!!
pole sana mangi,, watanzania funampenda sana kijana mzalendo zito kabwe, kiboko ya mafisadi
Labda vijana mataahira wa huko kwenu ,lakini vijana wa tanzania tunampenda sana zito.. ZITO NI JEMBE
Akili ya zito ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa chadema kwa pamoja
Kama Ndivyo,KWA NINI ANG'ANG'ANIE CDM? SI AENDE ACT TUMUONE ALIVYO NA UWEZO? ALISHACHUJA KABAKI JF NA FACEBOOK TENA KWA KUSHABIKIWA NA MABUKU 7 TU
Kumjadili zzito ni sawa na kujadili maiti iliyo mochwari irudi kwenye hali ya uzima!
Ninahasira naye huyu msh*nzi hadi najiogopa!!!!????
Mkuu vijana gani unaozungumzia mbona mimi kijana halfu sijui hicho unachosema mkuu.
Kama Ndivyo,KWA NINI ANG'ANG'ANIE CDM? SI AENDE ACT TUMUONE ALIVYO NA UWEZO? ALISHACHUJA KABAKI JF NA FACEBOOK TENA KWA KUSHABIKIWA NA MABUKU 7 TU
Hilo lisaliti hata sitaki kulisikia
Bila Zitto SACCOS ingeshakwenda na maji siku nyingi!
Slaa na Mbowe hawa hawana utashi wa kuongoza tena!
Slaa anajilipa milioni 11 kwa mwezi huku Mbowe akihamishia fedha za chama Dubai!
Bila Zitto SACCOS ingeshakwenda na maji siku nyingi!
Slaa na Mbowe hawa hawana utashi wa kuongoza tena!
Slaa anajilipa milioni 11 kwa mwezi huku Mbowe akihamishia fedha za chama Dubai!
Zito ndio ameshikilia uhai wa chadema,,
mbona hueleweki!? mara pro ccm mara pro ZZK!!!!?